My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Huu ni upendo wa Agape aise..Ila pia nimeshuhudia jamaa mmoja hivi aliyeamua kujilipua kwa mwanamke mwenye maambukizi na anaishi nae mpaka tunavyoandika na yuko safi na amewahi pima mbele ya macho yangu ili kuniaminisha kuwa yuko safe..watu mna roho ngumu sana.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
mbona kasema viral load wamepimwa wakakutwa wapo 1000+
 
Yani katika Suala gumu ni Hiloo maana ukishapata HIV means hata Viral load ikisoma nil lakini Antibody antigen complex for HIV zitakuwepo tu kwenye Damu..!! Sasa ina maana hazijawahi kuwepo au amepona HIV??? Na iweje ukienda clinic uambiwe viral load iko kiasi kadhaa alafu huku kwingine Fast test isionyeshe kitu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mkuu wapi huko bado wanatumia determine au ww ni muganda?
Maana hospital nyingi Tz zimeachana na hicho kipimo ambacho kilkuwa kinatumika zaman. Siku hizi ni Bioline and unigold for confirmation
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaa!....wanaonifahamu wanaelewa kwanini nacheka.

There is No way to test for HIV,kwasababu hakuna HIV duniani...kinachopimwa kwenye damu si HIV bali ni kitu kingine kabisa.

Tumepigwa changa la macho zaidi ya miaka 30 sasa.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
Mkuu HIV ipo na watu wanasoma hadi jinsi alivyo kuanzia muonekano I mean shape, stucture, DNA etc..
Na kinachopimwa kwenye mwili ni reaction ya mwili wako antigen_antibody reaction pale unaposhambuliwa na hawa wadudu.
Amin kwamba
 
Hello,

Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-
Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there is no need of doing the HIV test. Nurse akasema ni kitu cha lazima sio hiari yetu, basi akapimwa kwa rapid test method called Determinant majibu yakaja she is HIV-. Tukamwambia hivyo vipimo vyako vitakuwa ni vibovu, nurse akasema hapana acha nifanye confirmatory test using another rapid test method known as Unigold, tukasubiri majibu yetu after fews minutes majibu yakatoka tena she is HIV-. Utata ukaanzia hapo nikawaambia my fiancee tested HIV+ about 4 years back at Regency hospital and she has been on ARV's medication since that time and we have been checking for Viral load several times and the last viral load check we did shown still there were over 1000 viruses in her body. Sintofahamu hiyo ilituweka njia panda kwasababu hatukataka ku-risk usalama wa mtoto, tukaamua kwenda Regency kuonana na wataalamu wake ambao wamekuwa wakimtibu kwa kipindi cha miaka 4 sasa, Regency wakarudia kumpima using Unigold bado majibu yakatoka HIV- ndipo wakashauri tuchukue sample ya damu ipelekwe Nairobi ikapimwe kwa kipimo kinachoitwa ELISA bado tunasuburi majibu.

Sintofahamu niliyonayo mimi haswa how comes Viral load check still see over 1000 viruses, but our rapid antibody-antigens test shows a non-reactive results. I am not a medical doctor but I have read so many articles/documentaries about HIV/AIDS and that little knowledge I have plus Love is what gave me courage to be in relationship with someone who is HIV+ while am HIV-

Ninachojua hata kama viral load ingefika level ya kuwa undetected but so long as those antibodies are there in ur body then any rapid test will show reactive response.

MADAKTARI WETU TUNAOMBA MTUTOE KWENYE HIYO SINTOFAHAMU

Best Regards,
Mambomengimdamchache.
Naona umetengeneza ID mpya ili ulete ushuhuda.

Bila shaka wewe ni kati ya wale ambao huwa hamtaki kuelewa anachoelezea Deception leo umeshuhudia kwa macho yako sarakasi za huyo HIV na ndugu yake wa kambo AIDS.
 
Inawezekana dawa zikapunguza virusi mpaka visionekane, lakini vipo bado, ila vichache sana.

Tafuteni ushauri wa wataalam kujua aendelee vipi na dawa ili kuvidhibiti virusi visiongezeke na kurudia kuonekana katika vipimo.
 
naomba nimuulize Deception kama HIV ni illusion nini kinachosababisha antibodies reaction kwenye mwili ili tukiepuke.mbona sometime unakuta mtu anapata lishe nzuri,ana maisha mazuri ,hana magonjwa yoyote ila anaamua kwenda kupima HIV anakutwa positive.
pia kwann mtaani kuna case nyingi za mtu kupima HIV kukutwa hana baada ya miaka anatembea na msichana mwenye HIV positive ,then naye akienda kupima anakutwa pia ameshaathirika je kama hakuna HIV kwann huyu wa pili naye amekutwa positive
 
Mkuu HIV ipo na watu wanasoma hadi jinsi alivyo kuanzia muonekano I mean shape, stucture, DNA etc..
Na kinachopimwa kwenye mwili ni reaction ya mwili wako antigen_antibody reaction pale unaposhambuliwa na hawa wadudu.
Amin kwamba
muuonekano na shape yake ikoje???
 
Ukimwi Upo Mazee,Watu wanaondoka na kilo mbili daily na maambukizi mapya kwa siku ni watu 200.....Kuna baadhi ya watu huwa na kinga kali hawapati virus hata wakipiga Dry kwa mtu mwenye HIV+,nishashuhudia jamaa alikuwa anakula demu mwenye ngoma lakini yeye hakupata kabisa na walizaa naye mtoto.
 
Back
Top Bottom