Mbona mling'oa ccctv sasa? Na kwanini hamtaki kuruhusu wachunguzi wa nje ambao wako tayari ni ruhusa tu,ina maana cdm wana nguvu kuliko dola?Na wanaolinda makazi ya viongozi dodoma ni cdm?Hii ishu ni mjukuu mnayo sana haipoi ,itawatafuna sana,kabla haijahamia kwa vizazi vyenu.Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!