My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

  • Thread starter MAMBOMENGIMDAMCHACHE
  • Start date
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
Haya soma hii kwa wanaosubiria mpaka hawa wawatangazie ndio muamini

MAREKANI: WANASAYANSI WAFANIKIWA KUONDOA VVU KWA PANYA

> Watafiti nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi kutoka kwenye vinasaba (DNA) vya panya 9 kati ya 23

> Kutokana na mafanikio hayo endapo mamlaka za chakula na dawa zitathibitisha tiba hiyo kwa binadamu inaweza kuanza kutumika mapema mwaka ujao

Soma - https://jamii.app/TibaVVUPanya
#JFLeo
Matangazo kama haya ya kwamba eti wanakaribia kugundua dawa ya HIV yalishaanza kuwepo tangu miaka ya 1990...huwa watu wasiojua ukweli wanadanganyika sana na matangazo haya...huwa watu nawaambia kwamba matangazo haya yataendelea kuwepo hata baadaye,na watu hawataiona hiyo dawa...

Dawa pekee ya HIV/AIDS ni kubadili mindset,hapo ndipo utaanza kujua ukweli halisi na kulipuuzia kabisa suala hili....vinginevyo watu watakua wanaendelea kushabikia matangazo kama haya yasiyoisha mpaka wanaingia kaburini.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
wewe mwenyewe maelezo yako ni paradoxy tosha,halafu unashutumu wengine wanadanganyana...mpaka sasa swali rahisi sana unashindwa kulijibu...hili swali ukimwuliza Gallo au Faucci atalijibu haraka sana,lakini wewe bado unalichambua kana kwamba wewe ndio uliyemgundua huyo HIV.

Fanya chapchap kujibu hilo swali nikupambanishe na daktari mwenzako ili ujibu swali lingine.
mkuu..naona unalisha matango wenzio kuhusu hiyo kitu...unaweza ukanambia umefanya trial gani kubaini kuwa HIV ni mind set ...?? umeweza kujifanyia HIV innoculation kwa kutoa positive sample toka kwa HIV victim kisha ukafanya test ya damu yako.....??
Be specific with your msimamo....

sitaki kubattle na wewe kwa sababu i know the areas ambazo huwa unasimamia kuhusu point zako.....

mi nadhani kabla hujakalilisha wenzio hivyo.fanya trial ...toa dau ukubali kufanyiwa HIV Innoculation halafu tufanye case study trend ya kukumonitor kupima damu yako kwa muda wa miezi hata miwili tu....halafu ndo tutajua unachowakalilisha wenzio ....
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
mkuu..naona unalisha matango wenzio kuhusu hiyo kitu...unaweza ukanambia umefanya trial gani kubaini kuwa HIV ni mind set ...?? umeweza kujifanyia HIV innoculation kwa kutoa positive sample toka kwa HIV victim kisha ukafanya test ya damu yako.....??
Be specific with your msimamo....

sitaki kubattle na wewe kwa sababu i know the areas ambazo huwa unasimamia kuhusu point zako.....

mi nadhani kabla hujakalilisha wenzio hivyo.fanya trial ...toa dau ukubali kufanyiwa HIV Innoculation halafu tufanye case study trend ya kukumonitor kupima damu yako kwa muda wa miezi hata miwili tu....halafu ndo tutajua unachowakalilisha wenzio ....
HIV anatumia muda gani kuua seli anayoingia?

Bado nasubiri jawabu la hili swali.Nakukumbusha tu,maana naona unataka kuhamisha mada.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
HIV anatumia muda gani kuua seli anayoingia?

Bado nasubiri jawabu la hili swali.Nakukumbusha tu,maana naona unataka kuhamisha mada.
kwa hiyo ndo unaona kama hilo swali lako haliwezi kujibiwa......??

Once HIV has successfully crossed the cell layer, the virus faces a battle against the immune cells waiting in the tissue below. This battle lasts from one to three days. There are many types of immune cells in the mucous membranes and each plays a role in mounting an attack against HIV.

Although some of these cells can kill the virus quite well, HIV is able to infect one type of immune cell (CD4 cells), make copies of itself and release more virus. If HIV is able to replicate faster than the immune cells are able to kill copies, then HIV may be able to spread throughout the body.

so hiyo point yaako unayokomalia naona haina mashiko at all..

Once this happens, the mucosal immune system is defeated and the infection can become permanent. However, infection does not occur if the immune cells are able to eradicate the virus in the mucous membrane. Further, if HIV spreads beyond the mucous membranes, immune cells elsewhere in the body (that is, in the blood and lymphatic vessels and organs and tissues) may also be able to clear the virus before a permanent infection has been established.

The factors that can make it easier or more difficult for HIV to make copies of itself in the mucous membrane tissue (below the cell layer) and win its battle against the immune cells include:

Naomba uende Siera Lionne uone jinsi wanavyokufa kwa serotype
za Zika virus...kirusi ambaye anafanya unakuwa unatokwa na damu puani mpaka unakata we unafikiri mchezo.....kama unaweza kutoamini kuwepo kwa HIV virus inabidi ufanye negationkwa uwepo wa virus wengine pia....the problem is not about finding the real explanations about HIV virus but ukubali kwanza kufanyiwa hiyo viral test halafu wakumonite kuangalia positive symptoms ...
sema hujapata clear cut explanations on how suchadisease is......
maybe kama hiyo haitoshi naomba nikulize swali....umesoma na kuelewa HIV life circle yote au unawakalilisha hi wenzio bila kujua how hizo P53 na zingine zinavyofanya kazi....??

yani wewe hupishani na mtu ambaye anaona kabisa mtu anatapika damu na kuhalisha damu anapimwa anaambiwa ana typhoid lakini mwingine anakataa kuwa hiyo siyo typhoid....

labda kingine nikuulize ikiwa mama muathirika anajifungua mtoto mzima ila kadri anavyozid kuwa na mtoto anajikuta kamuambukiz mtoto na mtoto anapimwa anaonekana ana virusi gafla anaugua anakata maisha utasema ni mindset ipi hiyo imejipenyeza kwa mtoto toka kwa mama...??

can HIV mind set be inherited toka kwa mzazi hadikwa mtoto...ukinijibu kwa point basi nitafungua uzi special kwa HIV paradoxy vs its reality nikualike tuone mwisho inakuwaje

N.B...kwa hiyo hizo biological weapons ambazo nchi kubwa kubwa duniani inazitengeneza kwa ajili ya economic purpose ni paradoxy si ndiyo...??
kwa taarifa yako HIV ni biological weapon mojawapo tena ni ndogo sana kulinganisha na hizo zingine ambazo. Iran na north korea wanazitengeneza kisha kumtishia marekani kuwa na wao wanaziinduce kwenye jamii kama HIV ilivyoinduziwa ila mada inachengeshwa kuwa ni ugomvi wa siraha za nyuklia sijui nini but hata china mwenyewe kashatengeneza virus wa ainaya serotype yake ambao akaiwaachia ni hatari tupu..........hilo jambo la HIV usikalilishe watu kwa point zako za mind set japo tunajua kuwa the life in this universe is just a matrix of mind reality....everything is just illusion katika 3D view...nothing exists only yourself but the matrix is creating illusion of perception ambayo ni reality katikalevel hizo za 3D

sasa wewe upo kwenye illusion utakataaje sasa kuwa siyo kweli.....
you see a car approaching to you lakini unakataa na kusema ile siyo gari basi kaa njiani uone itakugonga na utakufa.

kuelewa haya maisha mpaka uelewe mfumo wotte katika illusion level of reality...This is not a paradoxy at all,but a real man made or reated biological weapon...na ndo mana waliweka irun kwa muda walioupanga wao kisha kuitokomeza tena...
 
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
863
Points
250
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
863 250

Inasikitisha wataalam wenzangu mnavyonakili other people s theories bila kujiuliza hii hapa juu ni pure plagiarism.

Please write based on how you have understood thats the true test of literacy. Kiingereza ni lugha tu . Narudia pale wataalamu wa afya ( me included) tukifanikiwa kusoma kuchambua kukubali kufikiri ( sio kufikirishwa wala kukaririshqa ); tukikubali kuuliza maswali juu ya hizi xogort studies na mengine mengi yanayohitaji independent reasons after puting all facts on the table hapo tutakuwa tumeitendea haki taaluma .

