Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kama vinavyofanywa na ccm dhidi ya cdmVijicho,husda,maombi ya nuksi dhidi ya viongozi na wanachama wa CCM..haswa vinatoka chadema bila kumumunya maneno.
Kama vinavyofanywa na ccm dhidi ya cdmVijicho,husda,maombi ya nuksi dhidi ya viongozi na wanachama wa CCM..haswa vinatoka chadema bila kumumunya maneno.
Hakuna vijicho huku,dua za kuwafanya wahamie tu.Kama vinavyofanywa na ccm dhidi ya cdm
Wakati lissu amepata matatizo si mlikenua meno yenu?Hakuna vijicho huku,dua za kuwafanya wahamie tu.
Na hilo ndio kosa la kubwa ambalo litawagharimu Chadema kwa muda mrefu.Pamoja Na yote wanayopitia Chadema lakin ikifika 2020 Bado watachukua watu toka CCM Kuwa Wagombea
Yaliwakuta Kwa John Magale Shibuda wakaahidi hawatorudia Tena
Tusiumizane sana kiakili japo wengine hatuko upande wwt kisiasa ila kuwa muongo au kujitoa ufahamu kisa unalipiza au unahitaji cheo ni kujitafutia laana mbele za Mungu,huyu soon atatoweka ina maana anajiunga na wale waliomtesa na kumjeruhi TL laana isiyo yake itamuunganisha na wale wote waliomtesa na kutaka kumuua TL kikubwa laana hii imuendee yeye na ishamie katika kizazi chake,kweli watz ni wanafiki sana,hivi usipokuwa mkuu wa wilaya au katibu tawala utapungukiwa nn,mbona matajiri wengi na wafanyabiashara wakubwa sio wanasiasa au hao wakuu wa wilaya,daaaah MWITA na wenzio mnajitafutia mikosi isiyostahili nawe Mr.Jiwe huu mfumo wa kufanya watu waishi kwa sifa na kujipendekeza sio mzuri utakuja kukuungamiza tu,maana ni laanna kwa MUNGU.Leo tarehe 05/08/2018 nimeshangazwa sana na kusikitishwa na kauli iliyotolewa na aliyekuwa mbunge wa ukonga Bw mwita waitara wakati akihojiwa na Leonard Mapuli mtangazaji wa Startv Tanzania kuwa anashangaa sana kwa mh Lisu kuumia mguu wa kulia ili hali risasi zilitoka upande wa kushoto
Najua Bw waitara ni msomi na anajua ni nini anaongea na ni kwa faida ya nani. Napia anajua kwa undani kabisa ni kwa nini mh Tundu Antiphas Lissu aliumizwa mguu wa kulia ila kwa makusudi anataka kuupotosha umma na kuwafanya watanzania ni wajinga na wavivu wa kufikiri
Mbaya zaidi Mwita Waitara pia kamtuhumu driva wa lisu kuwa ndio muhusika mkuu kwa shambulio LA Lisu
Kwa faida ya wengine ni kwamba baada ya Lisu kuona watu #wasiojulikana wameshuika kwenye gari huku wameshika silaha za moto Lisu alikilaza kiti na KULALA KWA TUMBO na hiyo ndio ikawa salama yake. sasa tumuulize huyu mnafiki mwta waitara aliyejiondoa ufahamu mtu akilala kwa tumbo kwenye kiti cha mbele cha abiria mguu wa kulia utakuwa upande gani?
Itawezekana vipi Lisu aliyeumizwa amtetee adui yake aliyetaka kumuuwa?
Watanzania tuna uchungu mkubwa sana na kusikitishwa na shambulio la lisu anatokea mtu anatoa kauli za kejeli na kebehi kwenye maumivu na mateso ya mtu.. Mtu huyo lazima tutamlaani kwa nguvu zetu zote na kwa uwezo wetu wote
Kuhama chama ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi kwa hilo hatuwezi mlaumu lakini pale anapotumia tamaa zake binafsi kupotosha umma tutasema na kumlaani kwa sauti ya juu
Njaa na tamaa yako Bw Waitara isikufanye ufikirie kwa tumbo badala ya kichwa
Mungu ibariki Tanzania........
Alitangulia kutangaza wa kiti cha mbele bungeniWalisema idadi ya risasi kabla hata Tundu Lisu hajafika Nairobi, Mbowe alitaja idadi!
