Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpita Njia, May 1, 2009.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Manji, Mengi 'wamwaga' misaada Mbagala

  Inaweza kuwa ni kutokana na moyo wao wa kujitolea wka jamii lakini kutokana na 'uhasama' wao inaweza kuonekana kama ushindani. Sasa hivi Manji yuko huko Temke akitoa misaada kwa waathirika wa milipuko ya mabomu. Wakati huo huo, taarifa zinasambazwa pia kuwa Mengi naye anaelekea huko Temeke kwenda kutoa misaada kwa waathirika. Yeye atakabidhi misaada kwenye ofisi ya meya wa Temeke saa sita mchana huu
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  RA naye atafika lini?
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hata kama kuna tuhuma dhidi yao, huu ni moyo wa kusaidia wanyonge; kwani uliwahi kusikia Chenge akisaidia popote?
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Pamoja na post zote... Lazima nisema RA has been amoung the most successfully and intelligent businessman in Tanzania.

  Tungekuwa na wakina RA wengi Tanzania uchumi wa nchi ukiuwa imara na uwekezaji wetu kwenye nchi za Maziwa makuu na SADC ungekuwa mkubwa sana.

  Angalia biashara anazozifanya, ndio zile wabongo waoga na wanadhani zinatakiwa kufanywa na makampuni ya Ulaya tu.

  Issue ya Kasoro alizonazo kama anazo zinatokana na mfumo wenu wa kipumbavu... ni kazi kwenu kutumia Bunge kuziba mianya.

  Nevertheless,,, tafuteni wanasiasa au watumishi wauma wanaomfaidisha huyo RA na sio RA.

  Asubuhi njema, mchana mwema jioni njema na usiku mwema kutegemea ulipo
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Now I know You!!!!!!!!!!!!!
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mwizi hana uzuri wowote...
   
 7. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  I doubt about your conceptual understanding on governance, and more specifically about the concept of state capture. Rostam Aziz is an agent mercenary of state capture. It is not business but your state has already been captured!
  There is nothing to cherish or good practice to learn from Rostam Aziz!
  Penda nchi yako ndugu. Chukia mafisadi ndugu.
   
 8. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's cool kutoa misaada but is important the government to be responsible not relying on well wishers
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Aisifiae mvua.....kwi kwi kwi.....
   
 10. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Inaweza kuwa ni moyo wa kujitolea, au kwa upande mwingine pia inaweza kuwa ni namna tu ya kujikosha kwa serikali. Kina mmoja wao ( Manji na Mengi) kwenye nafsi yake anajua ni kwa nini anafanya hivyo!
   
 11. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  we bwana vipi? yaani tungekuwa na wezi wengi wanaowaibia masikini (walipa kodi) ndo tungeendelea? Tell Kagoda Agricultural Ltd imefanya nini cha kujivunia kwa wakulima? imeiba bil.40 Bank kuu ya walalahoi. Huko ndo kutaleta maendeleo?

  duh! kumbe wale jamaa wa New Habari Co.. hawajifichi...
   
 12. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Inaonekana hufahamu rushwa ni nini na jinsi inavyoweza kuathiri uchumi na maisha ya jamii husika. Au umeamua kujifanya hujui ili kuonesha ni jinsi gani ulivyo wa ajabu.

  Then, unaonesha wewe huathiriki na wizi unaofanywa na RA et al kwa sababu tu hauko Tanzania au si Mtanzania. And you imply that you are not part of the solution to corruption problem in Tanzania. You don't give a shit about Tanzania. Do you think Tanzania needs you? Why?
   
 13. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  Zungu Pule,

  Kwa suala la rushwa huwezi kumpata RA, by the way he is smart, angekuwa mtu wa kuingia kichwa kichwa mungeshampeleka mahakamani,,, hamumpeleki kwa sababu gani?

  Still admire the guy,,, anafanya biashara zenye akili! mengine ni uzembe wenu na serikali yenu... maana munapenda siasa sana.
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  I have nothing to do with RA, in fact I love my country probably more than you do!

  Tatizo ni kwamba tuna-target wrong direction kwenye vita ya Ufisadi. Twatakiwa kula na Government Civil Servants na Agency zake zinazomfanya afaidike sio yeye!!!

  Other than that ni sawa na mbwa lisilokuwa na menu linabweka tu bure....

  Nawatakia kila la kheri enyi wazalendo zaidi ya wengine.
   
 15. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huku ni kurogwa au ni ushambenga? Hapatikani au amewaweka mfukoni wa kumpata? Sasa kama wenye mali wananchi walioibiwa ndio wanaakili kama zako unatarajia akamatweje?

  Lakini kumbuka kuwa una ndugu, jamaa na marafiki unaowasaliti na kuwazulia Kasheshe maisha yao yote

  Asha
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  May 1, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  mtu anapomsifia mwizi kwa kuiba vizuri na kuwa katika wizi huo ametumia "akili sana" kiasi kwamba hadi hivi sasa ameshindwa kukamatwa basi kuna tatizo. Kuna tatizo zaidi pale anayelaumiwa kwa kuibiwa ni mwenye nyumba ati kwanini hakutumia makomeo mawili na kuweka nondo madirisha; Na inasikitisha zaidi pale ambapo mwizi huyo anahusudiwa kwa kuweza kuiba na inaoombewa kuwa tungekuwa na wezi wengi wa namna hiyo (wasioweza kukamatwa)!

  Huku ni kupindua maana nzima ya haki na kuvuna kile mtu amepanda.

  Kwa kumhusudu mwizi, mwizi anakuwa na mtetezi wa wizi wake! Na yule anayemtetea mwizi......
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mpaka hapa sijaona shida. Ni vizuri sana kama wamejitolea kutoa misaada maana ni spirit yao kujitolea katika masuala ua kijamii, mmoja akitoa misaada ya hali na mali na mwingine akitoa katika michezo.
  Hii haina maana yoyote kwamba kuna ushindani wa aina fulani. Na kama upo basi vita ya panzi furaha ya kunguru.
   
 18. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mbavu sina mkuu!!! hahahahahaha... today is May Day and tomorrow is weekend.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  May 1, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimecheka sana... happy Mei Dei.. workers of the world unite!
   
 20. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Samahani,

  Naomba kuuliza ukiwa una ka-kiosk kako, na umwemwajiri muuza ka-kiosk hako... akawa wateja wakinunua vitu akirudisha chenji arudisha zaidi kwa wateja wake... Na wateja wanachukua wanaendelea wanarudi na siku nyingine hivyo hivyo mpaka kaduka kako kanatereka...

  Nani wakumfuata... muuza kiosk chako? au mteja?

  I mean:
  Muuza duka... ni mtumishi wa umma
  Mteja ndio:... huyo RA
   
Loading...