MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Mwanaume wa Kikurya akiongea huwa anamaanisha, hatanii na anayekuambia unatakiwa uwe nae makini sana asije kukufanya Bucha muda wowote tu.View attachment 1888315
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.