Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Na naamini mwita anahabari nyingi nyeti.Mwita sio fara kwamba anaongea tu asiyoyajua.Aongee ya chacha aongee ya lisu nk wanataka kusema kada mtiifu kama mwita asijue yaliyokuwa nyuma yake?
Wewe unaongea ya Chacha, kaongea Lissu mwenyewe. Tumuamini Chacha au Lissu mhusika?
 
Nadhani ni vizuri aachane na mambo ya siasa ni vizuri akalime nyanya Ikungi kuna ardhi yenye rutuba au next time anaweza kubite the dust.
Including yourself; you have absolutely no escape route, you WILL BITE THE DUST.
 
Sssa unataka akirudi awe ananijificha nyuma ya Fatuma Karume?!..ushauri niliotoa ni mzuri.
Wewe umeishia darasa la nne halafu unamshauri TAL, top class lawyer aende akalime Ikingu, ukiiba kuku nani atakutetea mahakamani? Oh sorry, wezi wa kuku kama wewe huwa hamuwezi kuafford mawakili.
 
Hata uandike kurasa 100 binafsi siwezi kuamini kwamba chadema hawajahusika maswali ni mengi hayana majibu, kama ulivyouliza ni wapi chadema wangetoa silaha hata mimi nauliza kama Serikali na machinery yake wangetaka kumuua kweli Tundu Lisu wangeshindwaje? Unajua ni nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza? Walishindwa nini pale Dodoma kummalizia kama hilo ndiyo lilikuwa lengo la Serikali yetu? Hivyo kuanzia kupotea kwa Saanane mpaka kumficha dereva aliyekuwepo kwenye crime scene ambaye sasa wamemhamishia Ubelgiji kote huku kunanifanya niamini kwamba chadema wanahusika na hata Tundu Lisu mwenyewe anahusika pia!
Unaanza siasa za kichadema za kudhani bila ushahidi.
Sijasema kuwa serikali imehusika mana sina ushahidi .
Nimesema Mamlaka zinazohusika kuchunguza tukio la Lisu wametuambia kuwa watu waliofanya tukio hilo hawajukikani .
Wamesema ni watu wasiojulikana.

Na Mimi nimekubaliana na uchunguzi wa serikali mana ndiyo yenye jukumu hilo.
Sasa hayo ya kina Mwita Waitara ni uchochezi na unalenga kuichafua nchi bado mana unaitangaza nchi kuwa imeshindwa kudhibi watu wanaofahamika kumiliki na kutumia silaha za kivita kuuana hadharani mchana kweupe.

Kipi rahisi kwa Mbowe kushindwa kumuua Lisu wakati amemuuguza takribani mwezi mzima huko Nairobi au wale wahalifu wasiojulikana ambao wametumia risasi 38 na huenda waliamini kabisa kua hakuna aliyetoka hai sio Dereva wala Lisu.

Nadhani Kumuua MTU asiye na hatia yoyote direct USO kwa USO ni ngumu sana hasa pale ambapo anayeua sio mhalifu na hana dai lolote binafsi kwa mlengwa. Mara nyingine Ndio maana utakuta risasi zinarushwa bila mpangilio.

Kuhusu Dereva wa Lisu iko wazi kuwa waliomtorosha wametumia busara mana kwa vyovyote kama angebaki humu nchini hao wahalifu au Majambazi wangemmaliza kwa wasiwasi kuwa amewaona na angeweza kuwataja.

Ni kawaida kwa wahalifu hata wanapovamia benki hawataki MTU awaangalie usoni na wakigundua kua umewafaham au unawafaham watakuua.

Kwa hiyo hao wahalifu kwa vyovyote hawakujua kua wahanga ndani ya gari wamepona hivyo lazima wangekua na kazi ya kuwatafuta au kumtafuta Dereva aliyetoka mzima kwa hofu ya kuwa huenda aliwafahamu. Pamoja na kwamba uwezekano wa kuwafaham ni mdogo kulingana na hofu ya risasi na paniki.
 
Jinsi siasa ilivyo mchezo mchafu huwezi kuamini jinsi wananchi wake watakavyo pata maendeleo kama kuna barabara zitajengwa
Na mwenye macho atazame
 
Hata uandike kurasa 100 binafsi siwezi kuamini kwamba chadema hawajahusika maswali ni mengi hayana majibu, kama ulivyouliza ni wapi chadema wangetoa silaha hata mimi nauliza kama Serikali na machinery yake wangetaka kumuua kweli Tundu Lisu wangeshindwaje? Unajua ni nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza? Walishindwa nini pale Dodoma kummalizia kama hilo ndiyo lilikuwa lengo la Serikali yetu? Hivyo kuanzia kupotea kwa Saanane mpaka kumficha dereva aliyekuwepo kwenye crime scene ambaye sasa wamemhamishia Ubelgiji kote huku kunanifanya niamini kwamba chadema wanahusika na hata Tundu Lisu mwenyewe anahusika pia!
Nakushauri ipeleke ushahidi wako polisi na usipoupeleka basi tujue ni kiki za kisiasa kwani ume ahidiwa singe nono kupotosha ukweli ili uweze kumlinda Bashite na mkulu. Kwa nini serikali pamoja na wewe hamtaki uchunguzi huru? Kazi kuleta propaganda kwenye mitandao?
Uchunguzi huru sasa hivi unahitajika kuliko wakati wowote tujue wewe msemaji wa Bashite au labda ni Bashite mwenyewe umeleta utetezi ambao wakati wa tukio ulikuwa huna, na baada ys kukaa chini na kutafakari kwa miezi kadhaa mkaona hii hoja inaweza kuwachomoa no nasema no kubwa hamuepuki kikombe hiki muda ni hakimu.
Nina uhakika 99% wewe unaweza kuwa mmoja wa wahusika na njama za kutoa uhai wa Lisu
 
Serikali yetu haina huo muda, ina mengi ya kufanya!
serikali ina mengi hii serikali inayouliza kibali vya watu wafanyao kazi nje na kuwatafuta watu kwenye mitandao kama wanasema mfalme? Hujaona serikali zenye kazi nyingi nini? Tembea unone!
 
Sijui kwann ukivaa nguo ya kijani lzm uwezo wa kufikiri upungue
 
Sijui kwann ukivaa nguo ya kijani lzm uwezo wa kufikiri upungue
ni Aibu kubwa kwa mwita waitara kudhani kpindi hiki anaweza kucheza na Akili za watanzania, hatambui kuwa watu wana Akili kuliko yeye na wanamchora jinsi anavyojikanyaga kaganya mpaka apate laana zaidi ndipo atakuja kuzinduka baadae.
 
Leo tarehe 05/08/2018 nimeshangazwa sana na kusikitishwa na kauli iliyotolewa na aliyekuwa mbunge wa ukonga Bw mwita waitara wakati akihojiwa na Leonard Mapuli mtangazaji wa Startv Tanzania kuwa anashangaa sana kwa mh Lisu kuumia mguu wa kulia ili hali risasi zilitoka upande wa kushoto
Najua Bw waitara ni msomi na anajua ni nini anaongea na ni kwa faida ya nani. Napia anajua kwa undani kabisa ni kwa nini mh Tundu Antiphas Lissu aliumizwa mguu wa kulia ila kwa makusudi anataka kuupotosha umma na kuwafanya watanzania ni wajinga na wavivu wa kufikiri
Mbaya zaidi Mwita Waitara pia kamtuhumu driva wa lisu kuwa ndio muhusika mkuu kwa shambulio LA Lisu

Kwa faida ya wengine ni kwamba baada ya Lisu kuona watu #wasiojulikana wameshuika kwenye gari huku wameshika silaha za moto Lisu alikilaza kiti na KULALA KWA TUMBO na hiyo ndio ikawa salama yake. sasa tumuulize huyu mnafiki mwta waitara aliyejiondoa ufahamu mtu akilala kwa tumbo kwenye kiti cha mbele cha abiria mguu wa kulia utakuwa upande gani?
Itawezekana vipi Lisu aliyeumizwa amtetee adui yake aliyetaka kumuuwa?
Watanzania tuna uchungu mkubwa sana na kusikitishwa na shambulio la lisu anatokea mtu anatoa kauli za kejeli na kebehi kwenye maumivu na mateso ya mtu.. Mtu huyo lazima tutamlaani kwa nguvu zetu zote na kwa uwezo wetu wote
Kuhama chama ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi kwa hilo hatuwezi mlaumu lakini pale anapotumia tamaa zake binafsi kupotosha umma tutasema na kumlaani kwa sauti ya juu
Njaa na tamaa yako Bw Waitara isikufanye ufikirie kwa tumbo badala ya kichwa
Mungu ibariki Tanzania........
\
Kwa hatua aliyofikia Waitara kwa sasa hata akiambiwa na pole pole nenda katangaze kuwa mama yako ni mchawi anawanga usiku hata bila ushahidi ataenda kusema...huyu jamaa hayuko vizuri kichwani sasa sijui ni hayo madaraka na vyeo alivyohaidiwa kama walivyokuwa wenzake wakina..Msando, Patrick...e.t.c au au katupiwa kitu...acheni kupoteza mda nae....
 
Nakushauri ipeleke ushahidi wako polisi na usipoupeleka basi tujue ni kiki za kisiasa kwani ume ahidiwa singe nono kupotosha ukweli ili uweze kumlinda Bashite na mkulu. Kwa nini serikali pamoja na wewe hamtaki uchunguzi huru? Kazi kuleta propaganda kwenye mitandao?
Uchunguzi huru sasa hivi unahitajika kuliko wakati wowote tujue wewe msemaji wa Bashite au labda ni Bashite mwenyewe umeleta utetezi ambao wakati wa tukio ulikuwa huna, na baada ys kukaa chini na kutafakari kwa miezi kadhaa mkaona hii hoja inaweza kuwachomoa no nasema no kubwa hamuepuki kikombe hiki muda ni hakimu.
Nina uhakika 99% wewe unaweza kuwa mmoja wa wahusika na njama za kutoa uhai wa Lisu
wakiruhusu FBI waje ni ndani ya siku 3 wanatoa jawabu na watasema ni nani alizichukua zile cct camera pia ni kwa nini walinzi hawakutoa upinzani kwa watu waliokuwa wakishambulia Lisu.
 
ni Aibu kubwa kwa mwita waitara kudhani kpindi hiki anaweza kucheza na Akili za watanzania, hatambui kuwa watu wana Akili kuliko yeye na wanamchora jinsi anavyojikanyaga kaganya mpaka apate laana zaidi ndipo atakuja kuzinduka baadae.
Haimjengi zaidi ya watu kumchora tu na kujua alimvo mweupe kichwani. Akipigwa kimya kutokusema vibaya kule alipolelewa anakosa nini,tunajua hana shukrani afadhiliki,alitakiwa ajiongeze asitumike kujidhalilisha kwa ajili ya tumbo tu.
 
\
Kwa hatua aliyofikia wiatara sasa hata akiambiwa na pole pole katangaze kuwa mama yako mchawi anawanga usiku hata bila ushahidi ataenda kusema...huyu jamaa hayuko vizuri kichwani sasa sijui ni hayo madarka na vyeo alivyohadiwa au au katupiwa kitu...acheni kupoteza mda nae....
mwita waitara kapagawa ni kama Mwehu mvuta Bangi sasa amekariri zidumu fikra za wale wanaomtuma kuropoka ni Aibu anazidi kudhalilika kadri anavyozidi kuongea ujinga ujinga wake.
 
R.I.p upinzani Tanzania hawana hoja dawa yao imepatikana na si nyingine bali Jiwe a.k.A sizonje
 
Write your reply...Nimeamini njaa ni hatari sana, huyu huyu Wait ara ndio anatamka haya. Waitara huyu huyu Yego Mkurya! Nisingeshangaa ange kuwa mzaramo.
Waitara, kweli umewadhalilisha Wakurya ninao wajue baada ya kukaa huku ukuryani kwa miaka kumi. Pole sana Mheshimiwa sana Waitara. Leo nimemsikia mkubwa mmoja wa huko ulikoenda akisema 2020 utoswe kwani huaminiki tena.
 
Back
Top Bottom