My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

Exactly
Nikwambie kitu mie toka nasoma nilisema nitaishi Arusha, Manyara na Mwanza
Ndomana nilipomaliza tu nikaondoka dsm
Huko kote nilikotaka kuishi na kufanya kazi nimepita na nilienjoi sana
Nimekaa arusha,manyara,mwanza
Kuna wakti nilikaa mbugani manyara na Tarangire kikazi ,it was the best time of my life
Mwanza pia nilienda kikazi na nikaenjoi sana
Bahati mbaya ama niseme karma ilinirudisha dms kikazi,ila since nasoma niliplan kufanya kazi na kuishi mikoa hiyo mi3
The point is focus,lazima ujue nini unataka then tafuta means ufike unapopataka
Mie sifanyi kazi kimazoea kama watumishi wengine,you know why?because am creating my cv for what i want ,simple

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa somehow you speak bout my own experience.. Mwanza napapenda lakini kwa target zangu nilifail ndo nikaamua dar iwe destination .. Dar ni Tanzania's business hub hivyo haiepukiki kwa baadhi yetu lakini choice yangu ni kuishi nje ya dar ..mikoani bado ni greener pasture kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa somehow you speak bout my own experience.. Mwanza napapenda lakini kwa target zangu nilifail ndo nikaamua dar iwe destination .. Dar ni Tanzania's business hub hivyo haiepukiki kwa baadhi yetu lakini choice yangu ni kuishi nje ya dar ..mikoani bado ni greener pasture kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Yep najua ila sijawahi ipenda dsm
Nikiwa Mwanza ama arusha nakuwa very happy tofauti na nikiwa dsm
Since naingia chuo sikuweza ipenda dsm
Naiona kama sehemu yenye vurugu na hali ya hewa sio nzuri kihivo
Me I love Mwanza jaman
Also arusha
I think my next destination kutakuwa mikoa hiyo miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani ww unataka ajivunie nini? kumiliki kampuni au?? kila mtu ana malengo yake ktk maisha bro!,hata hivyo kazi anayoifanya kwa namna moja au nyingine ninakusaidia na ww pia.
Shangaa na wewe
Mie natoa huduma kwa jamii huku nikiplan kutimiza ndoto zangu
Sina ndoto za kuwa baresa au mengi
Kwann anifoc tufanane?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job security wenzako wanapiga mamilioni. Job security kwani unataka kustaafu kazini? Pathetic....fanya kazi miaka 10 tu achana na utumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ndoto ya job security? Unataka kufanya kazi miaka mingapi? Kuna maza 1 alimshauri bint yake afanye kazi TTCL wakati kuna bank inamtaka. Kiwango cha pesa kinawiana. Akaenda bank private. Jov security kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah ndugu yangu mengine tuyaachege tu yapite
Nikisema niropoke hapa kwa mambo nilopiga hadi sasa ntajichomea utambi bulee
We elewa tu kuwa naipenda kazi yangu na niko serikalini,usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job security😅😅😅 akili za wabongo bana ndo maana mtaajiriwa mpk uzeeni
 
Nakutakia kila la kheri mkuu kwenye safari yako ya kuamka kwa ratiba ,kuomba ruhusa kwenda msibani hata ukiwa wa mamako ,kuhamishiwa popote mda wowote wakijisikia kukosa muda wa kuangalia zaidi makuzi ya wanao ,mapato yako limit yake ni mishahara +marupulupu (hutakaa uishi ghorofani) daima PCCB,TISS wanakufahamu kwa jina na hata ununue ka prado hawa hapa,wakati muuza machungwa hata anunue vogue hakuna wa kumfatilia ,mkuu mimi nilikuwa mtumishi tena senior level maana nimeingia serikalini na masters+CPA ,nilijitafakari mambo ya kuletewa mkuu wa wilaya wa lasaba wakati hana hadhi hata ya kuwa mwanafunzi wangu,nkajianzia vishuhuli mnavyoviita vya wasio soma leo maisha yanaenda na naamani

sasa mkuu mleta mada yupo kwenye hicho kipindi, ataanzisha shughuli ndgo ndgo kwa hela ipi
 
Story hii ni kama za utotoni.
Walipendana sana
Wakaoana
Wakaishi raha mustarehe
Wakapata watoto
Wakastaafu
Wakalipwa kiinua mgongo
Wanakula bata Tanga.
What a story without imagination. Anyway hao ndio ma graduate wa leo.
 
Hii blah blah ya job security serikalini ni upuuzi fulani unaotupumbaza watu wengi
 
kupata kazi za Enviromental ni kazi..
Hongera sana
 
Back
Top Bottom