Mwisho wa yote ni uharibifu

Mwisho wa yote ni uharibifu

.
IMG-20190507-WA0180.jpeg
 
Waliopewa nafasi ya kutoa Salam Ni Raisi Uhuru Kenyataa zimetolewa na mwakilishi wake na Mh Freeman Mbowe. Askofu Dr Shoo akasema imetosha ibada ianze.
Hakuna Cha waziri mkuu, hakuna spika hakuna Bashiru Ally Safi sana Baba Askofu
 
Unaheshimika Sana hapa acha unafiki mzee baba
Muda uliisha hukusikia??
 
Unaheshimika Sana hapa acha unafiki mzee baba
Muda uliisha hukusikia??
Sikuwepo ndugu nimeikopi huko wasap na kupaste hapa... Lakini pale ni kanisani na sio msiba wa kiongozi wa kisiasa, hivyo hao wana sehemu yao baada ya mazishi
 
Unaheshimika Sana hapa acha unafiki mzee baba
Muda uliisha hukusikia??
Askofu anawabomoa kweli kweli? Anasema hawa viongozi wadogo wadogo tena wenye Umri mdogo wana kiburi cha kujitutumua kama Cobra. Na Ndugai kapewa yake[emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Back
Top Bottom