Aisee bingwa unayaweza, Bravo....
Ingia kwenye social media platforms za wasanii kama umewahi kuisikia hii hapo chini, wasanii wanauza share ideas na vilevile wanatangaza kazi zao na kuuza kutumia hii App, inaitwa
Discord
For young artists, the volatile world of NFTs has been a powerful springboard for nascent careers
time.com
Na pia jaribu kupitia na kuelewa kitu inaitwa NFTs
non-fungible tokens.
A groundbreaking technology is letting artists sell digital creations in a unique new way
time.com
Dunia imeshakuwa kijiji, hata kama uko sehemu yoyote, ukijichanganya kwa umakini utafanikiwa mkuu.