Kuhama kwao kunakuongezea nini katika maisha yako? Binafsi unanufaikaje na hamahama ya hao madiwani na wabunge?Hakuna vijicho huku,dua za kuwafanya wahamie tu.
Mh! Ho ngumu kumeza. Mhe. Godbless Lema ndio alikuwa mtu wa kwanza kumtembelea Kigwangwala hospitalini muda mfupi baada ya ajaliWapinzani na dua zao za nuksi hiyo ajali wanachekea tumboni.
Alikuwa anaenda kusanifu tu..labda huo ni mtizamo wangu tu.Mh! Ho ngumu kumeza. Mhe. Godbless Lema ndio alikuwa mtu wa kwanza kumtembelea Kigwangwala hospitalini muda mfupi baada ya ajali
Wewe roho inakuuma nini mpaka unaingiza data ili unijibu.Kuhama kwao kunakuongezea nini katika maisha yako? Binafsi unanufaikaje na hamahama ya hao madiwani na wabunge?
Kama ingekuwa Mpango wa CDM tayari wahusika wangeishakamatwa, Serikali isingekubali kupakwa matope kiasi hicho.Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Hujajibu hoja na acha kuukwepa ukweli hapa! Unanufaikaje kama imhotep katika kadhia hii ya kuhama vyama? Au nchi na chama chako kinapata faida gani kubwa katika hili?Wewe roho inakuuma nini mpaka unaingiza data ili unijibu.
NdiyoUmejaribu kujenga image ya tukio na kupima inawezekane urushaji wa risasi hadi zikafika 38?
Duh siasa ni hatari mpaka binadamu unajitoa fahamu kiasi hicho? Unalipwa ma bilioni mangapi mpaka unaujitoa fahamu. Kila ufanyalo na utendalo litakurudia, Amini na kuambia leo kwa posti hii unaweza kutukana matusi yote ya dunia lakini ulifanyalo la kumuumiza mtu ambaye leo aliacha majukumu yake kusema aliratibu mauaji yake seriously? Bora ungekaa kimya. Hili lazima likurudie halafu watu wakukejeli. Hizi siasa tumezikuta na tutaziacha kama huna cha kusema ni vizuri kupiga kimya. Inamaana hata Kigwangwala amejipindua kwenye3gari ili apate public sympathy? No ni ajali tu.Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Nadhani ulichoandika hapa kilipaswa kuwa na kichwa cha habari kikubwa:Wakati wa kampeni za uchaguzi wa marudio wa ubunge wa Arumeru Mashariki, 2013, rais mstaafu Benjamin Mkapa aliponzwa na kauli yake alipodai Vincent Nyerere siyo mtoto wa ukoo wa Nyerere. Nakumbuka kati ya majibu yaliyotolewa na Vincent mwenyewe ni pamoja na kumtaka Mkapa aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu.
Kifupi tukio hilo lilimfanya Mkapa atafute wazee wa kifamilia kumaliza kadhia hiyo kwa vile nayeye alidai ni mwanafamilia wa ukoo wa Nyerere.
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ukonga kuhoji (mimi naita kuropoka) kuhusu utata wa jaribio la mauaji ya Tundu Lissu, amejibiwa na mhanga mwenyewe pamoja na kutolewa tuhuma nzito zikiinyoshea kidole serikali ya Mh. Magufuli na rais mwenyewe kuhusika.
Hizi tuhuma siyo ndogo ni kubwa hasa ukizingatia zinamhusisha kiongozi mkuu wa nchi kwa kutajwa kwa jina na sio cheo chake, zimezua mjadala mkubwa unaoendelea hivi sasa. Nionavyo mimi mjadala huu hautaisha leo utadumu, hata kama utafifia kwa muda fulani hata miaka kadhaa lkn utakuja kuibuka kama ulivyoibuka mjadala wa kifo cha baba wa taifa na jamii kutaka kupata majibu.
Nimetoa mifano hiyo ili kuwa tahadharisha wanasiasa kuwa waangalifu wanapotumia midomo yao kwa makusudi au kutojua kupotosha jamii kama mtaji wa kisiasa. Kwa upande mwingine wanaweza kuharibu, kuponza au kuchimbua yaliyojificha.
Quinine wa JF.
Faida kubwa ni kuwapata wanachama wapya.Hujajibu hoja na acha kuukwepa ukweli hapa! Unanufaikaje kama imhotep katika kadhia hii ya kuhama vyama? Au nchi na chama chako kinapata faida gani kubwa katika hili?