Boss una maanisha flyover ya ghorofa tatu??duh!!...yule jamaa mwenye phd ya chemistry si alituambi itakuwa ya ghorofa tatu na itakuwa ya kwanza na ya kipekee east africa ya design hiyo?.
sasa mbona inaokena itakuwa kama kile kiflyover cha pale tazara?.
na sababu ya kubadilishia design ni nini?Kama.kawaida
Huyu jamaa ni janga la taifa letu,naamini angekuwa anaongoza waisrael mpaka sasa jina ingekuwa limeshabadirikaduh!!...yule jamaa mwenye phd ya chemistry si alituambi itakuwa ya ghorofa tatu na itakuwa ya kwanza na ya kipekee east africa ya design hiyo?.
sasa mbona inaokena itakuwa kama kile kiflyover cha pale tazara?.
Hivi mwendo kasi ni nini? nchi zilizoendelea pia mwendo kasi au metro or mega bus ndo mwendokasi za huko?Design ya mwanzo ilikua gharama zaidi pia ilikua sio nzuri kwa mwendo kasi
DuhSema tu Goba njia nne mkuu uzungu wanini, nina demu kanisa la lutheran
ndo nini hiyo BRT? ni uvumbuzi mpya dunia,sijawahi ona hii kitu kwenye miji ya marekani na ulaya niliyotembelea,niliona barabara ya aina hiyo pale joburg ila hata magari mengine niliona yanapita,nikaona kipande kingine kidogo cha barabara kama hiyo kule Minneapolis Minnesota USA just after Mall of America,sasa hii ya kwetu ni nini?Hii ya kwetu ni BRT mkuu
Hii ni namna mpya yanusafiri wa mijini.. BRT ni Bus Rapid Transit. Wanasema mfumo huu uma gharama ndogo zaidi kuliko ule wa train.ndo nini hiyo BRT? ni uvumbuzi mpya dunia,sijawahi ona hii kitu kwenye miji ya marekani na ulaya niliyotembelea,niliona barabara ya aina hiyo pale joburg ila hata magari mengine niliona yanapita,nikaona kipande kingine kidogo cha barabara kama hiyo kule Minneapolis Minnesota USA just after Mall of America,sasa hii ya kwetu ni nini?
Nani anafanyia majaribio?mtengeneza mabasi au mkandarasi wa hizo barabara na nani anagharamia hayo majaribia?and why Tz BRT ndo iwe priority na si kujenga Express highwaysHii ni namna mpya yanusafiri wa mijini.. BRT ni Bus Rapid Transit. Wanasema mfumo huu uma gharama ndogo zaidi kuliko ule wa train.
Nchi zinazo endelea ndizo zinafanyiwa majaribio kama africa na america ya kusini.
Mall of america ni wapi?ndo nini hiyo BRT? ni uvumbuzi mpya dunia,sijawahi ona hii kitu kwenye miji ya marekani na ulaya niliyotembelea,niliona barabara ya aina hiyo pale joburg ila hata magari mengine niliona yanapita,nikaona kipande kingine kidogo cha barabara kama hiyo kule Minneapolis Minnesota USA just after Mall of America,sasa hii ya kwetu ni nini?
HahahahahMall of america ni wapi?
Singida?
Kwa maswali haya lazima aje na style ya kujibu kwa hasira.sasa...Kabla ya barabara ya goba wakati ule ni vumbi hali ilikuaje?