nkawa
Senior Member
- May 11, 2009
- 181
- 10
Wakati alipokuwa amejaa chunusi na madoadoa uso mzima, baadhi (kwenye magazeti) walisema anatia kinyaa, mchafu, hajipendi wakati ana pesa, sasa ameamua kuukarabati uso wake hili nalo limekuwa issue!!!!!! Huwezi kutoa chunusi na madoa usoni bila kutumia cream/vipodozi.....na kama alikuwa katika uigizaji basi kujipamba ni kawaida yao mbona baadhi ya wanaume wengi wanatumia hata powder?