Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,230
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .
Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .
Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama Chalamila