Its one thing to memorise all serotypes and all nucleic reactions but its another thing to understand the disease. Baada ya haya naomba turudi kwenye mada. Kama upo matured enough utaelewa what Inhace written between the lines.
 
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Messages
1,226
Points
2,000
Hustling

Hustling

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2018
1,226 2,000
Inasikitisha wataalam wenzangu mnavyonakili other people s theories bila kujiuliza hii hapa juu ni pure plagiarism.

Please write based on how you have understood thats the true test of literacy. Kiingereza ni lugha tu . Narudia pale wataalamu wa afya ( me included) tukifanikiwa kusoma kuchambua kukubali kufikiri ( sio kufikirishwa wala kukaririshqa ); tukikubali kuuliza maswali juu ya hizi xogort studies na mengine mengi yanayohitaji independent reasons after puting all facts on the table hapo tutakuwa tumeitendea haki taaluma .

Its one thing to memorise all serotypes and all nucleic reactions but its another thing to understand the disease. Baada ya haya naomba turudi kwenye mada. Kama upo matured enough utaelewa what Inhace written between the lines.
mkuu wewe hizi case za mtu kunywa dawa then anapimwa anakutwa hana au mama mjamzito anapimwa anakutwa anao ila akijifungua anakutwa hana, umewahi kukutana nazo?
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
kwa hiyo ndo unaona kama hilo swali lako haliwezi kujibiwa......??

Once HIV has successfully crossed the cell layer, the virus faces a battle against the immune cells waiting in the tissue below. This battle lasts from one to three days. There are many types of immune cells in the mucous membranes and each plays a role in mounting an attack against HIV.

Although some of these cells can kill the virus quite well, HIV is able to infect one type of immune cell (CD4 cells), make copies of itself and release more virus. If HIV is able to replicate faster than the immune cells are able to kill copies, then HIV may be able to spread throughout the body.

so hiyo point yaako unayokomalia naona haina mashiko at all..

Once this happens, the mucosal immune system is defeated and the infection can become permanent. However, infection does not occur if the immune cells are able to eradicate the virus in the mucous membrane. Further, if HIV spreads beyond the mucous membranes, immune cells elsewhere in the body (that is, in the blood and lymphatic vessels and organs and tissues) may also be able to clear the virus before a permanent infection has been established.

The factors that can make it easier or more difficult for HIV to make copies of itself in the mucous membrane tissue (below the cell layer) and win its battle against the immune cells include:

Naomba uende Siera Lionne uone jinsi wanavyokufa kwa serotype
za Zika virus...kirusi ambaye anafanya unakuwa unatokwa na damu puani mpaka unakata we unafikiri mchezo.....kama unaweza kutoamini kuwepo kwa HIV virus inabidi ufanye negationkwa uwepo wa virus wengine pia....the problem is not about finding the real explanations about HIV virus but ukubali kwanza kufanyiwa hiyo viral test halafu wakumonite kuangalia positive symptoms ...
sema hujapata clear cut explanations on how suchadisease is......
maybe kama hiyo haitoshi naomba nikulize swali....umesoma na kuelewa HIV life circle yote au unawakalilisha hi wenzio bila kujua how hizo P53 na zingine zinavyofanya kazi....??

yani wewe hupishani na mtu ambaye anaona kabisa mtu anatapika damu na kuhalisha damu anapimwa anaambiwa ana typhoid lakini mwingine anakataa kuwa hiyo siyo typhoid....

labda kingine nikuulize ikiwa mama muathirika anajifungua mtoto mzima ila kadri anavyozid kuwa na mtoto anajikuta kamuambukiz mtoto na mtoto anapimwa anaonekana ana virusi gafla anaugua anakata maisha utasema ni mindset ipi hiyo imejipenyeza kwa mtoto toka kwa mama...??

can HIV mind set be inherited toka kwa mzazi hadikwa mtoto...ukinijibu kwa point basi nitafungua uzi special kwa HIV paradoxy vs its reality nikualike tuone mwisho inakuwaje

