nondo kilimanjaro
Member
- Oct 30, 2017
- 93
- 43
Duhh Asante basi niliyoiona Leo ni ile ya 1933,make hadi camera ni Zile z a miaka hiyoooo
Hiyo link kuthibisha UKIMWI unatibika
Duhh Asante basi niliyoiona Leo ni ile ya 1933,make hadi camera ni Zile z a miaka hiyoooo
Kweli wanasema ebola haina dawa ila wale madaktari walipoumwa kipindi kile fasta wakawarudisha usa na wakapona.Wanatafuta formular ambayo inafanana na diet ili warudishe kinga maalumu kwa AIDS tu, ili baadaye watafute madunguri special kwa Ebora, unapiga huku unaleta ingine biashara kazini. Kumbuka kuna kipindi ndani ya BBC, Uk na Euroupe waliwaambia USA mnadawa za EBOLA kwa nini msizitoe ila wamarekani hawakujibu wakawa kimya, ila raia wao alipoumwa huko Africa magharibi walimsafirisha kutoka africa wakaenda kumtibia kwenye hospitali ya kijeshi.
Kumbuka: hawa watu hawawezi kutoa hata technology yao kabla hawajapata ingine.
Kweli wanasema ebola haina dawa ila wale madaktari walipoumwa kipindi kile fasta wakawarudisha usa na wakapona.
Walipoambiwa aah nyie si mnasena hamna dawa imekuwaje tena. Wakawa kimya mpaka leo
Hata mimi niliposikia eti hiv binadamu aliupata kwa nyani nilicheka sana. Hawa wazungu walituona wapumbavu sana mpaka wakatupa hiyo sababu.Naona umepata picha sasa, wengine wanapokea tu elimu ya kizungu wanaambiwa zamani binaadamu tulikuwa nyani, ila baadaye mikia ikakatika wakawa binaadamu, basi watu wakakubali na inafundishwa ila hawajiulizi mbona kwa saaa hawabadiliki?
Hivyo hivyo kwa ukimwi,
Kumbuka walisema ulianzia kwa nyani, haijakaa sawa wakasema ma gay waliuleta
Na baadaye wakakili waliutengeneza kwa sababu maalum,
Ila walipoona wana wanaanza kutest kuponyesha kwa diet wakawatisha mkiacha madunguri ya kizungu mtaisha kwa sababu virus atavuruga DNA zenu.
Ila ukweli ni huu unapotumia vizuri diet unapona.
viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....Inawezekana dawa zikapunguza virusi mpaka visionekane, lakini vipo bado, ila vichache sana.
Tafuteni ushauri wa wataalam kujua aendelee vipi na dawa ili kuvidhibiti virusi visiongezeke na kurudia kuonekana katika vipimo.
unaweza kufanya mapenz na mtu mwenye HIV na usiambukizwe inawezekana kabsaYeye anao wewe huna hiyo mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu au ulijifunga makombora?
Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....
Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....
kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....
viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....
kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
mkuu...kuhusu kansa na vyakula vya wanga ni kweli kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kwa sababu Cancerous cell huwa zina high affinity ya glucoss kuliko cell yoyote.......ndo mana post pradial cancer detection inakuwa positive sana kuliko fasting test...Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.
Lifecode: nimekuelewa unachosema, ila kumbuka virus anapenda zaidi hali ya acidic na vyakula vinavyochochea uzalishaji wa acid mwilini, ndio maana hata hao wagonjwa wa saratani hizo wakila nyama au vyakula vya jamii vya wanga kinga inashuka inachochea pia saratani kusambaa kwa kasi na pia wanapopigwa chemo kinga inashuka zaidi.
Cha msingi hapo ni kubadili mfumo wa lishe.
Na viral load itashuka tu.
