My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

nalipa kulingana na serikali yetu jinsi ilivyo panga mishahara. na anaepiga kazi ni kafurahi na muongeza siwasubiri tukta. huyo hajapata msoto kama kweli msomi aachekazi tuje tuzalishe ajira. sasa wote wanakimbilia kuajiriwa inakuwaje?
Niko mbioni kufungua kampuni yangu
So nadhan ntatoa ajira tu
Nilikuja serikalini kwani nilikuwa na ndoto na nilichosomea kukiapply serikalini
Ukiangalia andiko langu utaona niliondoka private kwani kulikuwa hakusupport my life dream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani humu kutokana na comments you can tell a lot of people in here are sadists. Yani hawafurahii kuona mtu ana share success story yake.... wanataka story zifanane. Wanataka kila mtu apitie magumu kama wao walopitia. If someone has it easy in life esp. kama ni mdada utaskia eti katoa rushwa ya ngono!!!
Badala ya kuona namna gani mwenzenu anaweza kuwapa mbinu na namna alivyo succeed bila shida mnaanza kuponda "eti ungejua shida wengine walizopata ungefuta story yako"....Sasa how will you be inspired?
Seems wengi humu wana wivu kuona flani kafanikiwa; wanataka wote mpate shida.
Shaaaaaaa binadamu bwana....

Hahahah acha tu ndugu yangu
Natamani hata kufuta bandiko lol
But my point was to inspire na kuonyesha still there hope and room for success if you belive
And trust me sijadhalilishwa kingono wala kuoffer ngono kupata job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom