Ndio maana unarogwa!Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..
Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
#archive
Medium:mix of watercolor pencils
Size:A2(29.7×42.0cm)
Time taken:6days
View attachment 1962523
View attachment 1962532
View attachment 1962533
🙄🙄 Ndio maana uliachwa..🤣Ndio maana unarogwa!
Ndio maana uliachwa..
Si yule gaidi aliegalagaza moyo wako..🤣
Na nani sasa?
Aaah moyo wangu uko swaaafi kabisa, haujawahi kugaragazwaSi yule gaidi aliegalagaza moyo wako..
Huo moyo wako wa andazi ukitishiwa tu tunakuwekea sio drip Bali dilipu kumi na sita!!🤣🤣Aaah moyo wangu uko swaaafi kabisa, haujawahi kugalagazwa
Thubutuuuu!!Huo moyo wako wa andazi ukitishiwa tu tunakuwekea sio drip Bali dilipu kumi na sita!!
Kadawa kako kapo mezani..😊Thubutuuuu!!
Hi mkuu sorry kwa delay kureplySh ngapi kunichorea picha