My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

Unajua ndio maana mimi siku zote huwa nasisitiza watu wakipata muda wajaribu kuchunguza suala hili wao binafsi,nilishatoa mwongozo nini cha kufanya ili kujiridhisha...maana kamwe mtu hawezi kuujua ukweli huu kupitia haya maandishi kwenye JForums peke yake.
Watu now wanaamka ingawa si kwa kiwango kikubwa ila wanaamka. Na walianza kuamka kitambo ndo maana wakaleta ARV haraka. Na now wanalazima mapema uanze kutumia ila hata ukija kuamka/kushtuka unakuwa unaunguza mwili wako kitambo.
Bado wako kwenye bizness ya kupunguza watu duniani na kutengeneza pesa kiaina.
 
Ndio kama niliposema kwa comments yangu fulani nyuma. Kuwa Mungu alituagiza misosi ya kula kufanya miili yetu iwe fiti 1000% na ukila hivyo haya magonjwa utayasikia kwa bomba.View attachment 1145133
Nakuunga mkono kwa sababu pia ipo kabisa kwenye vitabu vifuatavyo medical ministry wameandika hiyo kitu, selected messages, counselling on food and diet, ministry of healing, ila kuna neno wamesisitiza hivi Mungu anawaelekeza watu warejee hatua kwa hatua kwenye ule mfumo wa kwanza wa chakula, ila kwa sasa hivi watu wengi wanaenda kinyume ndio maana wanapata shida
 
Mkuu, hili suala take it further!! Lifuatilie.

Watu wanamezeshwa mavidonge ya ARVs for nothing. Na ukweli ni kwamba, ARVs trap inaanzia kwenye 'HIV Test'.

SIDE EFFECTS za ARVs ni 'extremely fatal' kuzidi hata Ukimwi wenyewe. Kama kuna Daktari anabisha hiki nilichosema, aje hapa.

-Kaveli-
It is worthy to say ARVs zinasababisha DISEASES rather than having SIDE EFFECTS...

Hata kusema kwamba ARVs zina side effects bado utakua hujazitendea haki,kinacholetwa na ARVs si side effects bali ni magonjwa kabisa...tunajua,na hata daktari akija atasema kwamba "kila dawa ina side effect"...ni sawa...lakini kwa baadhi ya vidonge especially ARVs havileti side effects bali zinaleta MAGONJWA kabisa.
 
Nakuunga mkono kwa sababu pia ipo kabisa kwenye vitabu vifuatavyo medical ministry wameandika hiyo kitu, selected messages, counselling on food and diet, ministry of healing, ila kuna neno wamesisitiza hivi Mungu anawaelekeza watu warejee hatua kwa hatua kwenye ule mfumo wa kwanza wa chakula, ila kwa sasa hivi watu wengi wanaenda kinyume ndio maana wanapata shida
Sawa kabisa,kwenye miongozo yao suala hili lipo kabisa,yaani imeelezwa kabisa kwamba mtu akiwa na upungufu wa kinga anatakiwa apewe nini...kila kitu kimeelezwa...lakini baada ya kuibuka kwa dhana ya HIV wamesahau kabisa na badala yake wanawapa watu ma ARVs ambayo ukifuatilia utaona wazi kabisa hayo ma ARVs ndio yanayosababisha magonjwa kibao ukiwemo huohuo ukimwi baada ya matumizi ya muda mrefu....ARVs hazibahatishi...ukizitumia muda mrefu you must develop very fatal diseases,hili sio suala la mjadala...bali ARVs ndio ziko hivyo,hiyo ndio nature yake...because they are designed to Kill cells.
 
Pia kitu cha nyongeza kama matunda tutumie yale yenye mbegu sio yale mengine ambayo hayana mbegu (seedless) or GMO..
Tusipende vyakula vya kisasa, hizo ndizo siri za kupona magonjwa mengi,
Mwisho naomba jamiiformn watuwekee option ya ku upload video niweke video.
Sawa kabisa,kwenye miongozo yao suala hili lipo kabisa,yaani imeelezwa kabisa kwamba mtu akiwa na upungufu wa kinga anatakiwa apewe nini...kila kitu kimeelezwa...lakini baada ya kuibuka kwa dhana ya HIV wamesahau kabisa na badala yake wanawapa watu ma ARVs ambayo ukifuatilia utaona wazi kabisa hayo ma ARVs ndio yanayosababisha magonjwa kibao ukiwemo huohuo ukimwi baada ya matumizi ya muda mrefu....ARVs hazibahatishi...ukizitumia muda mrefu you must develop very fatal diseases,hili sio suala la mjadala...bali ARVs ndio ziko hivyo,hiyo ndio nature yake...because they are designed to Kill cells.
 
na hii ya kupima na kurudi baada ya miezi mitatu kuna kitu wamekificha hapa
Mimi bado mwanafunzi kwenye hii kada ya afya lakini nasema sitakaa nipime kamwe labda niwe Nimezimia.

Naendelea kufanya udadisi nitarudi ukikamilika maana hii kesi nimekutana nayo sana kwa wamama wajawazito ukipima HIV 70% lazima ukute +ve na wengi hushangaa,kumbuka kipindi cha ujauzito mama mjamzito kinga zake hushuka.
 
Afu nitoe ushuhuda hapa imewahi kutokea Mwanamama mjamzito alipima akaonekana +Ve ila Mumewe -Ve,Yule mama alijitetea sana kwa mumewe kuwa hakuwahi kuchepuka ila tukapuuza leo akili inafunguka taratibu ngoja tuone.
 
Mimi bado mwanafunzi kwenye hii kada ya afya lakini nasema sitakaa nipime kamwe labda niwe Nimezimia.

Naendelea kufanya udadisi nitarudi ukikamilika maana hii kesi nimekutana nayo sana kwa wamama wajawazito ukipima HIV 70% lazima ukute +ve na wengi hushangaa,kumbuka kipindi cha ujauzito mama mjamzito kinga zake hushuka.
Kinga/antibodies za mama mjamzito zinabadilika sana kiutendaji baada ya mama kupata mimba ili kufanya development ya fetus iwe kamilifu...mabadiliko haya yanategemea kati ya mtu na mtu...na ndio haya mabadiliko yanayosabisha vipimo vyao feki viwe reactive kwa maana vipimo vyao vingi vina deal na antibodies...

Nawapa watu homework nyingine ili wajue kama tunachezewa mchezo kwenye suala hili.....

Fanya mpango vyovyote uwezavyo,tafuta mama mjamzito ambaye amepimwa HIV-...yaani yule ambaye vipimo havikua reactive...yaani kwa lugha yao ni kwamba hana HIV...nenda kampime kipimo cha kuonesha viral load...maajabu utakayoyaona huko utakuja kuniambia...
 
Ndio maana wanasema muende wote ili mkikutwa fasta muanzishiwe hiyo kitu yao ya kizungu,
 
Kinga/antibodies za mama mjamzito zinabadilika sana kiutendaji baada ya mama kupata mimba ili kufanya development ya fetus iwe kamilifu...mabadiliko haya yanategemea kati ya mtu na mtu...na ndio haya mabadiliko yanayosabisha vipimo vyao feki viwe reactive kwa maana vipimo vyao vingi vina deal na antibodies...

Nawapa watu homework nyingine ili wajue kama tunachezewa mchezo kwenye suala hili.....

Fanya mpango vyovyote uwezavyo,tafuta mama mjamzito ambaye amepimwa HIV-...yaani yule ambaye vipimo havikua reactive...yaani kwa lugha yao ni kwamba hana HIV...nenda kampime kipimo cha kuonesha viral load...maajabu utakayoyaona huko utakuja kuniambia...
Wengine inakuwa reactive kutokana na lishe mbovu, kuna mmama moja namuhurumia walimpima na kumwanzishia, kumbe yeye kwao mlo shida na alikuwa na mimba, ukimwona alivyo vimba vimba utamruhumia, ila mmewe ni negative, mwishoni wakaja kugundua hana virusi walipoenda kupima viral load wakakuta ni 0, hii waligundua kama bahati waliponifuata niwasaidie swala la kupandisha kinga za mwili kwa chakula na diet supplement.
 
Kinga/antibodies za mama mjamzito zinabadilika sana kiutendaji baada ya mama kupata mimba ili kufanya development ya fetus iwe kamilifu...mabadiliko haya yanategemea kati ya mtu na mtu...na ndio haya mabadiliko yanayosabisha vipimo vyao feki viwe reactive kwa maana vipimo vyao vingi vina deal na antibodies...

Nawapa watu homework nyingine ili wajue kama tunachezewa mchezo kwenye suala hili.....

Fanya mpango vyovyote uwezavyo,tafuta mama mjamzito ambaye amepimwa HIV-...yaani yule ambaye vipimo havikua reactive...yaani kwa lugha yao ni kwamba hana HIV...nenda kampime kipimo cha kuonesha viral load...maajabu utakayoyaona huko utakuja kuniambia...

Mkuu, hiki ulichokisema nami huwa najiuliza. Kwamba, mtu ambaye amepima HIV- , je akipimwa 'Viral Load'... majibu yatakuwaje?

Madaktari wanaaccess vifaa vya upimaji muda wote. Hebu wasiwe wabishi kuhusu haya masuala, wajaribu tu kuyafanyia utafiti (informally) huko mahospitalini. Watapata uhalisia.

CC: feyzal

-Kaveli-
 
Kwenye hili mnenikosa
Mabwana zako uko ulaya wanaindaa dunia kuniambia ukweli kuwa h.i.v ni fek
millardayo-20190703-0001.jpeg
 
Ndo maana zaman walikuwa hawatoi dawa mpaka mtu.aumwe sana
Ila badae wakaona ili kuongeza maisha ya mtu zaidi ni kumpiga midawa tu
Na pia kutokuambukiza watu
Mabwana zako uko ulaya wanaindaa dunia kuniambia ukweli kuwa HIV ni fek
millardayo-20190703-0001.jpeg
 
Mkuu, hiki ulichokisema nami huwa najiuliza. Kwamba, mtu ambaye amepima HIV- , je akipimwa 'Viral Load'... majibu yatakuwaje?

Madaktari wanaaccess vifaa vya upimaji muda wote. Hebu wasiwe wabishi kuhusu haya masuala, wajaribu tu kuyafanyia utafiti (informally) huko mahospitalini. Watapata uhalisia.

CC: feyzal

-Kaveli-
Hata mimi lengo langu kubwa ni kufungua milango ili hata madaktari nao waone kwamba kuna tatizo mahali na waanze kufanya uchunguzi wao binafsi bila kutegemea miongozo kutoka magharibi.

Daktari hata akisema kwamba hakubaliani na kile tunachosema sisi 'wapingaji',hilo sina tatizo nalo,bali wakiwa tayari kufanya uchunguzi wa kile tulichokiona sisi 'wapingaji' nitafarijika sana,maana hiyo ndio njia kwao kuutambua ukweli ni upi.
 
Siku wakishaona wametengeneza mpunga wa kutosha kwa ARV na idadi ya watu ambao walitaka kupunguza imetimia. Then watajifanya wameleta dawa....ili tena wapige mpunga wa hiyo dawa. Ingawa inakuwa kama Unakunywa maji basi
 
Ukimwi Upo Mazee,Watu wanaondoka na kilo mbili daily na maambukizi mapya kwa siku ni watu 200.....Kuna baadhi ya watu huwa na kinga kali hawapati virus hata wakipiga Dry kwa mtu mwenye HIV+,nishashuhudia jamaa alikuwa anakula demu mwenye ngoma lakini yeye hakupata kabisa na walizaa naye mtoto.
Hivi Ile muvi ya king Kong ilichezwa mwaka gani vile maana Leo nimetazama kupitia chanel ya UBC
 
Siku wakishaona wametengeneza mpunga wa kutosha kwa ARV na idadi ya watu ambao walitaka kupunguza imetimia. Then watajifanya wameleta dawa....ili tena wapige mpunga wa hiyo dawa. Ingawa inakuwa kama Unakunywa maji basi
Wanatafuta formular ambayo inafanana na diet ili warudishe kinga maalumu kwa AIDS tu, ili baadaye watafute madunguri special kwa Ebora, unapiga huku unaleta ingine biashara kazini. Kumbuka kuna kipindi ndani ya BBC, Uk na Euroupe waliwaambia USA mnadawa za EBOLA kwa nini msizitoe ila wamarekani hawakujibu wakawa kimya, ila raia wao alipoumwa huko Africa magharibi walimsafirisha kutoka africa wakaenda kumtibia kwenye hospitali ya kijeshi.
Kumbuka: hawa watu hawawezi kutoa hata technology yao kabla hawajapata ingine.
 
Back
Top Bottom