Mwita Waitara kukumbwa na yaliyomkuta Wassira

Mbinu sawa, lakini ni za kupigiwa kura, sio kutangazwa umeshinda, wakati kura zako ni chache.
Akitangazwa mshindi nayo mbinu bwashee! Inasikitisha watu kuingia katika kinyanganyilo ukijua utashindwa. Wanaojitambua kama mtoto wa Lowassa hawjiaibishi.
 
Uchaguzi ni mpambano na kila mtu au chama kinatafuta mbinu za kushinda! Ukishindwa mbinu utashindwa uchaguzi na mwisho wa yote usilalame! Nakuelezaga kila siku kuwa unatakiwa kuwa mature
Naona umevurugwa kabisa Kama ccm wanatumia polisi Kwa hiyo unatamani upinzani watumie interahamwe si ndiyo!?
 
Nipo hapa kwa ajili ya kusoma comment jitahidini ziwe fupifupi tusichoshane!!!!!!?
 
Uchaguzi ni mpambano na kila mtu au chama kinatafuta mbinu za kushinda! Ukishindwa mbinu utashindwa uchaguzi na mwisho wa yote usilalame! Nakuelezaga kila siku kuwa unatakiwa kuwa mature
hizo zinazotumiwa na ccm si mbinu bali ni ubakaji wa kishamba wa Demokrasia , ni bahati mbaya sana kwamba USA imestuka , muda wenu unahesabika
 
Mh alishawambia wakurugenzi kuwa gari ya ccm, mshahara ccm alafu unatangaza mshindi upinzani iiiih ujipendi
Hili jamaa lenye kichwa kama korosho silipendi kama nini shithole limelaaniwa, eti mshahara nakupa mm, gari mimi halafu unatangaza ameshinda mpinzani, kweli?
Ilinichefua ile kauli hadi leo nikisikia jina lake tu kichefu chefu kinaanza, kweli "tuna rais wa ajabu haijawahi tokea"

 
Bila polisi wenye silaha za kivita ccm ni wepesi kuliko pamba , Chiza kaangushwa kwenye kata 12 kati ya 13 lakini ffu 400 wenye makombora wakahakikisha anatangazwa , hata aibu huna mjomba ?
Mbunge wa Buyungu ni nani kamanda!?
 
Hakuna uchaguzi, ni usanii alafu wanatangaza eti wameshinda. Kitu kibaya sana katika dunia hii ni upumbavu.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom