Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,709
Unasema?Mimi nimeshalala nazo sana. Nyingine kitanda kimoja tena wuchi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unasema?Mimi nimeshalala nazo sana. Nyingine kitanda kimoja tena wuchi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapana Rebecca that pic is fainted image.... Both of my parents are no longer...!!! [emoji24][emoji24][emoji24]huwa nikiangalia zile picha za msiba zinazikumbusha kitu kimoja muhimu sana.... Kwamba kuna siku na mimi NITALALA and my loved one will cry just like I did to my loved parents [emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Mambo gani kwa uwazi??mnhhhh hivi unajua unaomboleza kwa kipindi tuu...ili mambo mengine yaende...sasa unataka familia yake iomboleze forever? 🙄
Imebidi nikutafakari mara mbilix2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikipendi kifo..nakichukia mno
Hapana Rebecca that pic is fainted image.... Both of my parents are no longer...!!! [emoji24][emoji24][emoji24]huwa nikiangalia zile picha za msiba zinazikumbusha kitu kimoja muhimu sana.... Kwamba kuna siku na mimi NITALALA and my loved one will cry just like I did to my loved parents [emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Hata kikija hutakipa ushirikiano?
Thanks nakubaliana nawe kwa asilimia zote but fame has its negatives tuu.... Ni kama hizi sasa... Imagine ni wangapi wanarudishwa in a cargo? But why him? FAME!No Mshana,picha za msiba zinapigwaga in a way that won't hunt you forever...kuna picha za msiba na matukio yake...zile picha mwili ukibebwa na forklift ni disturbing sio kwa watu wa kawaida tuu bali hata na familia yake..yes we all going to die one day..we are counsciously aware of it..ila we don't need to be reminded of that....ume move on na Maisha yako sababu japokua una picha za marehemu wazazi wako..ziko stored somewhere carefully...na sio kwenye internet!..spot the difference!...ungekua na picha za marehemu wazazi wako kwenye internet...probably usinge move on na Maisha yako……...kila siku ungebaki una mourn tuu...pole kwa msiba wa wazazi
Uko sahihi sana mkuu ila naomba na Mimi niseme kitu. Ni picha ambazo sio comfortable sana kuangaliwa na walio hai ila ni muhimu sana zikawepo. Zinatukumbusha kwamba katika maisha hakuna haja ya kujikweza, kunyanyua sana mabega, kuwapanda watu vichwani simply because una uwezo wa kufanya hivyo. Zinatukumbusha mwisho wa siku na miisho yetu wote itakuwa hiyo. Tunatakiwa kuwa humble!No Mshana,picha za msiba zinapigwaga in a way that won't hunt you forever...kuna picha za msiba na matukio yake...zile picha mwili ukibebwa na forklift ni disturbing sio kwa watu wa kawaida tuu bali hata na familia yake..yes we all going to die one day..we are counsciously aware of it..ila we don't need to be reminded of that....ume move on na Maisha yako sababu japokua una picha za marehemu wazazi wako..ziko stored somewhere carefully...na sio kwenye internet!..spot the difference!...ungekua na picha za marehemu wazazi wako kwenye internet...probably usinge move on na Maisha yako……...kila siku ungebaki una mourn tuu...pole kwa msiba wa wazazi
Utakufa umetoa macho shauri yako... Kifo hakipendi wabishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]
Uko sahihi sana mkuu ila naomba na Mimi niseme kitu. Ni picha ambazo sio comfortable sana kuangaliwa na walio hai ila ni muhimu sana zikawepo. Zinatukumbusha kwamba katika maisha hakuna haja ya kujikweza, kunyanyua sana mabega, kuwapanda watu vichwani simply because una uwezo wa kufanya hivyo. Zinatukumbusha mwisho wa siku na miisho yetu wote itakuwa hiyo. Tunatakiwa kuwa humble!
Thanks nakubaliana nawe kwa asilimia zote but fame has its negatives tuu.... Ni kama hizi sasa... Imagine ni wangapi wanarudishwa in a cargo? But why him? FAME!
Mnalaumu hata mpiga picha hii!
Eti it will hunt them forever!
Maybe if they save it as their wallpapers.