N.B...kwa hiyo hizo biological weapons ambazo nchi kubwa kubwa duniani inazitengeneza kwa ajili ya economic purpose ni paradoxy si ndiyo...??
kwa taarifa yako HIV ni biological weapon mojawapo tena ni ndogo sana kulinganisha na hizo zingine ambazo. Iran na north korea wanazitengeneza kisha kumtishia marekani kuwa na wao wanaziinduce kwenye jamii kama HIV ilivyoinduziwa ila mada inachengeshwa kuwa ni ugomvi wa siraha za nyuklia sijui nini but hata china mwenyewe kashatengeneza virus wa ainaya serotype yake ambao akaiwaachia ni hatari tupu..........hilo jambo la HIV usikalilishe watu kwa point zako za mind set japo tunajua kuwa the life in this universe is just a matrix of mind reality....everything is just illusion katika 3D view...nothing exists only yourself but the matrix is creating illusion of perception ambayo ni reality katikalevel hizo za 3D

sasa wewe upo kwenye illusion utakataaje sasa kuwa siyo kweli.....
you see a car approaching to you lakini unakataa na kusema ile siyo gari basi kaa njiani uone itakugonga na utakufa.

kuelewa haya maisha mpaka uelewe mfumo wotte katika illusion level of reality...This is not a paradoxy at all,but a real man made or reated biological weapon...na ndo mana waliweka irun kwa muda walioupanga wao kisha kuitokomeza tena...
Sijaona cha maana ulichoandika zaidi ya kuonesha unajifanya unajua mambo mengi kumbe ni hovyo tu,sitaki tuelekee huko kwenye siasa za kimataifa za nchi kubwa,kwanza unaonekana uko misinformed sana.

1.Umeandika kitabu kizima lakini sijaona sehemu ambayo umejibu swali ni muda gani ambao HIV anachukua kuua seli anayoingia.

2.Unazungumzia ZIKA Sierra Leone kwamba ZIKA anakufanya utokwe na damu mpaka unakufa....my Dr. did you mean EBOLA?...maana hata ZIKA jinsi anavyoelezewa hana hatari au tabia hiyo unayoisema ingawa najua ZIKA na EBOLA wote ni upumbavu tu...ngoja nikuoneshe wenzako wanavyosema hapa chini kuhusu ZIKA halafu linganisha na wewe ulivyosema kama mnafanana(ingawa najua wote ni pumba tu)...soma hapa chini...

"Zika virus is not considered dangerous to anyone apart from pregnant women. Most of those affected experience no symptoms, but about one in five people infected may experience fever, a rash, muscle and joint pain, conjunctivitis and fatigue around three to 12 days after being bitten"

3.Unazungumzia kuhusu HIV kutengenezwa kama biological weapon wakati hata ku predict ataua mtu kwa muda gani haijulikani...watu wanaishi zaidi ya miaka 20 ,yaani wanaishi lifetime yao yote bila kula ARVs wakiwa positive na hawaugui huo upuuzi...and still you call that biological weapon...you are misinformed..

ARVs is the true biological weapon,but not HIV....

NB;
Bado una maswali mengi ya kujibu,lakini naona umekwamba kwenye swali hili dogo sana...huu ndio ubaya wa elimu ya kukariri mambo bila kudadisi/kuhoji...

Tukimaliza swali hili kuna nondo nyingine zinakuja...jiandae.
 
Goodhearted

Goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Messages
470
Points
500
Goodhearted

Goodhearted

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2015
470 500

kuelewa haya maisha mpaka uelewe mfumo wotte katika illusion level of reality...
This is not a paradoxy at all,but a real man made or reated biological weapon...na ndo mana waliweka irun kwa muda walioupanga wao kisha kuitokomeza tena...
Umeandika.matakataka ya kukaririshwa tu, we kichwani ni mweupe kama rim paper. You know nothing. Eb jaribu kutumia akiri yako il uujuwe ukweli
 
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
647
Points
500
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
647 500
Mimi ni health personnel ila deception nilimuelewa sana kuhusu ile elimu yake aliyoitoaga humu na hapa ndo utaanza kuona ukweli khs HIV virus versus ukimwi.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Sijaona cha maana ulichoandika zaidi ya kuonesha unajifanya unajua mambo mengi kumbe ni hovyo tu,sitaki tuelekee huko kwenye siasa za kimataifa za nchi kubwa,kwanza unaonekana uko misinformed sana.

