Namni Tunisia huyu mlevi, subiri jumapili utatafuta pa kujificha. Waitara unaweza kuwa unatetea serikali kwa kuwa wewe ni sehemu ya hiyo,lakini Askofu yupo na wapiga kura wake,na kondoo wakeKazi ya mbunge ni tofauti na kazi ya waziri! Waziri anabanwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja!! Waziri ni sehemu ya serikali!! Lakini mbunge kazi yake ni kuihoji serikali na kuisimamia!! Si kuiunga mkono kwa kila kitu!! Huyu watara ni tara kweli!!! Nashangaa kuwa hajui kanuni hii ya msingi atajuaje mengine?