Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

Huwezi ukaripoti habari kuhusu kauli tata ya kiongozi bila kusema alitamka nini kwa maneno yake mwenyewe.

Yeyote yule anaejua alichokisema Lukuvi kuhusu kuzoeleka kwa milio ya ndege na akiweke hapa word for word.
Dilunga,
Soma tena ripoti. Najua una beef na waandishi wetu lakini kauli kwamba wakazi lazima wazoee kuishi na miripuko ya mabomu ni kauli isiyokubalika kutoka kwa kiongozi yeyote. Inanikumbusha majibu ya yule mke wa mfalme aliyewaambia Wafaransa wale keki wakati aliposikia malalamiko kuwa hakuna mkate.
 
Nafikiri mkuu Dilunga anachosema ni kwamba hamna direct quotes za maneno aliyosema Lukuvi, na kwa hiyo hizi habari zinaweza kuwa hyperboles za interpretations au hata fabrications.

GT naye analeta vitu nusu nusu, alisema nini Lukuvi kwenye msiba?
 
Dilunga,
Soma tena ripoti. Najua una beef na waandishi wetu lakini kauli kwamba wakazi lazima wazoee kuishi na miripuko ya mabomu ni kauli isiyokubalika kutoka kwa kiongozi yeyote. Inanikumbusha majibu ya yule mke wa mfalme aliyewaambia Wafaransa wale keki wakati aliposikia malalamiko kuwa hakuna mkate.

Jasusi,
Lukuvi katamka nini Lukuviiiii? Nionyeshe Lukuvi katamka nini. Ha ahahahahahaha

Wala sijatetea au kukosoa alichofanya au kutofanya Lukuvi.

Yeyote yule anaejua alichotamka Lukuvi kuhusu kuzoeleka kelele za ndege na akiweke hapa neno kwa neno.
 
Wanasema wenyewe "maumivu ya kichwa huanza pooole pole"
Huyu jamaa anahistoria ya kutokuwa na kichwa kizuri kilichonolewa kitaalam.Ukada ndio sifa yake kuu.Tofauti na Kandoro aliyekuwa Economist and Planner.
 
Jasusi,
Lukuvi katamka nini Lukuviiiii? Nionyeshe Lukuvi katamka nini. Ha ahahahahahaha

Wala sijatetea au kukosoa alichofanya au kutofanya Lukuvi.

Yeyote yule anaejua alichotamka Lukuvi kuhusu kuzoeleka kelele za ndege na akiweke hapa neno kwa neno.

Kwa hiyo hiyo ripoti ya kichwa cha habari si ya kweli? Mwandishi katunga?
 
Na Lukuvi akawataka wakazi wa Mbagala kuzoea milipuko kama wenzao wa Kipawa, wanaoishi jirani na Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, walivyozoea kelele za ndege.
 
milipuko ya mara ya pili ilivyotokea hii ambayo ilikuwa inalipuliwa na wanajeshi kuna baadhi ya watu walikuwa wanazimia kwa mshtuko,ndo akawaambia " mnatakiwa kuzoea milipuko mbona wenzenu wa kipawa wamezoea miungurumo ya ndege"
 
What do u expect from standard seven leaver?

Is he a standard seven leaver? Huyu si aliwahi kuwa Waziri kipindi fulani? Halafu bado tunashangaa kwanini mambo yanakwenda shaghalabaghala Bongo!
 
milipuko ya mara ya pili ilivyotokea hii ambayo ilikuwa inalipuliwa na wanajeshi kuna baadhi ya watu walikuwa wanazimia kwa mshtuko,ndo akawaambia " mnatakiwa kuzoea milipuko mbona wenzenu wa kipawa wamezoea miungurumo ya ndege"

Mnamshangaa Lukuvi, mbona Mramba alisema WATANZANIA hata mkila nyasi Ndege ya Rais itanunuliwa mkakaa kimya?

Ndo maana viongozi kama akina Lukuvi wameona tumeshazoea kutukanwa!
 
kiongozi asiye jali maslahi ya wananchi, huongea chochote kinacho kuja ndani ya kinywa chake...viongozi mamluki ndivyo walivyo, poor thinking capacity.
 
Huyu jamaa sijui kwanini wanambeba hana credibility za kuwa mkuu wa mkoa. Kwani huwezi kuongea ujinga ule kwa wahanga wa mabomu. Yaani inabidi awajibike kwa kauli zake za kijinga.
 
Is he a standard seven leaver? Huyu si aliwahi kuwa Waziri kipindi fulani? Halafu bado tunashangaa kwanini mambo yanakwenda shaghalabaghala Bongo!

He is not std 7 leaver, c his profile: He is extraordinary~ remarkable~ astonishing Tanzanian. Within 4 years (1980-1983), he managed to do certificate in defence, form 5&6 and attended a 1? 2? year diploma course in Moscow. And 2001 he graduated at WIU. He is great!

Washington International University BA (Inter. Studies &Diplomacy) 2001 - GRADUATE

Johanesburg-South International Observers Course 1994 - CERTIFICATE
Moscow Leadership Course 1985 - CERTIFICATE
Moscow Diploma in Political Science 1982 1983 DIPLOMA
Lindi Political Course 1976 - CERTIFICATE
Mbeya Secondary School A-Level Education - 1981 HIGH SCHOOL

Tabora Teacher's Training College Teaching Course - 1975 CERTIFICATE
Iringa Training in Defence and Security - 1980 CERTIFICATE
Mahiwa College Training in Politics - - CERTIFICATE
Computer Training College-Dar es Salaam Training in Computer Course - 1998 CERTIFICATE
 
He is not std 7 leaver, c his profile: He is extraordinary~ remarkable~ astonishing Tanzanian. Within 4 years (1980-1983), he managed to do certificate in defence, form 5&6 and attended a 1? 2? year diploma course in Moscow. And 2001 he graduated at WIU. He is great!
The type of wale guys wenye degree za ku copy and paste.
Matokeo yake ndio tunayaona -they cant think straight-hasa wakiwa madarakani.
It takes less than an intelligent, imaginative guy to compare the two scenarios of Mbagala nad Kipawa-then equate them!
 
Hizi zatosha kumuelezea yeye ni wale-wale wa UWT Moscow Leadership Course 1985 - CERTIFICATE
Moscow Diploma in Political Science 1982 1983 DIPLOMA
Lindi Political Course 1976 - CERTIFICATE
 
Duuuh check na wageni walivyojaa...

Currently Active Users Viewing This Thread: 21 (3 members and 18 guests)
Tusker Bariiiidi, Lole Gwakisa, Recta
 
Kama Kiongozi anawajibu wa kuelimisha Wananchi wake sheria za mipango miji, pamoja na ile sheria inayokata kujenga jengo lolote umbali wa mita 500 kutoka kwenye mpaka wa kambi ya jeshi (Kitaalamu No Mans Land).
 
Back
Top Bottom