Kuna yeyote humu amewahi kumfunga huyu jamaa

Kuna yeyote humu amewahi kumfunga huyu jamaa

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
1,002
Wasalam. Huyu jamaa Kila nikigusa naambulia kichapo

Ushindi wangu sare.

Kuna yeyote mwenye ujuzi atupe mbinu

Screenshot_20260213-130349.jpg
 
wa kawaida huyo, tena kwa kete 3 ana pasuka chap.

Usi mruhusu akae huo mstari wa kete nyekundu, jifunze formula ya kete 3.
 
Back
Top Bottom