Mwanafunzi wa chuo umejipangaje baada ya kumaliza Chuo?

Mwanafunzi wa chuo umejipangaje baada ya kumaliza Chuo?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,238
Reaction score
11,665
Baada ya kuwa chini ya utegemezi wa wazazi na uangalizi baada ya kumaliza chuo ni kama kuku aliyefunguliwa bandani akajitafutie chakula umejipangaje?
Kurudi nyumbani ukapambanie ugali wa wazazi pamoja na wadogo zako au kubaki huko ukipambania future yako?

Kila mtu anajua uwepo wa tatizo la ajira na ningumu kupata ajira pindi tu umalizapo umajipangaje? Mimi nashukuru wakati nasoma nilikuwa tayari nimeshajua hata ramani yakupata laki kwa mwezi nawashauri vijana usikomalie madaftari tu , anza kujipanga mapema ujue fursa zilipo kama unataka kuja kudharaulika na wadogo zako endeleza uvivu
 
Umejuaje mambo yangu pasonoo.... Me ntakuwa najiunga na nyumba ya malezi ya wakapuchini nikawe tuu padri aseeh mtaani kwa moto cc min -me
 
Back
Top Bottom