Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

Duh siasa ni hatari mpaka binadamu unajitoa fahamu kiasi hicho? Unalipwa ma bilioni mangapi mpaka unaujitoa fahamu. Kila ufanyalo na utendalo litakurudia, Amini na kuambia leo kwa posti hii unaweza kutukana matusi yote ya dunia lakini ulifanyalo la kumuumiza mtu ambaye leo aliacha majukumu yake kusema aliratibu mauaji yake seriously? Bora ungekaa kimya. Hili lazima likurudie halafu watu wakukejeli. Hizi siasa tumezikuta na tutaziacha kama huna cha kusema ni vizuri kupiga kimya. Inamaana hata Kigwangwala amejipindua kwenye3gari ili apate public sympathy? No ni ajali tu.

Kama kweli unaamini kwamba Tundu Lisu kapigwa risasi 30 basi una matatizo ya akili!
 
Kama ingekuwa Mpango wa CDM tayari wahusika wangeishakamatwa, Serikali isingekubali kupakwa matope kiasi hicho.

Huo mpango unaonekana kabisa ulipangwa na kusukwa na chadema hivyo walitayarisha kila kitu na ndo maana hata dereva aliyekuwepo kwenye crime scene wamemficha tena nasikia yupo Ubelgiji!
 
Unaamini kabisa Tundu Lisu kapigwa zaidi ya risasi 30? Hivi anayewadharau Watanzania na kuwatukana ni yupi kama siyo chadema? Risasi moja inatosha kuuwa au kulemaza hizo 30 zilipigwa na kuingia sehemu gani ya mwili wake?
Kwani unapotajiwa risasi 30 umeambiwa zote ziliingia mwilini? Hivi mnaposema maigizo hamuoni hata aibu?
Mna roho mbaya sana kama wanyama, na hili LA Waitara kutumiwa ndio limeharibu kabisa maana sijui hata mtafutaje
 
Chadema na Tundu Lisu mwenyewe wanasema alipigwa risasi 36!
 
Faida kubwa ni kuwapata wanachama wapya.
Is that all? Wewe unaishi na kula chamani? Hata kuvaa kwako ni chamani? Kama ndivyo ongeza bidii ya kuwahamisha wote! Mbona kina Mrema na Dovutwa huwahamishi ili kujiongezea idadi?
 
Kuna mambo mengi yanataka Scotland Yard au FBI hata James Hardly Chase kutupa majibu sahihi.
1.Je wauwaji walikuwa professional au ameature kama ni professioal kwanini wamimine risasi 38 at very short range au ni wahitimu fake?
2.Au ni Contractor walilipwa kuuwa lakini ikashindikana kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu ili kuwaumbuwa ?
3.Kwanini wapange kumuua mchana kweupe tena kwa risasi za rasha rasha SMG kwanini hawakutumia mbinu ya sniper?
4.Dereva hakuwa target,target alikuwa Lissu,lakini kwanini wasiwe na wasiwasi na dereva kama aliwaona,angewakumbuka?
5.Kwanini hadi leo hajakamatwa wahusika au washukiwa?
6.Je kuna mpango wa kando nje ya siasa?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Tutumie akili zetu sawa jambo baya tuliite baya na tulilaani na zuri tuliite zuri na tulipongeze.
Huo ndio ubinadam na malengo yote mazuri ya binadam yanapaswa yawe furaha kwa watu sio huzuni.

Siamini kuwa kuna mtu ndani ya Chadema anamiliki silaha ya kivita halafu asikamatwe.
Mbaya zaidi aitumie kwa kumpiga mbunge ndani ya eneo la nyumba za serikali mchana kweupe. Atokomee kusikojulikana bila kukamatwa.

Yani Chadema wamiliki silaha za kivita wafanye mauaji au wapigane risasi mchana kweupe halafu serikali ichafuke dunia nzima kuwa imejaribu kumuua Tundu halafu wakati huo huo waachwe bila kukamatwa mpaka leo.
Waitara nimemdharau sana.

Tuache tu ibaki kuwa ni watu wasiojulikana mana ndilo jibu la serikali baada ya uchunguzi.
Sasa kama mamlaka zenye jukumu la uchunguzi wamesema kuwa ni watu wasiojulikana iweje Waitara aseme ni Chadema na Dereva wao.

Sura ya MTU hua inareflect roho yake wakati mwingine.
Waitara ni MTU laghai na mwenye Roho mbaya. Labda kama tumeamua kujenga taifa la kiidiamini idiamini ndio tutakubaliana na watu wenye roho mbaya za kushangilia roho za wenzao kunyofolewa.

Mkuu wa Nchi mwenyewe aliagiza kuwa waliopiga Tundu Lisu risasi wasakwe mpaka wapatikane sasa iweje Waitara asiende polisi kutoa taarifa na maelezo yake yakaandikwa ili baadae atoe ushahidi?
Hii ni mojawapo wa kumsaidia rais aliyetoa wito wa kuwasaka na kuwakamata wote waliohusika.

Siasa za Tanzania zinakua za hovyo sana kwa sababu ya kujitafutia umaarufu kwenye mambo ambayo ni ya kudhani tu badala ya uhalisia.

Chacha wangwe alikufa kwa ajali na vyombo vinavyohuiska na uchunguzi wakathibitisha hivyo na Dereva aliyehusika na ajali hiyo akahukumiwa kwa kuendesha gari kwa mwendo wa hatari na kusababisha kifo lakini cha ajabu Ajali imegeuzwa mtaji wa siasa za kuchafua watu.

Mbowe chama kimemshinda lakini ni dhambi kubwa kumuhusisha na vitu bila ushahidi.

Kauli ya kusema eti amesema kuwa atashughulikiwa hivyo amehusika na Kifo cha Wangwe ni upuuzi.
Neno kushughulikiwa kisiasa linatumika kwenye vyama vyote na Mara nyingi ni kufukuzwa kwenye Chama na hilo limefanyika kwenye vyama vyote. Lakini hili la kupigana Risasa hadharani ni geni ndio maana wahusika walitakiwa wakamatwe ili hali hiyo isijirudie na isitumike kama kama njia ya kisiasa au hata kihalifu au visasi.

Kama kweli Chadema wanaweza kupanga mashambulizi kwa kutumia zana za kivita na kuingia kwenye eneo la Serikali lenye ulinzi na kujaribu kumuua mbunge mchana kweupe bila kukamatwa wala kujulikana basi ni hatari sana hata kwa usalama wa watu wengine akiwemo huyo anayewatuhumu.
 
Hata uandike kurasa 100 binafsi siwezi kuamini kwamba chadema hawajahusika maswali ni mengi hayana majibu, kama ulivyouliza ni wapi chadema wangetoa silaha hata mimi nauliza kama Serikali na machinery yake wangetaka kumuua kweli Tundu Lisu wangeshindwaje? Unajua ni nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza? Walishindwa nini pale Dodoma kummalizia kama hilo ndiyo lilikuwa lengo la Serikali yetu? Hivyo kuanzia kupotea kwa Saanane mpaka kumficha dereva aliyekuwepo kwenye crime scene ambaye sasa wamemhamishia Ubelgiji kote huku kunanifanya niamini kwamba chadema wanahusika na hata Tundu Lisu mwenyewe anahusika pia!
 
Hofu imewajaaa mashetani na hata 2020 hamfiki hukumu inawangoja wauaji wakubwa.
 
MAMBO YA UHAI WA MTU TUONDOE ITIKADI ZA KISIASA JAMANI NDUGU YANGU MWITA USIJICHANGANYE UKAPITILIZA MAANA HATA HUKU TUNAKUSHANGAA KAMA LISU KAPONA TUFANYE MAMBO MENGINE YA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO KULIKO KUTOA KAULI AMBAZO ZINAAMSHA HISIA AMBAZO ZILISHAPONAPONA SI KWA WANACHADEMA TUU BALI KWA NDUGU NA MARAFIKI WA KARIBU TUNDU LISU NI MTZ NA ANA FAMILIYA KAMA WEWE NA IKO SIKU ATCHUKUA ADUI YAKO NCHI SIJUI WATOTO WAKO WATAAMINIKA VIPI
 
Kama kweli unaamini kwamba Tundu Lisu kapigwa risasi 30 basi una matatizo ya akili!
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari ni kwamba risasi zilizofyatuliwa kwenye eneo la tukio ni 38, ambapo 30 ni za silaha kubwa inayosadikiwa kuwa ni SMG na 8 ni silaha inayosadikiwa kuwa ni Pistol.

Kwa muji wa Taarifa baada ya kufikishwa hospitalini ni kwamba Risasi 17 zilitoboa mwili wake na seheme iliyoumizwa sana ni mguu wa kulia.

Na taarifa hizo sio mambo ya kusadikika na siasa Bali ni mambo ambayo yanweza kuthibitishwa kisayansi.
Kupinga taarifa hizo za kisayansi nadhani ndio kukosa akili.
 
Kwa hiyo dereva wake alishuka akatoka njee akaanza kokoki silaha Lisu anamwangakia tu akaanza kufyatua risasi.

By the way maganda ya risasi yaliokotwa eneo la tukio.

Na yalionesha kuwa silaha za aina mbali mbali zilitumika.

Tumbo haliwezi kuwa kubwa kuliko kichwa Mh. Waitara
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari ni kwamba risasi zilizofyatuliwa kwenye eneo la tukio ni 38, ambapo 30 ni za silaha kubwa inayosadikiwa kuwa ni SMG na 8 ni silaha inayosadikiwa kuwa ni Pistol.

Kwa muji wa Taarifa baada ya kufikishwa hospitalini ni kwamba Risasi 17 zilitoboa mwili wake na seheme iliyoumizwa sana ni mguu wa kulia.

Na taarifa hizo sio mambo ya kusadikika na siasa Bali ni mambo ambayo yanweza kuthibitishwa kisayansi.
Kupinga taarifa hizo za kisayansi nadhani ndio kukosa akili.

Tatizo mburula wa Lumumba wanamwamini yule mlevi anayejikojolea.
 
Wanasiasa wote lengo lao moja tu POLITICAL WIN. Kwahiyo kila mwanasiasa anatumia njia tofauti kutafuta huo ushindi..
 
Amini msiamini HAWA ndio wasomi tuliomao kwahiyo msishangae sana nilimsikiliza Waitara mwanzo mwisho kweli wasomi Tz wanahitaji maombi sio jambo la kuliacha liendelee MTU anajitoa ufahamu kwa ajili ya njaa?
 
Afanyacho waitara kinamuharibia kisiasa zaidi kuliko kumjenga,
 
Back
Top Bottom