Mwita Waitara unajidhalilisha

Mwita Waitara unajidhalilisha

aliyetoa idadi ya risasi ni daktari yakupasa uende huko Nairobi kawaulize pia nenda kahesabu matundu ya risasi kwenye gari ya Lisu.


Walisema idadi ya risasi kabla hata Tundu Lisu hajafika Nairobi, Mbowe alitaja idadi!
 
Leo hutaona madhara, athari yake utaiona miaka kadhaa ijayo inawezekana kabla au baada ya awamu hii kutoka madarakani.
Huyo uliye mjibu ni mnyarwanda hivyo hana uchungu na nchi yetu ndiyo maana anaongea chochote
 
nani amfuatilie huyo mwehu? Anaonywa asiendelee kulopoka, ona sasa alitaka kupindisha au kupotosha watu juu ya shambulio la lissu, watu wakamnyooshea maelezo mpaka yamemgusa jiwe! Mwambieni asiendelee kulopoka!
Uteuzi unamtoa fikra
 
Sasa kwani akisema hayo anaongopa?

Si ilikuwa hivyo au mna jipya la kutaka kutudanganya..

Kazi ya ndani ya chadema hiyo labda hata anahusika kwa jinsi anavyoendelea kupayuka ovyo huko aliko majuu.

Dereva wake anakua yote na bastora aliishika pia.. lazima.. na wakuu wenu wanajua zaidi.. msituletee hya malizaneni huko mshitakiane mfungwe
kuna kitu fikirishi hapa inakuaje matundu ya risasi yaonekane kwa nje ya body la garikama alipigwa risasi na dereva wake

think logically coco usikurupuke kusapoti vitu visivyo na maana
 
Kumbe gari ya Kigwangala nayo imepinduliwa na wapinzani au dereva alikuwa Chadema.
Vijicho,husda,maombi ya nuksi dhidi ya viongozi na wanachama wa CCM..haswa vinatoka chadema bila kumumunya maneno.
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuumizwa na Waitara. Waitara bila shaka ana tatizo la akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuropoka kwa kiwango kile.
Uteuzi unamtia kifafa cha akili
 
Ingelikuwa ni kweli angelibadilika akawa chujio la chai.
kumbuka mpiga Risasi alipiga kwa pupa na kwa kasi kubwa na nyingi zilipunguzwa makali na bodi ya gari pia malaika wa Lisu alipangua baadhi ndipo akamuokoa kufa, vigezo vyako kaa navyo moyoni usiongee mbele za watu wenye Akili watakucheka moyoni kama si live endapo watakuwa wanakuogopa au kukuonea Aibu.
 
Adui yako muombee njaa... wahenga wanatisha- waheshimiwe
 
Daktari wa hospital ya Dodoma pia muuluze

Daktari wa huduma ya kwanza hakutoa neno lolote kwanza aliyemfanyia huduma ya kwanza ni Kiongozi wa Serikali ambaye ni daktari, Mbowe ndiyo aliyokuja na idadi ya risasi kwanza alianza kusema ni 16 akabadilisha baadaye na kuwa zaidi ya 30!
 
Kuna tatizo kubwa la kiuwezo kwa upande wa CCM. Sijui kama linatokana na uwezo mdogo wa wahusika au wahusika wanashindwa kupata cha kuongea wakati wanalazimishwa kuongea. Ukimsikiliza Waitata, ukimsikiliza Mwenyekiti wa UVCCM, wote kwa kauli zao zinaashiria kupungukiwa.
Wanadanganywa na kutiwa pepo inaitwa over confidence na kujikuta wanaropoka tu bila kuchuja kabla ya kutamka
 
Back
Top Bottom