ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,784
TanRoads wanaendelea na ujenzi wa Barabara ya Njia 4 dual Carriage way Jijini Mbeya.
Nitawashangaa sana kama Watashindwa kujenga cheap flyover kama hii ya hapa Mji wa Douala Cameroon pale Mafiati,Meta na Uyole Junctions Ili Kukabiliana na foleni na kupunguza kutegemea mataa.
Douala Flyover
Junction hiyo hapo Juu inafanana sana na pale Mafiati ila Sasa Mainjinia wanaweza kuja na kituko mkabakia mnashangaa.
Mafiati junction
Sasa Kwa uzoefu wa dizaini za Ubungo interchange na Kimara Express way sitoshangaa Mainjinia Wetu wakijenga vitu vya ajabu ajabu huku wakisingizia pesa.
Kwa Sasa Kibaha Express way hasa Barabara na madaraja ya Kwenda Magufuli terminal vimelazimika kuongezewa Kwa sababu za poor design za hao Mainjinia..
My Take
Mainjinia wa Tanzania jifunzeni kufikiria maisha ya kesho na keshokutwa na pia muwe mnapenda kujenga vitu vizuri.
Uganda,Kenya nk Interchanges ziko Hadi kwenye Miji midogo ila Tanzania watu wanadhani ni jambo la ufahari.