My Confession

Dhamira imekusuta enhee?! Umechiti mwenyewe bila kulazimishwa na roho inakuuma alone. Raha kweli kweli.Mshirikishe na mkeo ili kikutoke moyoni completely.

i will try mkuu, ila yataka moyo mgumu.
lakini kikombe hiki lazima nikinywe by any means
 
...mnh,

yataka moyo, 'mwonja asali japo kwa dole ataonja tena...'
mapenzi yana majira yake; kiangazi, masika, kipupwe, na vuli...

Kujizuia siku za 'kiangazi' kwataka moyo wakti ushaonja alternative ya kuganga njaa!...

Kila la kheri mkuu, kila mtu ana skeletons zake kabatini,...
Usijidanganye kuungama kwa mkeo/mumeo,...
"...to forgive and to forget are two different things!"

Ah rafiki!!! hiyo ni platinum release mazee, umepiga kwe bull mkuu... nakupa kumi
 
Dhamira imekusuta enhee?! Umechiti mwenyewe bila kulazimishwa na roho inakuuma alone. Raha kweli kweli.Mshirikishe na mkeo ili kikutoke moyoni completely.

Mkuu... mbona unataka GP awe na hali ngumu?? there was a movie called burning bridges, itafute ni ya kama miaka 20 hivi

Kuna segment inasema- "lie... its the only thing that distinguish human and animals, please my daughter lie!!!, if you tell him the truth he will never forgive you... he will leave you!!! if nobody nkow it never happened"

hapo mama alijua kitakachotokea na moral of this is that badilika ila usimuumize zaidi, hata mungu atakusaidia
 
Two wrongs don't make a right. Sidhani kama mkewe ana akili timamu na ana jiheshimu ata lipiza kisasi kwa kwenda kuliwa uroda na wanaume wengine. Tuombe hayo yasi tokee.
Mkuu, asikudanganye mtu, zinaa kama damu ya mtu, ina haunt, ukimzini binti wa mtu na wako ataziniwa,ukimzini dada wa mtu na wako ataziniwa tu,ukimzini mke wa mtu na wako ataziniwa...mama wa mtu,shangazi wa mtu etc etc etc...we jaribu kufanya utafiti...utaona ajabu ya uchafu huu...ww ukiona unam cheat mkeo au mumeo basi ujuwe na mwenzako aidha keshaanza au atakufuatia..."uzinifu unamalipo" haya ni maneno ya wenye busara Mkuu.
 
do not tell her... utamuumiza zaidi, maadam nafsi yako imekubali kosa basi kuwa smart!! we kaseme halafu uone moto

hahaaa, hapa nakupata. ila ujue iliniuma sana but kumwambia jama itakua ngumu kiasi coz bado hatujawa mwili mmoja rasmi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom