My Confession

binamu hapo sasa unakosea, wali maharage kivipi tena?, inatakiwa mnabadilisha mboga nyie wenyewe, tena mnaanzisha bustani yenu wenyewe na mnaimwagilia maji mbona full mboga saba!!. mi nimeshastukia ndio maana nimeamua kulima bustani na kumwagilia mwenyewe mboga zangu, yuo noo waramm sayyiiiiiiing??

Mpwa mimi naona hapo utakuwa haubadili mboga bali ni kubadili viuongo tu, lakini hata yaungwe vipi maharage ukiyala kila siku yanaboa.Ila umechukua uamuzi wa busara mpwa nasubiri nizeeke zeeke labda nitakufuata ulipo.
 
mpwa hii compyuta yangu haioneshi batani ya senksi.

huyu jamaa nahisi alipambana na KINU CHA AJABU!alichopambana nacho kinafaa kutupatia taito nyingine ya dizetesheni:o

Hapo umelenga na kwa kuanzia mpwa porjie na maiwaifu wake ndio watakuwa sample yangu, sasa kwakuwa mpwa ameokoka sijui hatojali kuniacha na maiwafu saa kadhaa tuna piga maintavyuu..yunowaramseyyingi!!!
 
Mpwa mimi naona hapo utakuwa haubadili mboga bali ni kubadili viuongo tu, lakini hata yaungwe vipi maharage ukiyala kila siku yanaboa.Ila umechukua uamuzi wa busara mpwa nasubiri nizeeke zeeke labda nitakufuata ulipo.

mpwa viungo ndo vinanogesha mboga sasa!!.
kikubwa mai waifu nimegundua yuko juu sanaaaaaaa. thus why sifikirii tena kubadilisha 'main course'
 
Hapo umelenga na kwa kuanzia mpwa porjie na maiwaifu wake ndio watakuwa sample yangu, sasa kwakuwa mpwa ameokoka sijui hatojali kuniacha na maiwafu saa kadhaa tuna piga maintavyuu..yunowaramseyyingi!!![/QUOTE]

Ya I gara ya man!
 
mpwa viungo ndo vinanogesha mboga sasa!!.
kikubwa mai waifu nimegundua yuko juu sanaaaaaaa. thus why sifikirii tena kubadilisha 'main course'

zasi wasapu meni,huko ulipokwenda vekesheni itabidi utupeleke wapwazo wote inaonekana kuna darsa la kufundisha tabia...
 
Hapo umelenga na kwa kuanzia mpwa porjie na maiwaifu wake ndio watakuwa sample yangu, sasa kwakuwa mpwa ameokoka sijui hatojali kuniacha na maiwafu saa kadhaa tuna piga maintavyuu..yunowaramseyyingi!!!

mpwa chonde chonde!.
 
[/COLOR]
hii kitu haitakuja kutokea tena, never.
yani hapa ndio naanza maisha mapya nikiwa nimeamua kubadilika.
mabadiliko sio mpaka uokoke, but kubadili tabia na msimamo tuu!.

Mh!!! kweli we mkali, hata viongozi wa dini wenyewe hawaweki nadhiri kwenye hilo mazee

we ngoja ujikute kenye mazingira hatarishi
 
mkuu maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga!.
nimeshayavulia nguo na niko tayari kuyaoga, niko tayari kunywa kikombe cha mateso na mai wafu wangu.
 
hahhaaaaaaaa... kakako mwenyewe huwa siweki hizo nadhiri, kama ni kuoga we oga tu ila ukichafuka oga tena

nakupa tano kamili mkuu kwa uamuzi wako
 
dah, sidhani this time kama ntachafuka mazee!, m serious bana!, now nimeshaweka nadhiri kwamba mie na yeye tu sheitwani ashindwe na alegee
 
vp mkuu kibatani cha senksi si umekiona?, fanya mambo.
 
dah, sidhani this time kama ntachafuka mazee!, m serious bana!, now nimeshaweka nadhiri kwamba mie na yeye tu sheitwani ashindwe na alegee

Hhaaaallleeelluuuyyyaahh!!!! By bro you inspire many people including mimi

Tunakuombea mungu akutie nguvu ili shetani ashindwe na alegee kabisa!!
 
hhaaaallleeelluuuyyyaahh!!!! By bro you inspire many people including mimi

tunakuombea mungu akutie nguvu ili shetani ashindwe na alegee kabisa!!

amina!, amina!.
 
hahaaaa, hii ya leo kali mazee, kumbe ulikuwa unafanya advocacy??? haya nimekumwagia lukuki!!! si unajua hazilipiwi!!!??

no mpwa, niliona itakua nzuri kama ukinipa tano huku na senki yuu moja, coz najua imekugusa. nimekua jasiri sana kwa uamuzi huu. niko najipanga hapa leo jioni kidogo nitoke na mai waifu wangu kwa ajili ya dina spesheli maeneo, kesho lazima niseme kitakachojiri huko.
 
Apo tu mpwa,

By the way umemsikiliza kwa makini kaka MTM anachosema lakini, na umemwelewa? yeye ametangulia duniani ujue? hebu rudia tena kumsoma mpwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom