rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
ubungeHuyu punguwani hatuwezi hata kumsikiliza, pumbavu kabisa kama ni kurudi gerezani Mbowe arudi na nchi ya watu wote siyo ya CCM
ubungeHuyu punguwani hatuwezi hata kumsikiliza, pumbavu kabisa kama ni kurudi gerezani Mbowe arudi na nchi ya watu wote siyo ya CCM
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea.
Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais kwa huruma yake alimkuta mtu yupo gerezani akamtoa, akaenda kula nae Ikulu, akaruhusu mikutano ya yama vya Siasa ila mheshimiwa Mbowe amemkosea sana Rais na anapaswa kumwomba radhi Rais.