Hoja zako zinalingana na ID yako
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Na Muhongo ndiyo anakuwa waziri mkuu, hahaha hapatoshi. Akina mengi walikuwa wanataka kutuharibia nchi. Na ninashauri Magufuli na CCM kuwa nao makini sana. Nchi nyingi za bara la amerika ya kusini mpaka leo wanataabika kwa sababu ya watu wezi na wala rushwa kama akina lowasa kuingia madarakaniMzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
babu meng niliwahi kumshauri kuhusu yule binti hakutaka kunisikia ona madhara yake
Machaga yote nimetokea kuyachukia tu na mimeno yao iliyooza.
Kwanza uelewe kuwa UKAWA wameshindwa na hawajaibiwa kura...!!
Star tv ni Tv ya mwenyekiti wa ccm na ilikuwa kwenye kampeni bila kificho.
Mengi alijiweka kwenye neutral side wakati akitangaza kimahaba kwa advantage ya lowassa.
Mengi badala ya kuonesha watu wanavyosheherekea ushindi anatuonesha watu wanafarakana.
Wachambuzi kwenye kipindi ni wachaga watupu...halafu Mungu alivyo mkubwa aliwaabisha kwa kuonesha clip ya mchambuzi na Mwandishi wakipongezana kwa kazi nzuri...
Wanafiki aina ya Mengi watakiona kuanzia leo
ukawa wamepigwa fair play,acheni kulia lia , kuna wanachadema wengi wamempigia kura magufuli ila hawasemi,
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.
Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!
Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.
Mleta mada unanipa wasiwasi na shule yako,lazima uelewe kuwa MENGI is a businessman,HABARI ZA CCM zilikuwa haziuziki katika kipindi cha kampeni na uchaguzi,ndio maana hata mgombea wa CCM Magufuli ilibidi ajipambanue na ccm ili aweze kueleweka,fanya research uone media zilizojikita kwenye itikadi za ccm zilivyokosa soko kama kamongo,pia hakuna mwana CCM aliyelazimishwa kuangalia ITV au kununua NIPASHE,mbona hawo wa channel ten,cloud,tbc hawakutuambiwa kuwa wao wako CCM? you making this personal with MENGI,Give us a break,unafikiri MENGI Na wazifa wake wa wamiliki wa vyombo vya habari aongoze kwa kuipendelea ccm bila kubalance kutakuwa na upinzani nchini? nyie ndio mburura mnaodhani upinzani ni vita na hauna umuhimu! check and balance is very important in any country,Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!