Mwisho wa yote ni uharibifu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,793
From first class seat to cargo wrapped in nylon
IMG-20190506-WA0127.jpeg
 
Mchawii wewe mm naogopa sana maiti zaid hata kuaga nilikuwa siagi maiti ila nilipofiwa na mama na kaka zangu ndipo nilipopata ujasiri wa kuaga maiti
 
Njia ya wote, la kujiuliza ni utaenda wapi wakati wa hukumu ya mwisho. Mungu atusaidie tuwe na maisha mema hapa duniani kabla ya kutwaliwa.
 
sijasema alaaniwe..nimesema alaumiwe..kwa kucreate disturbing image kwa waombolozaji(mimi na wewe)..this was not necessary..kwa sababu ina lasting effect..as chochote kilichopo kwenye internet kipo milele..je ungependa wale twins waje kuona jinsi baba yao alivyorudi kwenye case?
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1016907/.... Najitahidi kuwafundisha what is called forbidden education.... Kuna mambo inapaswa tuwaambie kwa uwazi ni vema wakafahamu kuliko wakasimuliwa
 
Back
Top Bottom