Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mwisho wa unafiki wa Mengi!

We kweli jingalao maficem,hivi kwanini huwa mnajitoa ufahamu nyie watoto wa lumumba,sasa ulitaka aonyeshe habari za CCM kama hao TBCCM na huyo ndina wa mwanza ,,,,,,,muwe mnatumia akili kufikiri muda mwingine nyie majambazi.
 
Katika mambo mtakayomsingizia sana Mzee huyu ni hili. Kipindi chote cha kampeni ITV imekuwa fair sana. Nashangaa wanaomshambulia Mengi na kutomuona Diallo. Huku ni kulewa siasa hadi kuwa vipofu. Kati ya hao wawili sijui yupi anastahili ku nyoshewa kidole?

ITV haijawahi kuwa fair kwa CCM na serikali yake. ITV ilikuwa biased against CCM and in favour of UKAWA. Hii inadhihirishwa na namna ilivyokuwa iki-select news zake. Nilisema humu JF kuwa baada ya uchaguzi baadhi ya media owners watapata taabu...tusubiri tuone.
 
We kweli jingalao maficem,hivi kwanini huwa mnajitoa ufahamu nyie watoto wa lumumba,sasa ulitaka aonyeshe habari za CCM kama hao TBCCM na huyo ndina wa mwanza ,,,,,,,muwe mnatumia akili kufikiri muda mwingine nyie majambazi.
Tuliza akili na uelewe kinachojadiliwa sio kukurupuka tu
 
Hata kipofu anaweza kukutajia upande wa itv katika kampeni,uchaguzi,utangazwaji wa natokeo na yaliyojiri.

halafu mwanamke kuwa muongo kama wewe haipendezi...

Nenda hospitali ukatibiwe ugonjwa wa akili! Sijui kama umenielewa maana ubungo wenyewe ndio huo tena!
 
Mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake(Kitabu cha mithali kwenye biblia).......Naamini wadau wengi humu wamekujibu kulingana na upumbavu wako.
 
Wakati mwingine nashindwa kuwaelewa CCM, inapotokea mtu anaripoti matukio kadri yanavotokea munamwita mnafiki nadhani upande wenu mtu akiwa mkweli anakuwa amefudhu kuitwa mnafiki. Ni hii ndio sababu iliyopelekea mwandishi kutoka mwananchi kufukuzwa kwenye msafara wa mgombea wenu.
 
Mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake(Kitabu cha mithali kwenye biblia).......Naamini wadau wengi humu wamekujibu kulingana na upumbavu wako.
Endelea kuishi kwa imani potofu!
 
ITV haijawahi kuwa fair kwa CCM na serikali yake. ITV ilikuwa biased against CCM and in favour of UKAWA. Hii inadhihirishwa na namna ilivyokuwa iki-select news zake. Nilisema humu JF kuwa baada ya uchaguzi baadhi ya media owners watapata taabu...tusubiri tuone.

Acha kujiliza wewe startvccm tbccm,cloudsccm uwe unaziangalia hizo
 
Wakati mwingine nashindwa kuwaelewa CCM, inapotokea mtu anaripoti matukio kadri yanavotokea munamwita mnafiki nadhani upande wenu mtu akiwa mkweli anakuwa amefudhu kuitwa mnafiki. Ni hii ndio sababu iliyopelekea mwandishi kutoka mwananchi kufukuzwa kwenye msafara wa mgombea wenu.

Tarehe 26 ungeangalia ITV ungedhani Tanzania imegeuka rwanda...hii ndio picha iliyokuwa inapakwa rangi na the Super brand...sijui hata hiki cheo nani kawapa.
 
Ama kweli Emmanuel Buhohela kila siku alikua anaripoti mikutano ya JPM halafu mtu anasema ITV inapendelea kwa hakika chuki nyingine hazifai ITV itabaki kuwa super brand kwa jinsi ilivyoripot mikutano ya kampeni bila upendeleo
 
sasa unadhani nani atamfanya nini mtu kama Mengi? hii ni karne ya 21, chief.

and in case you were about to forget let me remind you....wale nduguzo wa kijijini kwenu mnaondelea kuwadanganya ndiwo watakaoendelea kuisoma ile namba yenu (ya CCM), siyo Dr Mengi.

bila kuwasahau wale wabeba ma-box wa ughaibuni ambao kwa miaka kadhaa wamekimbia jehanum ya CCM ingawa hawataki kukiri hivyo - hawa nao wataendelea kuisoma namba!
 
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.

Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!

Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.

kweli kabisa vyombo vya habari vya IPP vinaelemea upande mmoja tu wanatakiwa wajifunze uadilifu wa kutobagua kama wenzao TBC na STAR TV wanavyofanya
 
Back
Top Bottom