Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,038
- 158,704
Wow!! Hii nimeipenda!
Wow!! Hii nimeipenda!
Ulifikiria nini mkuu?Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..
Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
Just art work.Ulifikiria nini mkuu?