My artwork diary

Enye rangi.

IMG_20220319_175640.jpeg

IMG_20220319_175511.jpeg

IMG_20220319_175556.jpeg
 
Nina swali ndugu mchoraji. Hizo manila na graphite and charcoal pencils nzuri zinapatikana kwa wapi hapa Dar es salaam na je bei zake zinakuwa vipi?
 
Nina swali ndugu mchoraji. Hizo manila na graphite and charcoal pencils nzuri zinapatikana kwa wapi hapa Dar es salaam na je bei zake zinakuwa vipi?
Tahfif Stationery iko karibu na soko kuu la kariakoo.
 
View attachment 1958405
View attachment 1958404

Salaam wakuu
Kwanza nichukue nafasi hii kukushukuru kwa kufungua nakutaka kujua content zilizomo katika thread hii;

Mimi ni kijana mwenye kipawa Cha uchoraji michoro yenye uhalisia na huu uzi nimeuanzisha kushow case my talent hapa jamii forums,kwa upande wa twitter unaweza nifollow kwa handle @Statushyperarts("Status arts" as user name)

Nitakua nashare michoro yangu kuanzia mwanzo wa mchoro mpaka mwisho wa mchoro your engagement katika thread hii is highly appreciated!

Pia hua nafanya artwork on demand ambazo zinaweza kua a viable gift option kwa ajili yako/mpendwa wako, rafiki yako au mchoro wa mnyama kupendezesha ukuta,Michoro yangu huja katika size mbal mbali kulingana na upendeleo wa mteja kuanzia A4 size,A3 na A2 size.

Unaweza book your art session on my whatssap no +255 755 637 955 and collect your art after 6days.

Framed art ya
A4 size ni 95,000Tshs
A3 size ni 130,000
A2 size Ni 250,000

Great news Ni kua unaweza fanya malipo kwa installments/kidogokidogo mara 3 (kwa miezi mitatu) ukacollect your art ukimaliza malipo.

If i can do this, imagine what we can do together!

1.simba artwork
View attachment 1958406
View attachment 1958407
View attachment 1958408
Bob hamia ulaya ukapige Faranga ,uko na kitu kikubwa sana ,Africa hatuna appreciation na Haya mambo ,uko sawa sana MNAMA
 
Back
Top Bottom