Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mkuu naamini na bado nitaendelea kuamini kuwa ITV itaendelea kuwa the super brand tv

Unaruhusiwa kuamini hivyo..kama mlivyokuwa mnajiaminisha kuwa jamaa atakuwa rais..
Mtoto Spy atawakoroga mpaka mtatia adabu....mjini hapa!!
 
Hakuna maendeleo chini ya ccm usitegeme miujiza kutokea
 
Kweli Watanzania wenzangu ni waoga...nimeangalia ITv siku zote sijawahi kuona hayo machafuko. Kilichoonyeshwa ni matukio yaliyojiri. Je mlitaka yafichwe kama inavypfanyika kule TBC1?
Watu wa aina yenu ndio maconservative msiopenda mabadiliko au kujua ukweli.
Acheni propaganda chafu bana...ITV ni chaguo la Watanzania.
 
Katika mambo mtakayomsingizia sana Mzee huyu ni hili. Kipindi chote cha kampeni ITV imekuwa fair sana. Nashangaa wanaomshambulia Mengi na kutomuona Diallo. Huku ni kulewa siasa hadi kuwa vipofu. Kati ya hao wawili sijui yupi anastahili ku nyoshewa kidole?
 
Kweli Watanzania wenzangu ni waoga...nimeangalia ITv siku zote sijawahi kuona hayo machafuko. Kilichoonyeshwa ni matukio yaliyojiri. Je mlitaka yafichwe kama inavypfanyika kule TBC1?
Watu wa aina yenu ndio maconservative msiopenda mabadiliko au kujua ukweli.
Acheni propaganda chafu bana...ITV ni chaguo la Watanzania.

Unataka kuniambia nchi ilikuwa na machafuko zaidi ya sherehe?

Kwa nini basi sherehe zifichwe?
 
Supebrand no.1 EAST ...Africa kila mtu anapenda kuingakia haiegemei upande wowote...inapendwa...sana
 
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.

Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!

Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.

Mengi ataendelea kupeta kama dola ya ROMA.
Mimi na wewe tunaanza leo safari mpya ya kuisoma namba.

Acha wivu.
 
Mpuuzi wa mwisho wewe..
Ulitaka Itv iwe kama star TV??

Star tv hawakuwa na unafiki!

Channel ten hawakuwa wanafiki walianza na kuendelea na safari za lowassa...!!

Itv ni wanafiki!
 
Mengi ataendelea kupeta kama dola ya ROMA.
Mimi na wewe tunaanza leo safari mpya ya kuisoma namba.

Acha wivu.

Hakuna wivu hapo...haya ni makavu live kwa wanafiki aina yake!
 
Kweli Watanzania wenzangu ni waoga...nimeangalia ITv siku zote sijawahi kuona hayo machafuko. Kilichoonyeshwa ni matukio yaliyojiri. Je mlitaka yafichwe kama inavypfanyika kule TBC1?
Watu wa aina yenu ndio maconservative msiopenda mabadiliko au kujua ukweli.
Acheni propaganda chafu bana...ITV ni chaguo la Watanzania.

PJ miaka 2 sikusomi
 
Hahaaa...inawauma ccm wakisikia ITV...ni television inayo tazamwa na kupendwa na watu wengi zaid...ni superbrand no.1 EAST AFRICA....hupend pasuka ufe...........
 
Hivi mkutano wa mwisho wa Kampeni uliooneshwa na ITV ni wa chama gani?
 
mengi kapishana na gari ya mshahara
 
Hakuna wivu hapo...haya ni makavu live kwa wanafiki aina yake!

Ndugu Makofuli hakujui.

Wote tunaendelea na safari ngumu kimaisha kuisoma namba.

Hongera wewe unaenunua kilo ya nyama sh.4000
 
kosa lake haku declare interest kwamba yy ni mwanachama wa ukawa, ITV ilitumika kuhujumu CCM kwa kuipendelea chadema na kufanya proganda za chadema kuiangamiza ccm. Hiyo mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hilo.
Dialo yeye hana kosa maana anajulikana ni mwana CCM na ni mwenyekiti wa mkoa wa CCM.

Kweli kabisa... Mengi alijidadavua kuwa ni Mzalendo anaepinga maovu... Hakuna ubishi vyombo vyake vya habari vyote vilikua upande wa Lowasa kitu ambacho kilimfanya apotezelali wake wa kuwa mzalendo wa kweli. Kutetea upande wenye mapungufu makubwa ya wazi na kuupinga upande wenye mapungufu makubwa wewe ndo unaonekana zuzu na ukiwa kwenye level ya Mengi unaonekana una maslahi yako. Angetakiwa awe neutral kama Mabilionea wengine wanavyofanya na sio upendeleo wa kijinga na wa wazi kama alivyofanya.
 
kosa lake haku declare interest kwamba yy ni mwanachama wa ukawa, ITV ilitumika kuhujumu CCM kwa kuipendelea chadema na kufanya proganda za chadema kuiangamiza ccm. Hiyo mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hilo.
Dialo yeye hana kosa maana anajulikana ni mwana CCM na ni mwenyekiti wa mkoa wa CCM.

ningekuelewa kama ungezijumuisha na TBC, STAR TV, CLOUDS na CHANNEL ten kwa kuegemea kabisa chama tawala bila kificho, Kumbuka TBC ni television ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom