My Confession

Mpwa kuwa makini na hiyo tabia haijengi inabomoa kama uliamua kuoa unatkiwa usione nje ya mkeo....mazuri/matamanio yeye anamapungufu gani? hio ndio sababu kubwa tuna watoto wa mitaani incase of diseases....vitabu vitakatifu vinasema TAMAA HUZAA ZAMBI, ZAMBI HUZAA MAUTI.
 
Swadakta safi sana mkuu! Ukiteleza tena usiache kutumia

hii kitu haitakuja kutokea tena, never.
yani hapa ndio naanza maisha mapya nikiwa nimeamua kubadilika.
mabadiliko sio mpaka uokoke, but kubadili tabia na msimamo tuu!.
 
Mpwa kuwa makini na hiyo tabia haijengi inabomoa kama uliamua kuoa unatkiwa usione nje ya mkeo....mazuri/matamanio yeye anamapungufu gani? hio ndio sababu kubwa tuna watoto wa mitaani incase of diseases....vitabu vitakatifu vinasema TAMAA HUZAA ZAMBI, ZAMBI HUZAA MAUTI.

thus why nimejistukia na kuamua kubadili msimamo. akchuale haikua mazoea as tabia, but siku moja moja sana nilikua namega kiaina tena na zana si unajua usalama F siku hizi
 
Kuna sababu nyingi zinachangia cheating ktk ndoa. Mwenzetu sijui nini ilikuwa mazingira ya kumcheat wife wako mara ya kwanza? Hofu yangu hii confession isije kuwa danganya toto!
 
Waswahili bwana, ulipoanza kucheet ulituambia? Leo umeacha ndo unatutangazia, ingefaa uweke majibu ya Angaza ndiyo utaeleweka, vinginevyo mimi nahisi umeshaukwaa ndiyo unamrejea mwenzio.
 
mkuu nimeamua kuja hapa ili na wengina nao wajifunze kitu.
majibu yangu hata nikiweka wapa haitasaidia kitu, ila niko fit sana coz huko vichochoroni nilikua natumia zana mkuu kwa umakini mkubwa
 
GP bora ubadilishe tabia yako kimya kimya kuna jamaa angu alijidai kuconfess mama huyoo akafungasha, we kaa kimya kama ulivyokuwa unakula kimya kimya. Nakuhakikishia kwa asilimia zaidi ya 80% itakuwa noma. Japo mi mgeni kidogo kwenye JF
 
naona kweli mpwa wangu porgie anaumia sana!i can't believe kwamba nashindwa kuchangia anything
 
Kuchangia hapo mpwa ni ngumu, yaani uji komit kula wali maharage fo ze resti ofu yua laifu, hapo mpenzi wangu atanisamehe na mimi pia nimekwisha msamehe kama akitaka kubadili mboga aende cha msingi nisijue.
 
hahahahaha!mpwa bana!dah!?:D
 
Kuchangia hapo mpwa ni ngumu, yaani uji komit kula wali maharage fo ze resti ofu yua laifu, hapo mpenzi wangu atanisamehe na mimi pia nimekwisha msamehe kama akitaka kubadili mboga aende cha msingi nisijue.

binamu hapo sasa unakosea, wali maharage kivipi tena?, inatakiwa mnabadilisha mboga nyie wenyewe, tena mnaanzisha bustani yenu wenyewe na mnaimwagilia maji mbona full mboga saba!!. mi nimeshastukia ndio maana nimeamua kulima bustani na kumwagilia mwenyewe mboga zangu, yuo noo waramm sayyiiiiiiing??
 
dah!naona mpwa ulipambana na KINU CHA AJABU,kiasi kwamba hutaki kukumbuka:D
 
Nimeona umegonga senkyu pale juu, na wewe mpwa uatoa kiapo cha utiifu? nina dauti kama utaweza kudumu na kiapo chako hata wikiendi mbili tu.

mpwa hii compyuta yangu haioneshi batani ya senksi.

huyu jamaa nahisi alipambana na KINU CHA AJABU!alichopambana nacho kinafaa kutupatia taito nyingine ya dizetesheni:eek:
 
dah!naona mpwa ulipambana na KINU CHA AJABU,kiasi kwamba hutaki kukumbuka:D

heheheeee, mkuu yani we acha tu!, nimegundua mai waifu is perfect more than vimeo vya vichochoroni.
 
naona kweli mpwa wangu porgie anaumia sana!i can't believe kwamba nashindwa kuchangia anything

naona mpwa wa kitaa alikuja akanusa akaona mambo magumu akabaki kunitext tuu!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom