Je, umekuwa ukiwaza na kuwazua ni zawadi gani utampa umpendae/wapendwa zako?

Hypolite

JF-Expert Member
Jul 6, 2017
226
459
Ondoa shaka!!
Tunakuchorea kwa pen/penseli wall art makini kabisa ya picha ya mpendwa wako/yako&Kuiframe

Michoro yetu huja katk size tofauti tofaut kuanzia A4, A3&A2 kulingana na chaguo la mteja.

Karbu na ujionee kazi zangu za nyuma(portifolio)View attachment 1501029
IMG_20200707_084335_378.jpeg
aviary-image-1593258859456.jpeg
IMG_20200624_181215_291.jpeg
IMG_20200624_181154_280.jpeg
IMG_20200624_181218_610.jpeg
IMG_20200624_181242_573.jpeg
IMG_20200624_175818_766.jpeg
IMG_20200618_165656_842.jpeg
%C2%A9%EF%B8%8FHARLES%20%20LIPINGA_66161471_203160070665634_3108390871490630266_n.jpeg
Bakari_92399271_644229866356469_5448222963777114993_n.jpeg


Mawasiliano
Whatssap no:0755 637 955
 
Upo wap? vp garama kwa kila picha na inachukua siki ngapi kukamilisha kazi
Nipo Dar Mkuu, mikoani tunatuma pia popote pale na malipo yanafanyika baada ya kazi kuisha......ndani ya sku 4 kazi inaisha

Kuchora nakuiwekea frame picha ya ukubwa wa kweny karatasi ya
A4 size 55,000
A3 size 85,000
A2 size 95,000
 
Ondoa shaka!!
Tunakuchorea kwa pen/penseli wall art makini kabisa ya picha ya mpendwa wako/yako&Kuiframe

Michoro yetu huja katk size tofauti tofaut kuanzia A4, A3&A2 kulingana na chaguo la mteja.

Karbu na ujionee kazi zangu za nyuma(portifolio)View attachment 1501029View attachment 1501030View attachment 1501031View attachment 1501033View attachment 1501035View attachment 1501036View attachment 1501038View attachment 1501039View attachment 1501041View attachment 1501042View attachment 1501043
umetisha sana mkuu.
Ungezaliwa kule ulaya ungekuwa bilionea.
Ukinichora mimi na mke wangu katika picha ya pamoja nalipia shilingi ngapi?
 
umetisha sana mkuu.
Ungezaliwa kule ulaya ungekuwa bilionea.
Ukinichora mimi na mke wangu katika picha ya pamoja nalipia shilingi ngapi?
Shukuran sana mkuu
Kwa picha ya figure 2, ntatumia karatasi ya ukubwa wa A3
Kuchora na kuframe 85000/=
Unaweza tazama hii attachment hapa chini jinsi muonekano wa A3 ulivyo
IMG_20200624_181215_291.jpeg
 
Back
Top Bottom