Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,267
- 61,215
Asante kwa ukumbusho bro
Finishing uliiona lakini mkubwa?Uhalisia wetu... Kifo ni chanzo sio mchakato... View attachment 1090844
Hupandwa mwili wa kuharibika hufufuliwa pasipo kuharibikaNiliiona lakini kilichofutikwa chini ni uvundo
Hata wao wakishakuwa watu wazima wataweka watu wengi tu kwenye 'case'.sijasema alaaniwe..nimesema alaumiwe..kwa kucreate disturbing image kwa waombolozaji(mimi na wewe)..this was not necessary..kwa sababu ina lasting effect..as chochote kilichopo kwenye internet kipo milele..je ungependa wale twins waje kuona jinsi baba yao alivyorudi kwenye case?
Msibani na kwenye mazishi hupigwa picha nyingi sana.Mambo gani kwa uwazi??mnhhhh hivi unajua unaomboleza kwa kipindi tuu...ili mambo mengine yaende...sasa unataka familia yake iomboleze forever? 🙄
Hapo pana nadharia nyingi lakini Mungu ni anajua ni wapi ila tunatarajia nchi mpya na mbingu mpyaAameni lakini ufufuko ni wa kiroho huko mbinguni na si hapa duniani tena
acha kujifariji kwa mambo ambayo hayazoeleki, unaitesa nafsi yako bure kwa kuufariji moyo, wajua na wewe utaja kuwa maiti siku moja, au utayeyuka tusiambulie kuona hata kisigino???Mimi nimeshalala nazo sana. Nyingine kitanda kimoja tena wuchi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu si utuchague watu kama 25 humu Jf kama Yesu alibyochagua wanafunzi wake, kisha utufunfishe huo uganga wakoSanaa ya kifo.... Najitahidi kuwafundisha what is called forbidden education.... Kuna mambo inapaswa tuwaambie kwa uwazi ni vema wakafahamu kuliko wakasimuliwa