Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mwisho wa unafiki wa Mengi!

kosa lake haku declare interest kwamba yy ni mwanachama wa ukawa, ITV ilitumika kuhujumu CCM kwa kuipendelea chadema na kufanya proganda za chadema kuiangamiza ccm. Hiyo mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hilo.
Dialo yeye hana kosa maana anajulikana ni mwana CCM na ni mwenyekiti wa mkoa wa CCM.

Sijakuelewa. Kama Dialo kaibeba ccm sababu yeye ni Mwana ccm kwanini ulaumu wengine walioibeba ukawa kwa sababu wao ni wana ukawa? Unajijibu na kujipinga. Au ndio kusema mkuki mtamu kwa nguruwe..............?
 
Hivi mnataka tanzania nzima wawe ndondocha wa ccm ama shida ni nini
 
Ndugu Makofuli hakujui.

Wote tunaendelea na safari ngumu kimaisha kuisoma namba.

Hongera wewe unaenunua kilo ya nyama sh.4000
Kilo ya nyama nanunua 7000 baada ya mipango ya kuhujumu inayofanywa na wafanyabiashara wachache...ila leo ndio mwisho wa upuuzi huo!
 
Akili za kifisiem ka za maiti mengi kawa fair sana habari zake hadi za kina Hashimu rugwe yeye kama RAIA ana Uhuru kumpenda amtakaye mbona wengine hamuwasemi. Wewe endelea kutumika na Lumumba ka tissue
 
Hata kipofu anaweza kukutajia upande wa itv katika kampeni,uchaguzi,utangazwaji wa natokeo na yaliyojiri.

halafu mwanamke kuwa muongo kama wewe haipendezi...
 
Hata kipofu anaweza kukutajia upande wa itv katika kampeni,uchaguzi,utangazwaji wa natokeo na yaliyojiri.

halafu mwanamke kuwa muongo kama wewe haipendezi...

Ndo mana nakwambia watumia akili za kimaiti ambaye hawezi kuongea,kuona, unamdaganya nani uwe fair kwenye reasoning aisee hata ka Lumumba ndo kazini kwako ukijaa mihemko hata kufikiri inakua ujinga ka umekatwa kichwa. Una chuki zako binafsi na Mengi na umeandika uongo ulio dhahiri kabisa. Mengi ni yule yule siku zote na hatishwi na kajamba nani yoyote wewe baki na fisiem yako uendelee kuisoma number.
 
*** post,mleta mada umetumwa na mafisiem,mmezoea kila jambo LA mafisiem ndo zuri,MTU akiwa yupo fea kwa wrote mnafiki,basi linafiki ni hill li Diallo lenye roho mbaya.
 
Binti mdogo kuwa mwongo haifai!
 
Magufuli pimbi tu, kamwe hawezi shindana na mengi akashinda. Hawezi shindana na kabila namba moja tanzania akashinda. Magufuli ni Rais, bado atabakia kuwa mchunga ngombe tu.
 
mengi kapishana na gari ya mshahara

Kweli kumbe mnatumia tumbo kufikiri. Mwenzio kashapita hiyo stage. Forbes wanamtambua. Dialo hajafikia level ya kutambuliwa na Forbes lazima aendelee kukimbizana na gari unaloita la mshahara. Na nawaambia wanaccm wanaopenda vya bure kwa Magufuli wajiandae nao kuisoma. Mwisho wa kulakula zenu umefika.
 
Unatia aibu sana jamii ya jf

Mleta mada, mbona huongelei Diallo! Itv was very fairly Kwa vyama vyote tofauti na tvs zingne Sasa sijui mtazAmo wako au ulitaka asioneshe taarifa za ukawa au kuwa mtanzania lazima uwe mfuasi wa CCM! Nahisi umevurugwa wewe.
 
*** post,mleta mada umetumwa na mafisiem,mmezoea kila jambo LA mafisiem ndo zuri,MTU akiwa yupo fea kwa wrote mnafiki,basi linafiki ni hill li Diallo lenye roho mbaya.
Unafiki ni mbaya sana hata vitabu vya dini vimeutaja unafiki.
Hata wewe unaonesha tabia hiyo.
 
Mleta mada, mbona huongelei Diallo! Itv was very fairly Kwa vyama vyote tofauti na tvs zingne Sasa sijui mtazAmo wako au ulitaka asioneshe taarifa za ukawa au kuwa mtanzania lazima uwe mfuasi wa CCM! Nahisi umevurugwa wewe.

Yaelekea wewe hata maana ya neno unafiki hulijui.
Tembelea kamusi afu ujipange upya
 
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.

Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!

Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.

Lazima ubungo wako unashida kubwa sana! Pu...TBC ni chombo cha habari cha nani na kilifanya nini kwenye kampeni!?
 
Nn maaana ya kuwa na demokrasia nchini???? ulitaka vyombo vyoote vya habar viishabikie CCM???
 
Kilo ya nyama nanunua 7000 baada ya mipango ya kuhujumu inayofanywa na wafanyabiashara wachache...ila leo ndio mwisho wa upuuzi huo!

Endelea kujidanganya na utasubiri sana...
 
Magufuli pimbi tu, kamwe hawezi shindana na mengi akashinda. Hawezi shindana na kabila namba moja tanzania akashinda. Magufuli ni Rais, bado atabakia kuwa mchunga ngombe tu.

Naona ushaanza kupasuka...Magufuli kashindana na mafisadi,wanafiki,viherehere,visebusebu,maaskofu feki,wahariri feki ....Magufuli kamshinda lowaaasa ndani na nje ya ccm.
 
Back
Top Bottom