1.Umeandika kitabu kizima lakini sijaona sehemu ambayo umejibu swali ni muda gani ambao HIV anachukua kuua seli anayoingia.

2.Unazungumzia ZIKA Sierra Leone kwamba ZIKA anakufanya utokwe na damu mpaka unakufa....my Dr. did you mean EBOLA?...maana hata ZIKA jinsi anavyoelezewa hana hatari au tabia hiyo unayoisema ingawa najua ZIKA na EBOLA wote ni upumbavu tu...ngoja nikuoneshe wenzako wanavyosema hapa chini kuhusu ZIKA halafu linganisha na wewe ulivyosema kama mnafanana(ingawa najua wote ni pumba tu)...soma hapa chini...

"Zika virus is not considered dangerous to anyone apart from pregnant women. Most of those affected experience no symptoms, but about one in five people infected may experience fever, a rash, muscle and joint pain, conjunctivitis and fatigue around three to 12 days after being bitten"

3.Unazungumzia kuhusu HIV kutengenezwa kama biological weapon wakati hata ku predict ataua mtu kwa muda gani haijulikani...watu wanaishi zaidi ya miaka 20 ,yaani wanaishi lifetime yao yote bila kula ARVs wakiwa positive na hawaugui huo upuuzi...and still you call that biological weapon...you are misinformed..

ARVs is the true biological weapon,but not HIV....

NB;
Bado una maswali mengi ya kujibu,lakini naona umekwamba kwenye swali hili dogo sana...huu ndio ubaya wa elimu ya kukariri mambo bila kudadisi/kuhoji...

Tukimaliza swali hili kuna nondo nyingine zinakuja...jiandae.
mbona umeulizwa huko kuwa naomba ujitangaze hadharani tukuwekee positive HIV sample blood then tukumonite tuone kama hutadevelop hizo Symptoms...

Tatizo unawakalilisha wapuuzi wasiojua chochote kuhusu hiyo elimu yako ya kudadisi huku ukiwa nje ya mstali....simama with evidence...kuwa muwazi..jitoe uwe mtu wa kwanza kupinga hiyo kitu huku ukiruhuusu Wainduce HIV kwenye mwili wako....ukiendea kupinga huku hujatoa udhibitisho nakuona kama mtu usiyetambua nini maana ya kufanya research ili kupinga research zingine..

unapinga kitu mitandaoni.....miminingekuona wa maan kama ungekuja na proved research uliyofanya mwenyewe na sio kunakili majarada mitandaoni kisha kuja kujaza watujjinga....
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,346
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,346 2,000
Umeandika.matakataka ya kukaririshwa tu, we kichwani ni mweupe kama rim paper. You know nothing. Eb jaribu kutumia akiri yako il uujuwe ukweli
heri nyie wenye maarifa mengi lakini mmeshindwa kujitoa hadharani kuwaigiziwa virusi kisha tuwamonite...kama mnaamini kuwa HIV ni paradoxy na mind set kwanini hutumii uwezo wako wa akili kudhibitisha hilo practically....??

Ni aibu kuendeleza battle za kishamba namna hii....
 
umekalili Ebola tu....na maelezo umeenda kuchukua yale yale ya watu unawaita waongo....sasa umewezaje kuamini sympyoms za ebola au zika viruses ikiwa huamini za HIV ...?? nini kimekusibu....unaamini uwepo wa virus wa ebola then unakataaa kuhusu kuwepo kwa HIV daaaah.....jamaaa ni empty headed mmoja mzuri sana....unaona wengi wanakuunga mkono unajua unadrive mind za wote but kuna watu wanakusikilizia na kukuchora....

umewezaje kuamini symptom za Ebola tenakwa kuzicopy wikipedia na kuja kupaste hapa huku za HIV huamini uwepo wake.......niliandika kwa makusudi ili ukajae huko wikipedia uje na zingine...unfortunatily umejaaa kwenye kumi na nane.

daaaah....kwa taarifa yako kuna thousands viral serotype ambazo zinatumika katika mambo mbalimbali ila zingine haziwekwi wazi kwa sababu maalumu....but making you trust ni kwamba you know nothing about VIRAL serotype na jinsi zinavyofanya kazi....

komaaa kuhadaaaa watu maybe you have your own mission behind sio kwa kukosa kulink unachokiamini na uhalisia wa unachokielezea...
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,038
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,038 2,000
Wakuu nina jambo la ajabu! Mwaka 2012 nilipima nikawa HIV+ nikatumia doze for like several years ila kama mwaka nimeacha mwili uko poa kishenz nimegain energy sana mpk nahisi sina ile maneno tena! Kuna uhusiano gani kutumia arv's na kua mgonjwa sana na kutotumia ukawa normal (best yangu kapenda ni share na nyie)
Mwambie aendelee kutumia dawa zake,ninamfahamu mtu alieacha kutumia dawa akaishi kwa zaidi ya miaka 10 akitumia vyakula vyenye michanganyiko maalumu ya Vitamins , ukweli kinga ilipanda sana na viral load ikashuka mpaka kuwa undetectable ,lakini kibao kimebadilika kinga imeporomoka hali ni mbaya kwa sasa na virus wamemuumiza sana,ameshauriwa kuanza tena ARVs, sasa sijui kama atasalimika,ingawa ameanza kupata nafuu kwa mbali sana...
 
Goodhearted

Goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Messages
470
Points
500
Goodhearted

Goodhearted

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2015
470 500
heri nyie wenye maarifa mengi lakini mmeshindwa kujitoa hadharani kuwaigiziwa virusi kisha tuwamonite...kama mnaamini kuwa HIV ni paradoxy na mind set kwanini hutumii uwezo wako wa akili kudhibitisha hilo practically....??

Ni aibu kuendeleza battle za kishamba namna hii....
heri nyie wenye maarifa mengi lakini mmeshindwa kujitoa hadharani kuwaigiziwa virusi kisha tuwamonite...kama mnaamini kuwa HIV ni paradoxy na mind set kwanini hutumii uwezo wako wa akili kudhibitisha hilo practically....??

Ni aibu kuendeleza battle za kishamba namna hii....
Utanihakikishiaje usalama wa maisha yangu ninapofanya hicho kitu hadharani?. au unafikiri mi wa kwanza kupinga. Utasemaje kuhusu Robert Wilner, Thabo Mbeki na wengineo wengi. We endelea kuamini unachokiamini but hii biashara ya watu ni untouchable
 
Masulupwete

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Messages
1,041
Points
1,500
Masulupwete

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2012
1,041 1,500
Wakuu nina jambo la ajabu! Mwaka 2012 nilipima nikawa HIV+ nikatumia doze for like several years ila kama mwaka nimeacha mwili uko poa kishenz nimegain energy sana mpk nahisi sina ile maneno tena! Kuna uhusiano gani kutumia arv's na kua mgonjwa sana na kutotumia ukawa normal (best yangu kapenda ni share na nyie)
Mzee baba ni best yako au wewe mwenyewe!!?
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
umekalili Ebola tu....na maelezo umeenda kuchukua yale yale ya watu unawaita waongo....sasa umewezaje kuamini sympyoms za ebola au zika viruses ikiwa huamini za HIV ...?? nini kimekusibu....unaamini uwepo wa virus wa ebola then unakataaa kuhusu kuwepo kwa HIV daaaah.....jamaaa ni empty headed mmoja mzuri sana....unaona wengi wanakuunga mkono unajua unadrive mind za wote but kuna watu wanakusikilizia na kukuchora....

umewezaje kuamini symptom za Ebola tenakwa kuzicopy wikipedia na kuja kupaste hapa huku za HIV huamini uwepo wake.......niliandika kwa makusudi ili ukajae huko wikipedia uje na zingine...unfortunatily umejaaa kwenye kumi na nane.

