mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

Kanumba-suraWEB.jpg

Haitaji ushauri wowote, siku hizi ameshakuwa mrembo. Make up imemkubali kweli kweli.
Hongera Kanumba, upo juu kwenye filamu.
 
Mie sio public figure kihivyo kama alivyo jamaa.....mie underground

Kwikwikwikwiii...pure hillarity! Kwa hiyo wewe unafanya mambo yako (kama yake) underground? kwikwikwikwiiiiii.....umesha confirm...akhsante sana.
 
kijana anaweza akawa na matatizo, sio kitu cha kawaida, inasikitisha sana vijana kama hawa kuwa na tabia kama hizo, au nae anataika kuwa kama yule aliyelazwa pale mwananyamala hosp then akafa, sio issue man kujireeeeeeeeeemba sana
 
Mijitu mingine bana......kosa lake ni nini hapo?

...labda walitaka awe amepauka pauka kwani mwiko kujipaka mafuta, halafu midevu kibao usoni, au anyoe kipara paaaa...

kijana anaweza akawa na matatizo, sio kitu cha kawaida, inasikitisha sana vijana kama hawa kuwa na tabia kama hizo, au nae anataika kuwa kama yule aliyelazwa pale mwananyamala hosp then akafa, sio issue man kujireeeeeeeeeemba sana

rastaman.jpg

...sio wote tunaofagilia usela bana!...​
 
jamani muacheni YO YO wa watu.

Yeye ndo anapenda uzuri hivyo na mademu wamnamzimia ile mbaya.

Siku hizi siangalii filamu zao maana unaweza kutabiri nini kinafuatia na vilevile sauti hovyo yaani kila kitu hovyo kabisaaaaaaaaa!!
 
Mwanaume kupaka lipstick ni balaa jamani mwe! huyu kijana ni handsome ila madawa kwenye nywele yameharibu kila kitu.

Ila ndivyo apendavyo, hatuna comment.
 
jamani muacheni YO YO wa watu.

Yeye ndo anapenda uzuri hivyo na mademu wamnamzimia ile mbaya.

Siku hizi siangalii filamu zao maana unaweza kutabiri nini kinafuatia na vilevile sauti hovyo yaani kila kitu hovyo kabisaaaaaaaaa!!
kupauka uso au kuwa mchafu mchafu sio dalili ya uanaume vijana....jamaa anapaka mafuta anang'ara tatizo liko wapi?
 
nataka numuone huyu anifunze haya mambo ya foundation na concealers!!!! ahahahhaha.
 
Mbona sioni picha ya huyu celebrity? Ni nani anazungumziwa hapa?
 
Huyu alikuwa anaturusha roho Magomeni hapo jana ukumbiwa Travertine.

Hapa akiwa amechoka baada ya makamuzi nilitamani kumwagizia Redbull tatizo nilikuwa na wifi/shemeji yenu pembeni dah noma mazee anaitwa Seni​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom