nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 810
- 2,850
Siri ya Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mwita Waitara kumshambulia Askofu Gwajima juu ya msimamo wake juu ya Chanjo ya UVIKO 19 sasa zimepatikana.
Habari zilizotufikia ni kuwa kuna tetesi kuwa Mh. Rais Samia Suluhu ana mpango wiki ijayo either kujaza nafasi ya Waziri wa Ulinzi iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Mh. Kwandikwa au pia kupitia sababu hiyo Mh. Rais anaweza fanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.
Hivyo baada ya Mwita Waitara kupata fununu hizo akaona atatoka vipi basi akaona style ya kujipendekeza kwa Mama Samia ni kumponda Askofu Gwajima na Humphrey Polepole.
Sasa majibu kama mbinu yake itamsaidia au la tutayapata wiki ijayo.