daaaah....kwa taarifa yako kuna thousands viral serotype ambazo zinatumika katika mambo mbalimbali ila zingine haziwekwi wazi kwa sababu maalumu....but making you trust ni kwamba you know nothing about VIRAL serotype na jinsi zinavyofanya kazi....

komaaa kuhadaaaa watu maybe you have your own mission behind sio kwa kukosa kulink unachokiamini na uhalisia wa unachokielezea...
Hivi wewe kweli unaweza kujiita daktari kama umeshindwa kuelewa hiki kidogo tu nilichoandika?Hivi udaktari wako umepewa mwaka gani,maana kizazi hiki cha sasa vichwani mwao ni hovyo sana,ni hatari hatari sana kuwakabidhi madaktari wa kizazi cha sasa afya zetu,maana hawawezi kabisa kujiongeza.

Sasa angalia nilichoandika mimi hapa chini halafu uone kwa ubongo wako mdogo kama kweli maandishi yangu yanaonesha kwamba naamini ZIKA au EBOLA....soma hapa chini quote yangu mwenyewe...

"...maana hata ZIKA jinsi anavyoelezewa hana hatari au tabia hiyo unayoisema ingawa najua ZIKA na EBOLA wote ni upumbavu tu...ngoja nikuoneshe wenzako wanavyosema hapa chini kuhusu ZIKA halafu linganisha na wewe ulivyosema kama mnafanana(ingawa najua wote ni pumba tu)..."

Sasa soma hayo maneno niliyokoleza wino uone kama mimi nakubaliana na huo upuuzi wa Zika na Ebola.Sija Edit hiyo post yangu,maana hukawii kusema kwamba nime edit.

Maneno hayo juu yanaonesha wazi kabisa msimamo wangu juu ya Ebola na Zika...mimi lengo langu lilikua kukuonesha wewe jinsi unavyoshindwa kuuelewa hata huo uongo unaosambazwa kuhusu Zika na Ebola...yaani kama umeshindwa kuuelewa uongo uko vipi,Je,unaweza kuulewa ukweli uko vipi?

Halafu nime copy hayo maelezo kuhusu Zika ili nikuoneshe wenzako wanasemaje kuhusu Zika tofauti na wewe ulivyosema,INGAWA WOTE MNASEMA UONGO...sasa hapo nimelinganisha uongo kutoka kwako na uongo kutoka kwa wenzako ili uone jinsi wewe ulivyo na pumba kichwani mwako.

Hiyo Zika uliyosema kwamba inakufanya utokwe na damu hadi kufa ni tofauti na Zika ile inayotangazwa na wenzako(INGAWA NAJUA WOTE NINYI NI WAONGO)...Wenzako wanahusisha Zika na Microcephaly...yaani wenzako wanasema kwamba,kina mama wajawazito wenye zika wana uwezekano wa kuzaa watoto wenye vichwa vidogo(INGAWA HILI NALO SI KWELI)...

Sasa wewe umekurupuka na pombe zako za kienyeji unanipachikia maneno yasiyokuwepo.Jitathmini vizuri kama uko sawa ndugu yangu.
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
mbona umeulizwa huko kuwa naomba ujitangaze hadharani tukuwekee positive HIV sample blood then tukumonite tuone kama hutadevelop hizo Symptoms...

Tatizo unawakalilisha wapuuzi wasiojua chochote kuhusu hiyo elimu yako ya kudadisi huku ukiwa nje ya mstali....simama with evidence...kuwa muwazi..jitoe uwe mtu wa kwanza kupinga hiyo kitu huku ukiruhuusu Wainduce HIV kwenye mwili wako....ukiendea kupinga huku hujatoa udhibitisho nakuona kama mtu usiyetambua nini maana ya kufanya research ili kupinga research zingine..

unapinga kitu mitandaoni.....miminingekuona wa maan kama ungekuja na proved research uliyofanya mwenyewe na sio kunakili majarada mitandaoni kisha kuja kujaza watujjinga....
Unadhani wewe ndio wa kwanza humu kunitaka nijidunge hiyo damu?...nilishaelezea mara nyingi tu humu nilishawahi kufanya hivyo zaidi ya mara moja,najua hata nikifanya mbele ya macho yako utakuja na sababu nyingine tu ilimradi uendelee kupinga.Sasa unadhani nitapoteza muda kuhangaika na hilo ili kumthibitishia mtu asiyejielwa jambo hili?...

Halafu kwasababu ubongo wako ni mdogo,unashindwa kujua kwamba kunitaka mimi nijidunge damu hiyo ili nithibitishe kwamba HIV yupo maana yake unaendelea kuthibitisha jinsi ulivyo uwezo mdogo wa kufikiri....tumeambiwa kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono,na wewe unaamini watu wengi wameambukizwa kwa njia hiyo,sasa kinachokufanya unitake mimi nijidunge damu ndio nipate maambukizi ni nini?

Kwahiyo hao wenye huyo HIV wameambukizwa kwa kujidunga damu?..yaani hata wewe hujiamini na huamini kama nikifanya ngono na mtu mwenye huyo HIV nitapata maambukizi mpaka nije kujidunga kabisa damu yenye huyo HIV...sasa kama ili upate HIV ni mpaka ujidunge damu yenye HIV,je kwanini mnasema kuna idadi kubwa sana ya waathirika?Je,hawa wote walidungwa damu yenye HIV?

Kama umeshindwa kutafakari mfano huu wa humuhumu wa aliyeandika uzi huu na mifano mingine kadhaa ya wachangiaji wa uzi huu,najua pia huwezi kuamini kile kitakachotokea kwangu....

Halafu nilishasema kwamba kuna watu wengi sana wamepmwa positive na hawatumii hizo ARVs na wameishi zaidi ya miaka 20 na hawaugui huo upuuzi...hata wewe unajua hili,kama hujui basi nakuonea huruma sana...sasa kama wapo watu wa namna hii(tena ni wengi sana) na hautaki kujiuliza kwanini na badala yake unataka litokee kwangu,basi wewe ubongo wako ni mfu kabisa.
 
D

Deception

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
1,093
Points
2,000
D

Deception

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
1,093 2,000
Mwambie aendelee kutumia dawa zake,ninamfahamu mtu alieacha kutumia dawa akaishi kwa zaidi ya miaka 10 akitumia vyakula vyenye michanganyiko maalumu ya Vitamins , ukweli kinga ilipanda sana na viral load ikashuka mpaka kuwa undetectable ,lakini kibao kimebadilika kinga imeporomoka hali ni mbaya kwa sasa na virus wamemuumiza sana,ameshauriwa kuanza tena ARVs, sasa sijui kama atasalimika,ingawa ameanza kupata nafuu kwa mbali sana...
Kuna taarifa za huyo mtu huna au hujaambiwa...ungepata taarifa zote za huyo mtu ningekwambia kwanini ameanza kuugua baada ya muda mrefu wa kuacha kutumia ARVs...LAZIMA kuna sababu ya yeye kuugua(lakini sababu hizo si HIV),yaani sibahatishi ninaposema hivyo,narudia,LAZIMA kuna sababu ya yeye kuugua baada ya kuacha hizo ARVs(LAKINI SABABU HIYO/HIZO HAZIHUSIANI KABISA NA HUYO HIV).Ningekua data/taarifa za kutosha ningeweza kujua sababu na hata kumshauri tiba yake...nimeshafanya sana haya mambo.

Nimeweka herufi kubwa na kukoleza wino ili watu wasiojielewa wasije kuniwekea maneno ambayo sikuandika.
 
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
863
Points
250
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
863 250
mkuu wewe hizi case za mtu kunywa dawa then anapimwa anakutwa hana au mama mjamzito anapimwa anakutwa anao ila akijifungua anakutwa hana, umewahi kukutana nazo?
Nyingi sana ila madaktari wenzangu watakuja hapa kupinga na copied text book theories kwasababu uzembe wa kufikiri na kuaminishwa kumezidi. Kuna cases za errors ila kuna other cases ni zaidi ya errors . Nitarudia kuwa ni pale wataalam wa afya watapoenda nje ya text book na kujiuliza si kwamba wakiuke medical ethics la hasha ila waruhusu independent reasoning tu.
 
Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top