Mwita Waitara unajidhalilisha

Acheni ushambenga ninyi mapugi..ishu ya kujaribu kuuliwa mtu mnaanza kuja na viroja vyenu vya ajabu.
Mwambieni Jiwe naye siku zake zaja.
 
Muulize makonda mission master wakenya walisema
 
Hii ya kulaza kiti na kukilalia na tumbo ni maelezo mapya! Mwanzo tuliambiwa Dereva alimvutia chini ya kiti! je sasa hii ya tumbo mbona ngeni!
Kwa hiyo wewe nawe ni mtaalamu? Kwenye mada hii mko kama kumi hivi ambao utaalamu wenu unaongozwa na hoja za kimipasho kama za Marehemu Mtikila.
Lissu atarudi hivi karibuni na ameahidi kuanika "ukweli".
Andaeni wataamu wenu na hata polisi wakikubali, chini ya usimamizi wa wachunguzi wa kimataifa jambo hili lifikishwe mwisho. Amen.
 
[emoji12] [emoji12] kwani mkuu lisu mwema sana kwa MUNGU eeh? (kumweka binadamu mwenzio kuwa unique kwa GOD halaf mwanasiasa ni kukosa ufaham ) cdm mnanini nyie mbona akili zinawaruka kias hicho
MUULIZE MAMA YAKO NI CDM VILE VILE
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Tunataka uchunguzi huru wa tukio hili; mmekataa mnasema mna vyombo vyenu haya vitumieni hivyo vyombo hamtaki badala yake mnafunga
Hata kama ni u-ccm basi wewe umeshindikana! Yaani unaamua kujitoa fahamu kwa kujua ama kutokujua? Tumewataka mlete vyombo huru vya uchunguzi mkadai bungeni kuwa mnavyo vyombo vyenu vinatosha, sasa si mna dola kwanini msikamate hawa sasa unaowahisi? Acheni ufala, hii dhambi itakutafunenj hadi ukamilifu wa dahari!
 
Huyo ni wa kumpuuza. Yaani huwezi amini, mimi ni mmoja kati ya waliomuamini huyu jamaa na kumpa kura. Ila kwasasa imefikia kipindi, nikiona habari zake, napata kichefuchefu.

Hana sifa za kuwa mwanaume. Sijui kwanini hakuzaliwa mwanamke
Angetakiwa awe shoga kabisa. Mkurya gani mpumbavu namna hii
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Unatafuta tusi na kuondoa heshima yako bure!
 
Mkuu, Tol, kwanza naunga mkono hoja, niliwahi kuzungumza humu kuwa kiukweli kabisa, sisi Tanzania, tunao baadhi ya viongozi ambao ni vichaa kabisa ila hatuwatambui kutokana na ukimya wao au utulivu wao kwa sababu kuwa kichaa sio mpaka mtu aokote makopo!. Lakini wanapoanza kupayuka kwa kauli za ajabu ajabu na matendo yao ndipo utabaini kuwa fulani sii mzima!.

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Ila natofautiana na wewe, mtu wa aina hii hahitaji kulaaniwa bali anahitaji kuombewa apone, hili nililishauri hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?
P.
 
Wewe ni fala tu
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
-Cdm wakatoa walinzi wa suma siku ya tukio
-Wakanyofoa CCTV kwa waziri
-Wakawaruhusu wasiojulikana kuingia geti la viongozi na kutoka salama!
 
Pumbavu! We unadhani nguvu za Mungu ni za kulinganisha na SMG ? Kwanza tunabishania nini? Mbona uchunguzi binafsi wameukataa? Maana huo ungefichua hizo drama za Chadema sasa why serikali inakimbilia kufunga jalada na kuwaacha nyie mafala na propaganda zenu
 
Jibu ni jepesi palikuwa na camera je ni nani aliyeitoa?
 
We ni mpum...vu jiulize mbona uchunguzi huru umekataliwa? Kama Chadema wanacheza drama sii ndio wangeaibika?
 
Magazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.
Usiwe mjinga kiasi hiki. Hivi magazine Mbili haziwezi kutumika kwenye shambulio Moja? Au smg 2 kwa wakati mmoja?
 
Usiwe mjinga kiasi hiki. Hivi magazine Mbili haziwezi kutumika kwenye shambulio Moja? Au smg 2 kwa wakati mmoja?
Target ingekuwa zaidi ya moja sawa,lakini kama ni hitman ni jambo lenye kutia SHAKA!

Maswali ni mengi kuliko majibu, kwa mfano kama tunavyojua hitmen huwa wanalenga kichwa ni kwa nini watumie nguvu nyingi hivyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…