My artwork diary

The late Magufuli

Size:A2(59.7×42.0cm)

Medium: Charcoal pencil on paper
IMG_20211003_193714.jpeg

IMG_20211003_193719.jpeg

PSX_20211003_184000.jpeg
 
Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..

Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
Ndio maana unarogwa!
 
Sh ngapi kunichorea picha
Hi mkuu sorry kwa delay kureply

Kuchora na kuframe picha ya ukubwa wa
A4 size 95000Tshs
A3 size 150000
A2 size 250000
A1 size 350000

Cheki nami on my Whatsapp+255 755 637 955 kujionea sample za size tajwa hapo juu.
Ahsante
 
Hypolite naomba kujua draft katika uchoraji inasaidiaje/inayo kazi gani..?
Hi Jagiya hizo draft tunaziita grid

1.zinarahisisha kazi kipindi unapofanya sketching ya picha kukufanya utumie muda mchache kwenye sketching

2.Correct positioning na balancing details ya mchoro.

Hivyo yaani.
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom