Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo

duh!!...yule jamaa mwenye phd ya chemistry si alituambia itakuwa ya ghorofa tatu na itakuwa ya kwanza na ya kipekee east africa ya design hiyo?.

sasa mbona inaokena itakuwa kama kile kiflyover cha pale tazara?.
 
duh!!...yule jamaa mwenye phd ya chemistry si alituambi itakuwa ya ghorofa tatu na itakuwa ya kwanza na ya kipekee east africa ya design hiyo?.

Boss una maanisha flyover ya ghorofa tatu??
 
duh!!...yule jamaa mwenye phd ya chemistry si alituambi itakuwa ya ghorofa tatu na itakuwa ya kwanza na ya kipekee east africa ya design hiyo?.

sasa mbona inaokena itakuwa kama kile kiflyover cha pale tazara?.
Huyu jamaa ni janga la taifa letu,naamini angekuwa anaongoza waisrael mpaka sasa jina ingekuwa limeshabadirika
 
Waliomchorea walizingua.. wachina waliouona ule mchoro wakaukataa na kushauri zijengwe flyover za kawaida
Huyu jamaa ni janga la taifa letu,naamini angekuwa anaongoza waisrael mpaka sasa jina ingekuwa limeshabadirika
 
Kwani bado tu mpk leo hazijaisha?zimeanza zungumziwa miaka kitambo sana
 
Hii ya kwetu ni BRT mkuu
ndo nini hiyo BRT? ni uvumbuzi mpya dunia,sijawahi ona hii kitu kwenye miji ya marekani na ulaya niliyotembelea,niliona barabara ya aina hiyo pale joburg ila hata magari mengine niliona yanapita,nikaona kipande kingine kidogo cha barabara kama hiyo kule Minneapolis Minnesota USA just after Mall of America,sasa hii ya kwetu ni nini?
 
Hii ni namna mpya yanusafiri wa mijini.. BRT ni Bus Rapid Transit. Wanasema mfumo huu uma gharama ndogo zaidi kuliko ule wa train.

Nchi zinazo endelea ndizo zinafanyiwa majaribio kama africa na america ya kusini.
 
Nani anafanyia majaribio?mtengeneza mabasi au mkandarasi wa hizo barabara na nani anagharamia hayo majaribia?and why Tz BRT ndo iwe priority na si kujenga Express highways
 
ndo nini hiyo BRT? ni uvumbuzi mpya dunia,sijawahi ona hii kitu kwenye miji ya marekani na ulaya niliyotembelea,niliona barabara ya aina hiyo pale joburg ila hata magari mengine niliona yanapita,nikaona kipande kingine kidogo cha barabara kama hiyo kule Minneapolis Minnesota USA just after Mall of America,sasa hii ya kwetu ni nini?
Mall of america ni wapi?
Singida?
 
Nani anafanyia majaribio?mtengeneza mabasi au mkandarasi wa hizo barabara na nani anagharamia hayo majaribia?and why Tz BRT ndo iwe priority na si kujenga Express highways
Buu ni mradi wa world bank
 
Write your reply...Tusubiri tuone sisi wengine hatuna hata idea yauhandisi, ila yasiwe Yale ya Mfugale.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom