My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

  • Thread starter MAMBOMENGIMDAMCHACHE
  • Start date
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined
Oct 30, 2017
Messages
96
Points
225
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined Oct 30, 2017
96 225
viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....

Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....

kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....

viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....

kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.

Lifecode: nimekuelewa unachosema, ila kumbuka virus anapenda zaidi hali ya acidic na vyakula vinavyochochea uzalishaji wa acid mwilini, ndio maana hata hao wagonjwa wa saratani hizo wakila nyama au vyakula vya jamii vya wanga kinga inashuka inachochea pia saratani kusambaa kwa kasi na pia wanapopigwa chemo kinga inashuka zaidi.
Cha msingi hapo ni kubadili mfumo wa lishe.
Na viral load itashuka tu.
Nazungumza hivi nikiwa nimeshawasaidia watu kadhaa wa karibu na nakutumia screenshoot kuthibitisha viral load huwa inashuka, na pia kuongezea nilisha msaidia kigogo mmoja nae viral load zilishuka mpaka vikawa undetecteable.
20190324_133707-jpeg.1147113
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.

Lifecode: nimekuelewa unachosema, ila kumbuka virus anapenda zaidi hali ya acidic na vyakula vinavyochochea uzalishaji wa acid mwilini, ndio maana hata hao wagonjwa wa saratani hizo wakila nyama au vyakula vya jamii vya wanga kinga inashuka inachochea pia saratani kusambaa kwa kasi na pia wanapopigwa chemo kinga inashuka zaidi.
Cha msingi hapo ni kubadili mfumo wa lishe.
Na viral load itashuka tu.
Nazungumza hivi nikiwa nimeshawasaidia watu kadhaa wa karibu na nakutumia screenshoot kuthibitisha viral load huwa inashuka, na pia kuongezea nilisha msaidia kigogo mmoja nae viral load zilishuka mpaka vikawa undetecteable.View attachment 1147113
mkuu...kuhusu kansa na vyakula vya wanga ni kweli kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kwa sababu Cancerous cell huwa zina high affinity ya glucoss kuliko cell yoyote.......ndo mana post pradial cancer detection inakuwa positive sana kuliko fasting test...

cancer cells ni highly glucose dependant..ni higher metabolic cells kuliko cell zote ndo mana mitotic division yake ipo kubwa kuliko cell zingine..na inakuwa uncontrolled coz huwa wanakonshumu glucose yote kwenye damu....

kwa hiyo ushauri wa kutokula vyakula vya sukari sana ni muhimu kwa sababu ya kuepusha kuwa na uncontralled cell division ya cancerous cells....

Kuhusu acidic condition,inakuja kwa sababu metabolism ya glucose huwa inatoa pyruvic acid,carbon dioxide ambazo huchangia kushuka kwa PH ya blood.....

so ni kweli glucose ina uhusiano mkubwa sana na cancerous cells
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,652
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,652 2,000
viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....

Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....

kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....

viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....

kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
Kwani virus kutoonekana kwenye vipimo ni sawa n an viral load kuwa 0?
 
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined
Oct 30, 2017
Messages
96
Points
225
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined Oct 30, 2017
96 225
Hiyo sio sawa, ila kuna kipimo ambacho hupima viral load , hata huyu mgonjwa nilimwambia akaangalie kila anavyotumia mchanganyiko maalumu wa diet pamoja na vitamin & mineral bila kutumia madunguri ya kizungu na ndio akaona tofauti hii inavyoenda, ila namsubiria tena kama akienda kupima anipe majibu ingawa mwishoni alitaka kulegalega kwenye diet, ila kwa wengine huwa inafikia mpaka kuwa undetecteable ( wengine wanaita 0), ila ikishatokea hivyo anabadili tena diet anaongeza baadhi ya vitu anavyovipenda ila kwa upishi maalumu ukisoma kwenye kitabu cha medical ministry & ministry of healing (70% matunda na mboga za majani wakati 30% vitu vingine).
Pia kizingatia aina ya mafuta ya kupikia au kuuingia mboga zako.
20190324_133707-jpeg.1147274
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,974
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,974 2,000
Inawezakuwq hakuna na HIV huko nyuma.
Labda daktari alikosea
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Kwani virus kutoonekana kwenye vipimo ni sawa n an viral load kuwa 0?
hakuna kipimo kinachopima virus.....
Halafu kingine viral load haiwezi kuwa zero......never ever viral load inaweza kuwa undetectable but not zero...

kachungulie viral load tittre graph kama utakuwa zero pale....haiwezi kuwa zero...

Kingine ,ili kipimo kioneshe una virusi ni lazima kiwango flani cha antibodies kifikie threshold value ya kuwa detectable na coated viral antigen kwenye bioline...
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....

Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....

kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....

viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....

kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.
no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....
moja ni direct usage of all resources za host cells na Mbili ni self cell destruction by apoptosis ambayo ni decision ya host cell mwenyewe
au twende kwenye point direct unayotaka kujua.
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....
moja ni direct usage of all resources za host cells na Mbili ni self cell destruction by apoptosis ambayo ni decision ya host cell mwenyewe
au twende kwenye point direct unayotaka kujua.
Nataka kujua muda anaotumia HIV kuua seli anayoingia.

Na kama kuna factors zinazochangia jambo hilo zitaje zinachangiaje,maana mpaka sasa naona kuna watu wanaishi zaidi ya miaka 20 bila kutumia ARVs na hawagui,sasa nataka uniondolee huo utata.
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Watu now wanaamka ingawa si kwa kiwango kikubwa ila wanaamka. Na walianza kuamka kitambo ndo maana wakaleta ARV haraka. Na now wanalazima mapema uanze kutumia ila hata ukija kuamka/kushtuka unakuwa unaunguza mwili wako kitambo.
Bado wako kwenye bizness ya kupunguza watu duniani na kutengeneza pesa kiaina.
wanalazimisha sana kupima na ukikutwa nao tu dose fasta
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Mimi bado mwanafunzi kwenye hii kada ya afya lakini nasema sitakaa nipime kamwe labda niwe Nimezimia.

Naendelea kufanya udadisi nitarudi ukikamilika maana hii kesi nimekutana nayo sana kwa wamama wajawazito ukipima HIV 70% lazima ukute +ve na wengi hushangaa,kumbuka kipindi cha ujauzito mama mjamzito kinga zake hushuka.
umeshakutana na kesi nyingi kama hizo? kama ngapi??
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Afu nitoe ushuhuda hapa imewahi kutokea Mwanamama mjamzito alipima akaonekana +Ve ila Mumewe -Ve,Yule mama alijitetea sana kwa mumewe kuwa hakuwahi kuchepuka ila tukapuuza leo akili inafunguka taratibu ngoja tuone.
mwisho wake alipima tena???
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Kinga/antibodies za mama mjamzito zinabadilika sana kiutendaji baada ya mama kupata mimba ili kufanya development ya fetus iwe kamilifu...mabadiliko haya yanategemea kati ya mtu na mtu...na ndio haya mabadiliko yanayosabisha vipimo vyao feki viwe reactive kwa maana vipimo vyao vingi vina deal na antibodies...

Nawapa watu homework nyingine ili wajue kama tunachezewa mchezo kwenye suala hili.....

Fanya mpango vyovyote uwezavyo,tafuta mama mjamzito ambaye amepimwa HIV-...yaani yule ambaye vipimo havikua reactive...yaani kwa lugha yao ni kwamba hana HIV...nenda kampime kipimo cha kuonesha viral load...maajabu utakayoyaona huko utakuja kuniambia...
Deception safiii,usipoteze ID yako
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Wengine inakuwa reactive kutokana na lishe mbovu, kuna mmama moja namuhurumia walimpima na kumwanzishia, kumbe yeye kwao mlo shida na alikuwa na mimba, ukimwona alivyo vimba vimba utamruhumia, ila mmewe ni negative, mwishoni wakaja kugundua hana virusi walipoenda kupima viral load wakakuta ni 0, hii waligundua kama bahati waliponifuata niwasaidie swala la kupandisha kinga za mwili kwa chakula na diet supplement.
mkuu unaamini kuna kirusi kinaitwa HIV kinasababisha Ukimwi??
 
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,667
Points
2,000
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,667 2,000
Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.

Lifecode: nimekuelewa unachosema, ila kumbuka virus anapenda zaidi hali ya acidic na vyakula vinavyochochea uzalishaji wa acid mwilini, ndio maana hata hao wagonjwa wa saratani hizo wakila nyama au vyakula vya jamii vya wanga kinga inashuka inachochea pia saratani kusambaa kwa kasi na pia wanapopigwa chemo kinga inashuka zaidi.
Cha msingi hapo ni kubadili mfumo wa lishe.
Na viral load itashuka tu.
Nazungumza hivi nikiwa nimeshawasaidia watu kadhaa wa karibu na nakutumia screenshoot kuthibitisha viral load huwa inashuka, na pia kuongezea nilisha msaidia kigogo mmoja nae viral load zilishuka mpaka vikawa undetecteable.View attachment 1147113
Alkaline food ndo mpango mzima. Hizi acidic foods ni mbaya sana.
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
HIV ni retrovirus na retrovirus hajawahi kuleta madhara ya Aids wala madhara ya aina yoyote kwa binadamu kwa sababu tunaishi nao ndani ya miili yetu.

Ila binadamu ana uwezo wa kuugua Ukimwi(aids). Na Ukimwi ni ukosefu wa kinga mwilini. Na huu ugonjwa unasababishwa na malnutrition. Asilimia kubwa wanaougua huu ugonjwa ni masikini sana. Ijapokuwa mtoto ana uwezo wa kuugua na zipo sababu nyengine zinazoweza kumfanya mtu kuugua huu ugonjwa.

Na vipimo vya ukimwi vyote havipo kwa ajili ya kupima ukimwi. Huwa vinatofautiana na hii hutokana na manufacturer.
kwa hiyo vinapima nini??
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Nataka kujua muda anaotumia HIV kuua seli anayoingia.

Na kama kuna factors zinazochangia jambo hilo zitaje zinachangiaje,maana mpaka sasa naona kuna watu wanaishi zaidi ya miaka 20 bila kutumia ARVs na hawagui,sasa nataka uniondolee huo utata.
mmmh....unauliza factors zinazogovern viral enrty into host cell cytoplasm au..?

kiufupi ni kwamba HIV type yoyote anapoingia ndani ya damu yako huwa anasoma kwanza aina ya receptor site zilizopo kwenye CD4 cell zako....akishasoma strain nzima ndipo hutoa aina flani ya conformattion change kwenye hizo receptor za CD4 kisha kuingiza hiyo RNA yake ....

inshort time delay inategemeana na mwili wa kila mtu kuruhusu virus asome mfumo wa receptor kwanza.....hiyo inaweza ikachukua muda tofauti tofauti kwa kila mtu kulingana na aina ya receptornzako

kuna kazi naifanya kwanza ..hivyo nikimaliza nitarudi tumalize utata huo make naona watu mnadanganyana eti HIV ni parodoxy........

kuna serotype za baadhi ya virus mpaka leo hazijasomwa strain nzima kutokana na ambiguity ya wadudu hao....

yet kuhusu HIV serotype viral bado kuna ugumu kuhusu ni gene ipi kwenye viral genome inacontrol kutoa mfumo elekezi wa conformation change kwenye hizo receptor..
..
kasome kuhusu nuclear to cytoplasmic ratio after viral innoculation ndo utajua kwanini inaweza ikachukua muda mrefu au mfupi
 
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined
Oct 30, 2017
Messages
96
Points
225
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined Oct 30, 2017
96 225
Jamaa wanajua kuwa karibu na media

MAREKANI: WANASAYANSI WAFANIKIWA KUONDOA VVU KWA PANYA

> Watafiti nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi kutoka kwenye vinasaba (DNA) vya panya 9 kati ya 23

> Kutokana na mafanikio hayo endapo mamlaka za chakula na dawa zitathibitisha tiba hiyo kwa binadamu inaweza kuanza kutumika mapema mwaka ujao

Soma - https://jamii.app/TibaVVUPanya
#JFLeo
Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.
 
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined
Oct 30, 2017
Messages
96
Points
225
nondo kilimanjaro

nondo kilimanjaro

Member
Joined Oct 30, 2017
96 225
Haya soma hii kwa wanaosubiria mpaka hawa wawatangazie ndio muamini

MAREKANI: WANASAYANSI WAFANIKIWA KUONDOA VVU KWA PANYA

> Watafiti nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi kutoka kwenye vinasaba (DNA) vya panya 9 kati ya 23

> Kutokana na mafanikio hayo endapo mamlaka za chakula na dawa zitathibitisha tiba hiyo kwa binadamu inaweza kuanza kutumika mapema mwaka ujao

Soma - https://jamii.app/TibaVVUPanya
#JFLeo
no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....
moja ni direct usage of all resources za host cells na Mbili ni self cell destruction by apoptosis ambayo ni decision ya host cell mwenyewe
au twende kwenye point direct unayotaka kujua.
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
mmmh....unauliza factors zinazogovern viral enrty into host cell cytoplasm au..?

kiufupi ni kwamba HIV type yoyote anapoingia ndani ya damu yako huwa anasoma kwanza aina ya receptor site zilizopo kwenye CD4 cell zako....akishasoma strain nzima ndipo hutoa aina flani ya conformattion change kwenye hizo receptor za CD4 kisha kuingiza hiyo RNA yake ....

inshort time delay inategemeana na mwili wa kila mtu kuruhusu virus asome mfumo wa receptor kwanza.....hiyo inaweza ikachukua muda tofauti tofauti kwa kila mtu kulingana na aina ya receptornzako

kuna kazi naifanya kwanza ..hivyo nikimaliza nitarudi tumalize utata huo make naona watu mnadanganyana eti HIV ni parodoxy........

kuna serotype za baadhi ya virus mpaka leo hazijasomwa strain nzima kutokana na ambiguity ya wadudu hao....

yet kuhusu HIV serotype viral bado kuna ugumu kuhusu ni gene ipi kwenye viral genome inacontrol kutoa mfumo elekezi wa conformation change kwenye hizo receptor..
..
kasome kuhusu nuclear to cytoplasmic ratio after viral innoculation ndo utajua kwanini inaweza ikachukua muda mrefu au mfupi
wewe mwenyewe maelezo yako ni paradoxy tosha,halafu unashutumu wengine wanadanganyana...mpaka sasa swali rahisi sana unashindwa kulijibu...hili swali ukimwuliza Gallo au Faucci atalijibu haraka sana,lakini wewe bado unalichambua kana kwamba wewe ndio uliyemgundua huyo HIV.

Fanya chapchap kujibu hilo swali nikupambanishe na daktari mwenzako ili ujibu swali lingine.
 
Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top