Nazungumza hivi nikiwa nimeshawasaidia watu kadhaa wa karibu na nakutumia screenshoot kuthibitisha viral load huwa inashuka, na pia kuongezea nilisha msaidia kigogo mmoja nae viral load zilishuka mpaka vikawa undetecteable.View attachment 1147113
Kwani virus kutoonekana kwenye vipimo ni sawa n an viral load kuwa 0?viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....
Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....
kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....
viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....
kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
hakuna kipimo kinachopima virus.....Kwani virus kutoonekana kwenye vipimo ni sawa n an viral load kuwa 0?
Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.viral load haiwezi kuwa 0 hata siku moja hata kama utatumia dawaza kutosha....but kuna kitu kinaitwa recevoir ,hizi ni tissue maalumu kwenye mwili wa mwanadamu specifically lymph node hizi. ndo huwa primary recevoir wa virus....
Virus akiingia mwilini mwako huwa anafikia kwenye lymph node kwanza kabla hajataget other organs or tissue ...ndo mana the primary response ya HIV infection ni Lymph node enlargement.....
kwa hiyo viral load kwenye damu itapungua kama mtu atakuwa kwenye adhearance ya drugs lakini kwenye lymph node virus huwa bado wapo....
viral road ni propotional na antibodies,viral loadikiwa nying basi hata antibodies zinakuwa nyingi, so kama viral load itapungua basi hata antibodies huwa zinapungua ....so drug adhearance zinafanya viral load kwenye damu ipungue na inaweza ikawa negative kwenye rapid test ya Bioline lakini kuna muda virus wataanza kushift kutoka kwenye recevoir tissues na kuingia tena kwenye damu kisha ukipima inakuwa positive....
kwa wale wanaotumia Fusion inhibitors ndo wanabenefit sana na hiyo scenario za false negative results.
no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.
Nataka kujua muda anaotumia HIV kuua seli anayoingia.no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....
moja ni direct usage of all resources za host cells na Mbili ni self cell destruction by apoptosis ambayo ni decision ya host cell mwenyewe
au twende kwenye point direct unayotaka kujua.
Alkaline food ndo mpango mzima. Hizi acidic foods ni mbaya sana.Ndio maana watu wenye ukimwi pia wanapata saratani au kansa zifuatazo non hodgkin's lymphoma, kaposi sarcoma, na cervical cancer (ya kizazi) kwa wanawake.
Lifecode: nimekuelewa unachosema, ila kumbuka virus anapenda zaidi hali ya acidic na vyakula vinavyochochea uzalishaji wa acid mwilini, ndio maana hata hao wagonjwa wa saratani hizo wakila nyama au vyakula vya jamii vya wanga kinga inashuka inachochea pia saratani kusambaa kwa kasi na pia wanapopigwa chemo kinga inashuka zaidi.
Cha msingi hapo ni kubadili mfumo wa lishe.
Na viral load itashuka tu.
Nazungumza hivi nikiwa nimeshawasaidia watu kadhaa wa karibu na nakutumia screenshoot kuthibitisha viral load huwa inashuka, na pia kuongezea nilisha msaidia kigogo mmoja nae viral load zilishuka mpaka vikawa undetecteable.View attachment 1147113
mmmh....unauliza factors zinazogovern viral enrty into host cell cytoplasm au..?Nataka kujua muda anaotumia HIV kuua seli anayoingia.
Na kama kuna factors zinazochangia jambo hilo zitaje zinachangiaje,maana mpaka sasa naona kuna watu wanaishi zaidi ya miaka 20 bila kutumia ARVs na hawagui,sasa nataka uniondolee huo utata.
Naomba kukuliza,HIV anachukua muda gani au anatumia muda gani kuua seli aliyoingia.
no direct specific time ambayo tutasema HIV anaua cells...coz kuna two mechanisms ambazo anazitumia kuua cells.....
moja ni direct usage of all resources za host cells na Mbili ni self cell destruction by apoptosis ambayo ni decision ya host cell mwenyewe
au twende kwenye point direct unayotaka kujua.