My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

Eti bro unatoka mtaa mmoja na akina katibu along'atuka majuzi toka chichiem nini? Naskia wakipewa hela watafikisha lakini mke wa mtu kamwe hafiki salama. Hongea mgosi!
 
boss, this is the point of no escape so if real u are repenting do it kwa mshkaj wako apime mwenyewe n kwa case ya pombe hy ni trela bado picha mwanangu.
 
Mwambie rafiki yako demu wake hafai anawapanga kama foleni
 
Kwa jinsi ulivyoandika na kiswahili chako kilivyo kibovu unaonekana mtu wa hovyo hovyo.Uko rough and disorganized!Na utajulikana muda si mrefu,alafu itaku-cost.Una akili ndogo.
You are alive because it is illegal to kill.
 
Wakati mwingine huwa kuna vitu vinashangaza sana....mimi hata siku moja siwezi kukubali eti ni kwa sababu ya pombe hilo 'NO'.
Hapo wewe ulitaka na yeye alitaka pia, halafu eti asubuhi ukawa normal na huzuni sana, huzuni gani sasa!! hiyo dhamira unayo na kuna siku utakubali kama hauna inatakiwa iwe ya kutoka moyoni si ku-pretend akiendelea kusumbua.....omba mtandao
 
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,

Hii sentensi inaumuhimu gani katika yote uliyoyaeleza? Au ulikua unataka utuambie nini?
 
ulichokosea ni kumtex after wewe kushuka kwenye ndege, huwa hatufanyi hivyo yaani bora ungempigia umwambie kuliko kumtext, texts ohooo! ungekula kiwe tu kwani ingekuaje? unaona hiyo text ndo inayokusumbua sa hivi. Anyway ushauri wangu, kula pini kwani ni nini? au jamaa namna flani ulifurahia nini? but kuepusha ugomvi na msela wako wa kula pini tu mtoto wa kiume!
 
Ishu siyo kuonea wivu bana... what is ndege karne hii? Tatizo ni jinsi hiyo ndege ilivyoshadidiwa as if kama siyo kuitaja stori yake isingeeleweka lol.... Haya hebu angalia mwenyewe hapo chini!.... BTW yule wa kwako wa kuangaliana mkiwa shuleni hujawahi panda naye kwenye ndege?


Hahahaaa nimeona sehemu moja tu labda angesema toka safari inaanza! Alikuwa anataka kuwaelewesha vizuri ilibidi ataje wapi na wapi! Otherwise labda kwake ilikuwa ni issue du! Si karne hii nazani! By the way yule wa kuangaliana enzi za chuo tungekutana kwenye ndege sit moja ningehama sit lol. . Siku aliniokngelesha na kuniambia jina lake sikuelewa na wala sikumbuki mpaka leo jina alilonitajia! Upo hapo asprin?
 
Tatizo lililopelekea kufanya hivyo ni kupanda ndege ama kunywa bia?
Tutegemee matukio haya ukikwea pipa ama hata bia za mwananyamala zinakulandua?

Kama tatizo ni kunywa bia ndo ajue alichosema Marijani Rajabu, Pombe sio chai!
Kama ishu ni kupanda ndege, labda ndo anatutangazia kuwa amekula denda hewani!
Ni wa Tabora lakini!
 
MMh, hivi ndege huwa ina vyumba kama treni?
Mbona naskiaga iko kama basi mle ndani?

Abiria wengine walikuwa wapi wakati mnatemeana?
 
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu alishanitambulisha ni mpenzi wake, sasa ikabidi nimsalimu nakukua naye, tulichoharibu ni kuanza kunywa bia kusubiri ndege pale tabora tulikunya tatu tatu.

Kwa ndege story zikaendelea siti moja na bia mbili, sasa ishu mwanza tulifika sasa tano tukaambiwa ndege ya dar saa mbili tukakaa ka baa ka pale nje tia tungi sana sasa ishu ni usiku kwenye ndege ,sjui ilikuwaje asee tulikula mate ndege inaanza hadi tunafika nilipofika dar nikamuaga.

Sasa asabuhi nikawa normal nkawa nahuzuni sana si tabia yangu kabisa,nkam sms plz ya kwenye ndege yabaki untold na yasirudie akaanza kutuma sms za mapenzi nkawa sipokei na simu sms nadelete pia ,sasa ishu nimerudi tabora jamaa ake z my best tukitoka job tuu huyu kunichukua tukacheze mpira au weekend bar.

Sasa kila akiniita yuko na demu yule wa ndege yaani ananikonyeza mara anikanyage na siku alinifata toilet na kusema kama vipi anaonyesha ile sms ya kusema ya ndege ya ishe humo akinisingizia nimemtongoza yaani skuiz namuepuka msjkaj hadi ananiuliza ,na sina wa kumweleza sjamwambia m2 usumbufu huu ...NISHAURI

Kama mlikubaliana yabaki untold mbona wewe umeyaweka hadharani? Halafu huyo jamaa yake sio JF member kweli? Halafu nahisi kama ni mimi vile. Nikigundua kuwa ndo mimi ntakuchumbia walahi. Kwani ulisafiri lini?
 
Duh, kaka kweli ulifaidi. Ila ujue "POMBE NI NOUMAA"....ULIJISAHAU KWA KUWA ULILEWA. SASA UNAWEZA MWELEZA RAFIKI YAKO STORY NZIMA ILI UNAWE MIKONO......POLE SANA...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom