My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

Una bahati mkuu. Mimi nilikaa two years ndo nikapata ajira japo siku serious sana kwenye utafutaji wangu sababu kuna issues nilikua nafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok
Mie nilijiwekea resolution that as long as nimesoma this course basi ntakifanyia kazi,haijalish sina connection or whatever
Nilisema my 4 years in varsity can't be wasted

Lol. I wasted my 3 years chuo. Ninachofanyia kazi sicho nilichosoma chuo. Kuna muda naumia ila ndo maisha mwisho wa siku tunafanya kazi maisha yasonge

Lol pole but uko sawa?
I studied that course ili nije niifanyie kazi and hata kurudi govt nisababu ya hiyo
Najua inshallah nilichokuwa nadream kitatimia tu

Niko sawa ila bado natamani kufanyia kazi nilichosoma. Next year ntarudi for CPA labda naweza pata kazi ya nilichosoma hata kama sio yenyewe ila inayokaribiana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokiona kuna watu miwivu imewajaa, mtu kaelezea story yake mara anajivuna...mara nini daah.!!

Ombeeni wenzenu mema na nyie mpate kubarikiwa looh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na wewe
That's story of my life
Nijivune kwa lipi kwa mfano?
Mshahara wenyewe ndo huu umeganda hata hauongezeki
But I know nachokitaka since niko chuo
So sikatishwi tamaa na salary ndogo coz that is not my dream
Nina vision na mission ya carrer yangu
If you love your job you will perform
Katika mazingira yoyote yale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom