My Confession

Mkuu umeona nini? Lazima kuna kitu umeona physical Then you felt it. Just tell us may be we can feel the same!!
 
ndoa zina mambo jamani, hapo ndoa yake changa sasa cjui ina muda gani loo, "nyama ni ile ile"...ulidhani kuna ladha tofauti kama k/moto na mbuzi choma, mnajihangaishaga bure tu nyie watu.....ingekuwa mie ucjeniambia hii kitu live, kaa nalo tu rohoni na ujirekebishe mwenyewe kama ulivyoamua ku cheat mwenyewe.
 
stori ya mpwa IMENITACHI KWELI KWELI!nahisi kama ina ukweli fulani katika maisha ya kawaida
 
Je ulikuwa unatumia ndomu huko uchochoroni? Kama ulikuwa hutumii ongoza angaza ukapime kabisa

mkuu nilikua natumia sana tuu, kwakua ninampenda si unajua tena magonjwa mengi siku hizi.
 
mkuu nilikua natumia sana tuu, kwakua ninampenda si unajua tena magonjwa mengi siku hizi.

Unampenda halafu unatoka njee!!

nini dhana halisia ya kupenda ikiwa huwezi mheshimu?

Mimi nilidhani kama kweli unampenda mkeo au mwenzi wako huwezi kufanya njee au ukamegwa njee na ukifanya hivyo whether unatumia kondomu au hutumii basi humpendi mwenzi wako.

au kama neno kupenda lina maana tofauti na niijuayo kwenye mahusiano ya ndoa basi nifahamishwe.
 
Mkuu ingependeza kama waraka huu angekuwa anatumiwa wife nadhani licha ya roho kumuuma angekuhurumia vilevile

nimeamua kuja kwa wapya na mabinamu mnishauri kwanza kabla sijajikusanya na kuanza kumwambia. inaniuma sanaaaaa jamani naandika kwa uchungu sana hapa, akili yote na mawazo yako kwake ukizingatia siku hizi ameongeza upendo kwangu mara dufu, sometimes nahisi sijui kanistukia?, yani hapo ndo naumia balaa. sio siri lazima nikonfess mbele yake
 
mbona hujanijibu kabla ya kukupa ushauri nina maushauri yaani yapo mengi sana kwa tukio kama lako nijibu kwanza niyuleyule au kule ulikuwa unazuga tu
https://www.jamiiforums.com/mahusia...250-nini-maana-ya-kujipanga-na-kujijenga.html
 
Bravo shemeji.

But some secrets are made to remain secrets. Usimwambie bali badilika tu na umwonyeshe kuwa umebadilika na UACHE kweli kucheat. You never know ukimwambia anaweza akaipokea na kukusamehe ndio but imani yake haitakuwa imeshake ? siku mkikinzana lugha kidogo tu atajua bado unaendelea. Duh sijui ni sawa maana hata sijui nikushaurije!

hapa umenena shemeji, ndio maana kinachonikaba roho nimeamua nikiseme hapa nishaurike kwakua nimeamua hivyo kuanzia leo mie no kucheat.
na nimemuandalia zawadi spesheli leo usiku, a wonderful surprise.
 
shemeji yangu kipenzi kwanza naanza kusema kuwa nimesikitishwa sana na kuhuzunishwa sana!!

Huyu uliyemcheat niyule uleyekuja kutoa ushauri hapa kwamba umemwambia kuwa mkapange akakwambia kuwa jipange kwanza kabla ya kwenda kwenye maamuzi hayo?

Pili huyu uliyemcheat ni yule uliyemsema kuwa bado yuko chuo na amemaliza juzijuzi engineering?

Tatu huyu uliyemcheat ni yule uleyesema kuwa ukimtumia credit hana haja hata ya kusema asante wala kukupigia pindi anapokuwa anakuhitaji?

Nne huyu uliyemcheat ni yule uliyeniambia kuwa kila anapokuwa na safari lazima akupe taarifa kukuondoa shaka?

Tano huyu uliyemcheat niyule aliyekuwa anayetoka out na mshikaji wake ambaye wamesoma wote enzi hizo za nyuma mchana wakati wa lunch na wewe kuumia?

Sita huyu uliyemcheat ni yule uliyekwenda naye vacation na ukaja kuaaga jf?

Ukinijibu nami nitanena.

shemeji kwakweli maneno yako yananichoma kama ncha ya mkuki tena wa moto, yani kwakweli ndiye mwenyewe, nilifanya madudu haya baada ya kuona kama bado yuko mbali sana nami, ila ni hapo majuzi tu nikaja kujua a- z ya ukweli woote, kwamba there was nothing at all, she is so innocent!, basi tu mawazo potofu yaliniingia, now she has told me yuko kwangu kwa 100% ndio maana najikuta naumia sana coz sasa upendo kwake kwangu uko wazi mpaka nakuta kweli sikua mvumilivu.
 
George_Porjie watu wanakumbukumbu duh haya ukijimix tu umekwisha utaonekana chovya chovya.

MKUU niko serious kwa 200% hata mpwa G nilimtonya live mbaya zaidi anamfahamu kabisaaaaaa, tena aliponiambia hivyo ndio nikaumia sanaaa na kuapa kwamba lazima nije nikonfess hapa, its true story, ili kama vipi na wewe mpwa uache mambo ya kujiexpress na kumega mega ovyo hahahaaaa. nyama ni ile ile binamu utamaliza bucha zooote! but nyama ni ile ile
 
GP afadhali umejigundua mapema na kuamua kutubu ila usiache kwenda kwenye vile vituo vingine ukajiangalie tena ujijue kama uko salama kabisa ndipo umweleze wife wako yote yalio moyoni mwako na umwakikishie toka moyoni kuwa umeacha kweli hayo madudu yako uliokuwa unafanya na kama wewe ni muunini wa romani kaotili nenda kwa padri ukaungame kabisa.
 
Lakini twendeni mbele na kurudi nyuma kina kaka huwa mnawaza nini mnapoamua kuwacheat wenzi wenu? Kwa wale walio na familia

Kwa mke unapata
-Mapenzi ya kweli ya dhati
-Anakujali kwa shida na raha (ukiumwa yeye ndo wa kukuhangaikia)
-Amekuzalia warithi wa jina lako, anawalea na kuhakikisha wako salama just for you
- Ndiye mwenye kukujua hasa kula yako, vaa yako hata lala yako.
-Mshauri wako mkuu
-mshirika katika mambo ya fedha na uchumi wa familia
-Ngono unaipata anakupa kwa moyo wote -inawezekana ikawa si exciting kama ambavyo ungependa

Kwa kimada unapata
- ngono haramu ingawa inakuwa exciting
- na nini tena maana hata sijui mnachopata huko zaidi ya hii!!
 
shost mbona umejichanganya mwenyewe kwenye hiyo red?

Yaani na wewe unasema kuwa kule wanapata ngono iliyojuu kuliko ya nyumbani?

basi kama ndo hivyo basi ndo jibu lenyewe?
 
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
nimeamua kubadilika kuanzia sasa.

oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison….

eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.

Hongera sana mdogo wangu, uamuzi wa busara sana!!! Lakini nakuonya kwamba confession is meaningless iwapo in a few months utakuja tena ukiwa unarudia makosa... confession huleta maana iwapo tu mtu harudii rudii kosa

Mara nyingi sana mimi nikishalewa usiku huwa naapa sinywi tena, lakini baada siku tatu na hang-over kuisha huendelea na pombe

Kila la kheri GP... Kuzaa si kazi, kazi kulea mwana!!

MTM
 
mbona hujanijibu kabla ya kukupa ushauri nina maushauri yaani yapo mengi sana kwa tukio kama lako nijibu kwanza niyuleyule au kule ulikuwa unazuga tu
https://www.jamiiforums.com/mahusia...250-nini-maana-ya-kujipanga-na-kujijenga.html

kumbuka pia shemu that time watu wengina waliniponda na kusema hanifai sijui namna gani vipi maneno lukuki. nikavumilia na sahizi ndo hivyo tuko pamoja still bado unasema nazuga???
mi sio wale watu wanakuja hapa na kuleta stori za kutunga, naongea vitu ambavyo kweli vipo na vimenikuta. SIZUGI hata kidogo!!.
 
shost mbona umejichanganya mwenyewe kwenye hiyo red?

Yaani na wewe unasema kuwa kule wanapata ngono iliyojuu kuliko ya nyumbani?

basi kama ndo hivyo basi ndo jibu lenyewe?

Shost ndivyo wanavosingiziaga utasikia wewe siku hizi mvivu ndo mana ninakwenda kule na hata wakikaa wenyewe husimuliana kuwa kule wanapelekeshwa hadi basi

Sasa kama haiko exciting than big house wanafuata nini? ngono si ni ngono tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom