The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #81
Hii ndio Jf wazoee , baadhi tumeshalielewa somo.Hahaha acha tu
Afu story nimeifupisha tu ndomana unaonekana easy
Ila nilipitia kipindi kigumu sana
Anyway lengo nikuwapa graduates moyo
Kuwa ipo siku yatakuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
OkHii ndio Jf wazoee , baadhi tumeshalielewa somo.
inawezekana pia, mazingira kila mtu anapitia tofauti, akili, elimu, fursa na changamoto.Ila naamin kuna wsnawake wengine wana/mepigana zaidi yake.
nani alianza kufanikiwa kati yenu?Boyfriend wangu tulipomaliza chuo yeye alibaki Dsm, mie nkarudi nyumbani
Na yeye alikuwa amepigika kama mie tu so he couldn't help
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sanaOk
Halafu la kushangaza ajira nilikuja pangwa Dsm nilipopakimbia
Mie niliamini nikienda kaskazini ntatoboa, nililenga mikoa ya Arusha,Kilimanjaro na Manyara
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri...nani alianza kufanikiwa kati yenu?
Sehemu ya iron umepatiaGood morning Iron Butterfly... Nmetafakar leo alfajiri neno "Iron" umelitumia kujieleza kua wee nimwanamke uwezae kusimma pekee, maisha yako unayaendesha mwenyewe, awepo mwanaume nyuma asiwepo bado yataenda.
Neno "Butterfly" umelitumia kujieleza namna ulivyo mzuri, mtamu mtamu , sura na umbo vyote vzuri .
[emoji4]
Mie nilipata kazi kabla yakenani alianza kufanikiwa kati yenu?
Naomba tushare hilo jibu kama umeshajibiwa
Doooh i have a feeling there is a lot of interesting things to discover about you!!Sehemu ya iron umepatia
Ila kwenye butterfly umekosea
Butterfly namaanisha naruka popote kwenye fursa,si mwoga,lakini niko makini na hatari nikiihisi ni mwepesi kukimbia/kupaa kama kipepeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa aifute kisa kuna ambao hawajapata kazi??? Unataka wote tufanane???Shukuru mapema tu ulipata kazi wenzako wanamiaka wanasota kitaa huku wakikuelezea story zao hii yako utaifuta makwambia
Exactly maisha ni tacticsOyaaa wakuu povu la nini [emoji23][emoji23] dizaini watu kama mmejaa upepo hivi.
Nilichoelewa mimi kwa mleta uzi maisha ni tactics tu haina haja ya kuumiza kichwa sanaaa.
Hahah,mzee unamanisha alitakiwa kuwa na karatasi tu inayoonesha education background yake auHivi mtu umemaliza chuo tu, tayari una CV?
Nami naamini hivyoStory ya Kishoga hii tu.