Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo.

Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
7,397
Points
2,000
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
7,397 2,000
Hii ndio design mpya ya flyover ya ubungo.

Chini kabisa.. magari yote yanayo badilisha njia.

Daraja la kwanza.. mavari yote yanayo toka kimara kwenda mjini pamoja na mwendokasi.

Daraja la pili la juj kabisa: magari yote yanayo toka mwenge kwenda buguruni pamoja na mwendokasi.

Flyover zote zina njia 6 .. mbili magari ya kawaida kila upande na njia moja kila upande kwa ajili ya mwendo kasi.

24 Megapixel

24 Megapixel

Senior Member
Joined
Mar 2, 2019
Messages
135
Points
250
24 Megapixel

24 Megapixel

Senior Member
Joined Mar 2, 2019
135 250
Hii video ulipoiweka ndo panaitwa youtube hapo eeeh? ndo pale wanaposema kutizama video ni mpaka uwe na bando??

Harafu eti tukitizama sisi wewe unapata hela???
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
7,397
Points
2,000
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
7,397 2,000
Hii video ulipoiweka ndo panaitwa youtube hapo eeeh? ndo pale wanaposema kutizama video ni mpaka uwe na bando??

Harafu eti tukitizama sisi wewe unapata hela???
Picha hizi hapa
screenshot_20190612-213950-jpeg.1125883
screenshot_20190612-213958-jpeg.1125885
screenshot_20190612-213923-jpeg.1125888
screenshot_20190612-213943-jpeg.1125889
 
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
378
Points
1,000
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2019
378 1,000
Hii miradi mizuri kwa macho na kiasi flan inapendezesha mji lakini sioni ikipunguza foleni!
 
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
378
Points
1,000
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2019
378 1,000
Upo pori gani mkuu hata huoni foleni ikipungua
Naishi Goba Four Ways naenda kazini posta natumia masaa mawili, kurudi natumia masaa matatu hadi mane!
 
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
1,381
Points
2,000
Y

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
1,381 2,000
Hawa taalama wanaoandaa hizi video wajaribu kuweka uhalisia (existing reality). Ubungo gani iko katika pori hivyo? Wanataka kusema watavunja hizo nyumba zote ikiwemo Songas wapande miti?
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
7,397
Points
2,000
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
7,397 2,000
Hawa taalama wanaoandaa hizi video wajaribu kuweka uhalisia (existing reality). Ubungo gani iko katika pori hivyo? Wanataka kusema watavunja hizo nyumba zote ikiwemo Songas wapande miti?
Angalie vizuri majengo yote yameonyeshwa..
 
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,824
Points
2,000
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,824 2,000
Kwani ubungo kutakua na majengo machache hayo? au uhalisia wa huo mchoro uko wapi? Upuuzi ni mwingi.sana hapo; 3D inatakiwa ioneashe vitu vyote vitakazobaki baada ya mradi mita 400 inclusive
 
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,024
Points
2,000
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,024 2,000
Hii ndio design mpya ya flyover ya ubungo.

Chini kabisa.. magari yote yanayo badilisha njia.

Daraja la kwanza.. mavari yote yanayo toka kimara kwenda mjini pamoja na mwendokasi.

Daraja la pili la juj kabisa: magari yote yanayo toka mwenge kwenda buguruni pamoja na mwendokasi.

Flyover zote zina njia 6 .. mbili magari ya kawaida kila upande na njia moja kila upande kwa ajili ya mwendo kasi.

kwa hiyo kule chini foleni bado itaendelea?
 
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
2,024
Points
2,000
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
2,024 2,000
Kama majengo yote yemeoneshwa na hata huo Ukijani upo Ubungo basi nina shida kubwa ya macho.
mkuu wala huna shida ya macho,aliyepost ni zuzu moja wa ccm in someone voice
 
Forum statistics

Threads 1,304,783
Members 501,517
Posts 31,526,853
Top